Wabunge wanapojadili Mswada wa kuwezesha kua Sheria ni jambo ambao linahitaji umakini wa hali ya Juu bila kufata ushabiki wa Itikadi za Vyama,kwa Kua Sheria inapotungwa Tayari inakua Na impact kubwa mahali itakapotumika,Wabunge wanapotofautiana katika Kutunga sheria inaonesha kuna Mapungufu ambayo yanahitajika KUfanyiwa Marekebisho,Hatutegemei kuona Wabunge wanatofautiana katika Jambo la Kutunga Sheria kufikia Kiasi cha Kutoelewana jambo hili linadhirisha wazi kua Kuna Kundi mojawapo lina Maslahi Binafsi hivyo kuwahadaa wananchi,ni vema Wabunge wanapotofauiana wakapeana muda wa Kusikiliza Hoja za Kila Upande na Kufikia Hitimisho kwa Hoja zenye Maslahi ya Nchi yetu.Kwa jambo hili Naibu Spika Kulazimisha Maoni ya Idadi ya Walio Wengi kutoka Chama Tawala kua Ni Uamuzi wa Jambo hilo bila Kuzingatia Kwa Makini hoja za Pande Mbili katika Jambo hili ni Kupwaya ki Uamuzi.