Kumi na mbili sita asubuhi na jioni sita.
Kumi na mbili sita asubuhi na jioni sita.
Mbona wabunge wenu ma ccm yanajadili CDM badala ya kuchangia mswaada yaani kila anaesimama lazima aanze kuizungumza CDM ambayo inawanyima usingizi,mkuu ukitaka ujue Mbowe anauwezo wa kuongoza jaribu umpe familia yako hasa mkeo atakusimulia.Mbowe sijui familia yake anaiongozaje kama vitu vya kawaida kabisa vinamshinda itakuwaje maswala yanayohusu tafakali pana kweli siasa zimebakwa siku hizi.
chadema ndio chama makini kinachofanya kazi nzuri ya uwakilishi bungeni tuliyo watuma cc wananchi, hatujawatuma kusema ndiooooooooooooo kwa maslahi ya ccm. hapana kwa maslahi ya wananchi hongera sana mhemiwa FREEMAN AIKAELI MBOWE.
Kigwangalla hoyeeeeeeeeee, anawapa za uso wa wahuni