Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

Magazeti haya sijui baada ya uchaguzi yatakuwa yanaripoti nini...!!??
Maana ukiiona headline tu..kinachofuatia ni mwili kupata kichefuchefu.
 
Kumbe hivyo vipeperushi,me nilijua magazeti hivyo ni vipeperushi kama vile vinavyotangaza dawa za asili.
 
nchi inahitaji msimamizi, na msimamizi mzuri ni yule ambaye anajua utendaji wa atakachosimamia
 
lengo lao linajulikana ..ndio mana mbowe hana mda nao ......watu wako busy na uchaguzi ...mbowe hawezi kujibishana na magazeti hata cku moja....
 
Mbowe ni mtoto wa mjini sana yule, au kuna misukule itakufa kwa ajili yake kama ile ya Arusha mwaka 2011.
Zile familia za waathirika hadi eo zimetelekezwa
 
Magazeti ya leo yameandika jamaa wapiga dili wanafanya miamala ya kufa mtu kupitia hongkong na dubai. Kweli kura ni mali.

Mbona ya january na chopa chakavu hamuandiki tena zinaua watu muhimu sana kwenye jamii kama deo. Bora wangekufa hao hao waliokodisha chopa chakavu. Bora mbowe kaamisha hela zitatafutwa zingine kuliko kuuwa watu .
 
Politics Polytrics
Ndiyo maana Ghadafi alisema Political Parties are reactionary tools!, The real democracy is in the People Congresses!
 
Hakuna asiye2mia pesa kwny kampen tofaut ni mwnye nying ata2mia sana na mwenye chache ata2mia kdogo
 
Hivi Mhariri wa hicho kigazeti Raia Tanzania ni nani hasa? Maana ghafla kigazeti hicho kimeshuka thamani hadi kulingana na kile cha TAZAMA.
Hayo magazeti ndiyo nayadharau kwani yana jiita magazeti huru kumbe ni ujinga mtupu kama ilivyo StarTv na RFA ambao nao wanajiita vyombo huru vya habari.
Uhuru na Mzalendo wao wako sawa kwani iko wazi kabisa kuwa ni vyombo vya Propaganda vya CCM hivyo haishangazi kwa lolote lile wasemalo kama linaipa credit CCM
 
Hata ahamishe na nyumba yake kbxaa ila mjue KURA LAZIMA TUZILINDE TU MAANA HAKUNA NAMNA. Mita 200 piga kambi kamanda chichiemu kalale nyumbani acha wanaume wako walinde kura yako.
 
Kama Ana uhakika wa EL kwenda Magogoni kwa nini atoroshe fedha?
Na hajawai kanusha of which watu wanaweza dhani kuwa ni kweli
 
Mbowe kaisha wauza watanzania kalamba mabilioni anawaambia mkalinde kura wakati mnaumia yeye huyoooo!

Kma ni kweli, mbowe atakuwa miongoni mwa watu watakao shughulikiwa ndani ya siku 100 za Magufuli akiwa ikulu na vilevile atakuwa victim wa kwanza kwenye ile mahakama ya mafisadi itakayoanzishwa na Magufuli maana yeye ndiye aliyewapotosha vijana kuanza kumshabikia fisadi papa
 
Back
Top Bottom