Mbowe atolewa nje ya bunge


usiwe General kiasi hicho , wewe Kila mtu anasemea kwake.
 
mbunge anakusanya kodi? mojawapo ya kazi ya mbunge ni kuisimamia na kuishauri serikali itekeleze wajibu wake wa kuhakikisha nchi inapata maenfleo ktk nyanja zote.ULITEGEMEA SERIKALI HII DHAIFU YA CCM IKUPATIE MAISHA BORA? acha umbulura
 

nimesema wapigweee wapigeni
 
Mbowe amesema kaleta maendeleo Hai kuliko sehemu yeyote.
 
Mkuu, kwani kuna wabunge wangapi wameongea? si wawili tu yaani mzee Mrema na huyu anayeongea sasa ANNE KILANGO MALECELA? acha kukurupuka

hahahaha,, hivi hiyo (Dr) unayomwekea Kikwete kabla ya jina lake unamaanisha DEAR au DOCTOR... ukiwa mshabiki wa chama fulan hapa tanzania hadi v2 vya uongo wew utachekelea tu...

kama hapa unaona Ndugai kafanya jambo zuri tu na unashabikia kabisa... familia itakayoongozwa na wew ina kazi ngumu kama kikwete kumpigia simu Rais Kagame
 
CCM wanataka kuitia najisi katiba mpya. Watanzania hatuombi katiba mpya, TUNATAKA KATIBA MPYA
Kuna mbunge mmoja wa ccm jioni hi namsikiliza anasema kwani mkipata hiyo katiba mpya baiskeli ndo hazita pata pancha?mkipata katiba mpya barabara ndo zitajijenga? Anasema katiba mpya haina umuhimu wowote tusidanganyane hapa...huyo ndo mbunge wa CCM!
 
Mbowe ni mfano wa viongozi ambao hawafai kuigwa.
 
Kwann kila akiwepo ndugai fujo lazima zitokee inaelekea anafanya maamuz binafs kutokana na maslahi ya chama chake na cio kwa maslahi ya taifa
 
Tatizo kubwa la Mbowe ni elimu.
 
Mbowe amesema kaleta maendeleo Hai kuliko sehemu yeyote.

Ameleta maendeleo au kasimamia maendeleo? Yeye si alisema amezunguka duniani kwote hajaona raisi alieleta maendeleo jimboni mwake kama kikwete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…