Juzi hapa kasema alihamishia mtaji Dubai baada ya Magufuli kukandamiza biashara na uwekezaji nchini.Miaka inaenda kasi sana
Anamiliki Jumba la kifahari huko Dubai.Juzi hapa kasema alihamishia mtaji Dubai baada ya Magufuli kukandamiza biashara na uwekezaji nchini.
Hizi kura za kwenye magazeti ya aina hii hazifiki 20,000 kama ukizipat a zote!!
Kwa taarifa yako
Magufuli anaingiza kura 3 mpya
Na kupoteza kura 7 alizo kuwa Naz0 !!