wabunge wa chadema ni wachache ingetokea mauaji.Jamani?????Lema leo daah hakuwepo....!!!
Nilitaka zipigwe na nahis zilipigwa hao Ma ccm hawajielewi tu?
Mrema dume la mbegu anawachamba macdm na cuf yao funguka baba
>Naona sasa hoja ni juu ya chadema... Wabunge wa ccm wote wanaacha kuchangia muswada wanashambulia chadema...looh!
atoke aende wapi
tunategemea umoja wa vyama pinzani kuiokoa nchi yetu.
Mrema dume la mbegu anawachamba macdm na cuf yao funguka baba
Aiseeee! Wabunge kama MREMA ni zaidi ya janga jamani, yaani leo ndo nimedhihirisha kwamba huyu mjinga hajielewi kweli, sitaki kurudia ujinga anaoendelea kuuzungumza bungen, eti anaomba msamaha kwa P.M kumpigia kura ya kutokua na imani nae kwa kuwa aliburuzwa bila kujua, kweli Majanga
Mrema dume la mbegu anawachamba macdm na cuf yao funguka baba
Bunge la Tanzania limegeuka Kichen Party.