>Narudia tena SPIKA ANAPASWA KUWA MWANASHERIA KUMWEKA SPIKA KAMA MAKINDA AMBAE HAJUI SHERIA NA NAIBU SPIKA KAMA NDUGAI AMBAE AMESOMEA MAMBO YA WANYAMA NI MAJANGA SANA... KATIBA ITAMKE KWAMBA SPIKA LAZIMA AWE MWANASHERIA...
watu kama mbowe na genge lake ni wa kuchapwa viboko tu.
Sio picha ya Sarafina ni The Gods must be crazy.>Mkuu umenikumbusha picha ya sarafina na huyu mtoto wakati anataka kuliwa na fisi...!
Huyo kisukari kilishakula ubongo siku nyingi hapo box tu linatembea.
Watanzania tutakua wajinga mpaka lini this is too much
Amini usiamini hiyo ndo democrasia ya vyama vingi. Iko siku watazichapa kikweli kweli na itakupasa kuamini tu hata kama ni aibu.Duh kumbe Vita inaanzia humu humu ndani afu mnasingizia Rwanda ona Bunge lenu Full aibu
mkuu N-handsome, hawa watu wanatumia nguvu na gharama kubwa sana kuwavuta watu wanaosonga mbele mashati na matokeo yake tunaanza kudharauliwa na nchi majirani kwa upuuzi wetu.Mwenye mapenzi ya kweli na nchi na mwenye kutaka mabadiliko ya kweli usitumie nguvu yoyote kuwajibu hawa buku 7 waache waropoke while waungwana tunaongelea mikakati ya kuleta maendeleo ya kweli
Hili ndio tatizo kuwa na viongozi wajinga,mkuu wa kambi ya upinzani kaudhalilisha upinzani bungeni,badala ya kujenga hoja ikaeleweka na kuwashawishi wabunge yeye ameona njia pekee ni utovu wa nidhamu na dharau kwa mh.spika.
Mbaya zaidi wabunge wanafanya haya baada ya kuwa wameshachukuwa posho,kwanini wasisusie vikao na kususia posho ili tuwaone kuwa ni wazalendo kamili wa nchi?
Dr.slaa enzi zake alipata umaarufu Tanzania kwa kujenga hoja tuu,hakufanya siasa za matukio za kuletafujo bungeni ili aandikwe kwenye magazeti,kweli ya MISRI yananukia Tanzania maana hata kama chadema itashinda naamini itashindwa kutawala maana wananchi wanaaminishwa makubwa ambayo ni ngumu kuyapata kwa aina ya viongozi wa chadema ,hivyo wananchi wataandamana na kuitoa serikali kwa nguvu na kwa jinsi walivyo madictator hawatakubali na hivyo wataua sana waandamanaji na mwisho taifa litaongozwa kijeshi kama ilivyo misri ya leo.
kweli chadema ni janga la taifa tushirikiane kulitokomeza.
Chadema ni sawa na mwanamke mwenye gubu jambo dogo amesusa na kurudi kwao halafu kesho anajirudisha