Mbowe atolewa nje ya bunge

>Hiv kwa akili yako ndogo wapi umeona akisimama pinda akaachwa kupewa nafasi? Sembuse pinda hata Lukuvi mbona akisimama tu anapewa nafasi? Hujui nafasi ya Mbowe kwenye bunge wewe kaa kimya!
 
Mbowe sijui familia yake anaiongozaje kama vitu vya kawaida kabisa vinamshinda itakuwaje maswala yanayohusu tafakali pana kweli siasa zimebakwa siku hizi.
 
Hili ndio tatizo kuwa na viongozi wajinga,mkuu wa kambi ya upinzani kaudhalilisha upinzani bungeni,badala ya kujenga hoja ikaeleweka na kuwashawishi wabunge yeye ameona njia pekee ni utovu wa nidhamu na dharau kwa mh.spika.
Mbaya zaidi wabunge wanafanya haya baada ya kuwa wameshachukuwa posho,kwanini wasisusie vikao na kususia posho ili tuwaone kuwa ni wazalendo kamili wa nchi?
Dr.slaa enzi zake alipata umaarufu Tanzania kwa kujenga hoja tuu,hakufanya siasa za matukio za kuletafujo bungeni ili aandikwe kwenye magazeti,kweli ya MISRI yananukia Tanzania maana hata kama chadema itashinda naamini itashindwa kutawala maana wananchi wanaaminishwa makubwa ambayo ni ngumu kuyapata kwa aina ya viongozi wa chadema ,hivyo wananchi wataandamana na kuitoa serikali kwa nguvu na kwa jinsi walivyo madictator hawatakubali na hivyo wataua sana waandamanaji na mwisho taifa litaongozwa kijeshi kama ilivyo misri ya leo.
kweli chadema ni janga la taifa tushirikiane kulitokomeza.
 
This Guy is not serious about the serious issue of this Country
 
>Hiv kwa akili yako ndogo wapi umeona akisimama pinda akaachwa kupewa nafasi? Sembuse pinda hata Lukuvi mbona akisimama tu anapewa nafasi? Hujui nafasi ya Mbowe kwenye bunge wewe kaa kimya!
Kwani pinda nimwehu kama mbowe na lini pinda umeona akilazimisha kusimama hata sehemu ambayo haistahili n vema akil yako ungeiweka mbele kulikomkuicha nyuma ukaweka ujinga mbele.
 
Mrema dume la mbegu anawachamba macdm na cuf yao funguka baba

Hujielewi mkuu, au kwa njia moja au nyingine unajipotosha mjengoni siyo sehemu ya vijembe ni sehemu za hoja hawalipwi kodi zetu ili kupashana, shame kama tutaendelea kuwa ni kizazi chenye kufikiri kama wewe ashakum si matusi ni bora kuwa na zezeta tutaelewa moja.
 
>Uwezo wako wa kufikiri ndipo ulipoishia? Siamini
Kichwa cha mbowe hata cha ray-c hana kitu kabisa kichwani kweli hai walichagua tigiti maji jamani hata ustarabu unamshinda japo ni mtu mzima sas.
 
Japo ntakuwa nimetoka nje ya maada kidogo ila naomba nieleweke kuwa "binafsi naunga mkono KUR kujiondoa kutumia bandari yetu" kwa kuwa kama huyu Aduiai ankosa hata uvumilivu tu wa kumsikiliza tu mbunge awataweza wapi kukubali hoja za majirani wetu juu ya kupunguza vikwazo barabrani na kuongeza ufanisi?
 
Tatizo ni kujifanya wajuaji hata pale wanapo shindwa kwa kura, CHRISTIAN DEMOCRATIC UNION wanawadanganya wanachadema.style ya kufanyafujo pale wanaposhindwa kwa kura ni utovu wa nidhamu na kutafuta cheap popularity,Istoshe katiba si ya chadema bali ni ya watanzania hivyo kama hamna cha kuchangia bora mhiudhuru kuliko kususia bunge jana halafu leo mnarudi bungeni wakati mnajua hoja ni ileile,na mkakubali kupiga kura wakati mnajua mtashindwa.huu ni upumbavu na kutotambua majukum yenu.
Chademq walilenga kufanya fujo ndio maana wakaja bungeni wakati wanajua kuwa hoja ni ileile.pia walilenga kupata posho bila kazi yoyote ya msingi zaidi ya vurugu.je posho ambazo ni pesa za walipa kodi ni kwaajili ya kuwalipa wafanya fujo?
 
Kitambaa cha kufunika nywele.
 

watu kama mbowe na genge lake ni wa kuchapwa viboko tu.
 

wewe ni mburula tuu hujui unakokwenda mam........kooo
 
>Narudia tena SPIKA ANAPASWA KUWA MWANASHERIA KUMWEKA SPIKA KAMA MAKINDA AMBAE HAJUI SHERIA NA NAIBU SPIKA KAMA NDUGAI AMBAE AMESOMEA MAMBO YA WANYAMA NI MAJANGA SANA... KATIBA ITAMKE KWAMBA SPIKA LAZIMA AWE MWANASHERIA...
 

huna maana km dj wako mbowe. Lazima mshughulikiwe na sheria ipasavyo. Big up sana ndugai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…