hayo matatizo ya ukosefu wa maji, ajira na matatizo mengine unayoyasema ni common ktk majimbo yote ya uchaguzi Tz، siyo hai tu, kama ungekuwa na kumbukumbu hata kidogo (kitu ambacho hauna) maana umeanza kujistukia kuwa utatukanwa kwakujua kuwa uko less imformed kwenye matatizo yanayoikabili nchi hii, utatuzi wa matitizo ya nchi hii hayawezi kutatuliwa na mbunge, na ukumbuke 2005-2010 Mbowe hakuwa mbunge wa hai je huyo aliyekwepo kwann hakutatua hayo matatizo ya maji na ajira?
Tukiacha ushabiki nchi hii inarudishwa nyuma na watendaji wa serikali kuanzia taifa mpaka halmashauri.
gamba wewe huna tofauti na zero
Wabunge wa machadema wanataka kuchezea kodi za wananchi kwa kuyumbisha akili za watu, wanadhani kila mtu ni mhuni kama wao
Naibu spika J. Ndugai ametoa amri Mbowe atolewe nje baada ya Mbowe kuomba muongozo ila Job Ndugai akamuamuru akae chini na asiongee chochote ndipo Mbowe akakataa kukaa mpaka asikilizwe anachotaka kusema.
Wabunge wa upinzani wamegoma Mbowe kutolewa nje na kinachoendelea ni kupigana kati ya askari na wabunge wa CHADEMA.
Nina hakika wewe ni gamba na unaendeleza hoja zenu mfu.
Wabunge wa machadema wanataka kuchezea kodi za wananchi kwa kuyumbisha akili za watu, wanadhani kila mtu ni mhuni kama wao
Hapa naongelea issues usiniletee habari zenu mnazotudanganya nazo kwenye fuso...
Kutukana wala hakuna msaada mwenzako katoa data wewe umekuja kutukana ungetoa data za iramba kama mwenzako alivyotoa mapungufu ya hai kwa data.sasa hu upuuzi gani umeweka hapa Hai unaijua vizuri unaweza kuilinganisha na Iramba kimaendeleo,kondoa au isimani? Toa upimbi wako humu jinglish.
Kutukana wala hakuna msaada mwenzako katoa data wewe umekuja kutukana ungetoa data za iramba kama mwenzako alivyotoa mapungufu ya hai kwa data.