Mbowe atolewa nje ya bunge

Mbowe atolewa nje ya bunge

hayo matatizo ya ukosefu wa maji, ajira na matatizo mengine unayoyasema ni common ktk majimbo yote ya uchaguzi Tz، siyo hai tu, kama ungekuwa na kumbukumbu hata kidogo (kitu ambacho hauna) maana umeanza kujistukia kuwa utatukanwa kwakujua kuwa uko less imformed kwenye matatizo yanayoikabili nchi hii, utatuzi wa matitizo ya nchi hii hayawezi kutatuliwa na mbunge, na ukumbuke 2005-2010 Mbowe hakuwa mbunge wa hai je huyo aliyekwepo kwann hakutatua hayo matatizo ya maji na ajira?
Tukiacha ushabiki nchi hii inarudishwa nyuma na watendaji wa serikali kuanzia taifa mpaka halmashauri.

usiwe General kiasi hicho , wewe Kila mtu anasemea kwake.
 
mbunge anakusanya kodi? mojawapo ya kazi ya mbunge ni kuisimamia na kuishauri serikali itekeleze wajibu wake wa kuhakikisha nchi inapata maenfleo ktk nyanja zote.ULITEGEMEA SERIKALI HII DHAIFU YA CCM IKUPATIE MAISHA BORA? acha umbulura
 
naibu spika j. Ndugai ametoa amri mbowe atolewe nje baada ya mbowe kuomba muongozo ila job ndugai akamuamuru akae chini na asiongee chochote ndipo mbowe akakataa kukaa mpaka asikilizwe anachotaka kusema.

Wabunge wa upinzani wamegoma mbowe kutolewa nje na kinachoendelea ni kupigana kati ya askari na wabunge wa chadema.

nimesema wapigweee wapigeni
 
Mbowe amesema kaleta maendeleo Hai kuliko sehemu yeyote.
 
Mkuu, kwani kuna wabunge wangapi wameongea? si wawili tu yaani mzee Mrema na huyu anayeongea sasa ANNE KILANGO MALECELA? acha kukurupuka

hahahaha,, hivi hiyo (Dr) unayomwekea Kikwete kabla ya jina lake unamaanisha DEAR au DOCTOR... ukiwa mshabiki wa chama fulan hapa tanzania hadi v2 vya uongo wew utachekelea tu...

kama hapa unaona Ndugai kafanya jambo zuri tu na unashabikia kabisa... familia itakayoongozwa na wew ina kazi ngumu kama kikwete kumpigia simu Rais Kagame
 
CCM wanataka kuitia najisi katiba mpya. Watanzania hatuombi katiba mpya, TUNATAKA KATIBA MPYA
Kuna mbunge mmoja wa ccm jioni hi namsikiliza anasema kwani mkipata hiyo katiba mpya baiskeli ndo hazita pata pancha?mkipata katiba mpya barabara ndo zitajijenga? Anasema katiba mpya haina umuhimu wowote tusidanganyane hapa...huyo ndo mbunge wa CCM!
 
Kwann kila akiwepo ndugai fujo lazima zitokee inaelekea anafanya maamuz binafs kutokana na maslahi ya chama chake na cio kwa maslahi ya taifa
 
Mbowe amesema kaleta maendeleo Hai kuliko sehemu yeyote.

Ameleta maendeleo au kasimamia maendeleo? Yeye si alisema amezunguka duniani kwote hajaona raisi alieleta maendeleo jimboni mwake kama kikwete.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom