Mbowe atolewa nje ya bunge

Mbowe atolewa nje ya bunge

Serikali ya CCM ipo rigid sana. Wakipewa mawazo mazuri wanahisi wataporwa madaraka. Bado tuna nguvu wapambanaji mliopo msatiri wa mbele endeleeni tupo pamoja.
 
samaki ana mengi ya kuongea Lakini ndo ivo ana amaji mdomoni! Ila ipo siku maji yataisha ili samaki aweze kuongea! MBOWE keep up!
 
Askari kama mmeshindwa kumtoa nje,mtu achie wenyewe(wabunge ccm).Nimeipenda hio kauli ya moja ya wabunge waliowasha maiki na kusema hayo.Naona hii itakuwa mfano na fundisho kwa wabunge woote wasio na adabu.

Realy??
 
Tatizo la bungeni ni kukosekana uongozi makini wa bunge wenye kutenda haki, na wasababishaji wa vurugu bungeni ni mh. Lukuvi, fredriki werema na makinda+ndugai!
 
Ccm ni janga kuliko hata hao wanaoitwa wahamiaji haramu.
 
Hekima ni kitu cha kipee sana na ndiyo imekosekana kwenye kikao cha Bunge leo. Huwezi kukataa kusikiliza kitu ila unakataa ujumbe uliopo baada ya kusikiliza. Kiongozi wa upinzani ana nafasi kubwa Bungeni. Je kama ujumbe huo ni jambo la hatari kwa maisha yao wakati huo hapo Bungeni Naibu Spika angepataje kujua? Mwenye hekima ana mbembeleza mwenye ujumbe "messenger" mpaka anaujua ujumbe ndipo anaamua kudharau au kupokea. Mtu anayekataa kusikiliza ujumbe ni wa ajabu sana, ujumbe ni knowledge, ni shule, ni ufahamu, na kujua ni power. Mtu mwingine akijua kitu chake kizuri anaweza kukataa kukuambia ili usije ukafaidi, huwezi kukataa kusikiliza jambo usilolijua ila unakataamantiki ya ujumbe wenyewe baada ya kujua. Uzuri wa hiyo hata wengine wakiwemo wananchi sisi huku tutaona kweli huyo ni mpoteza muda tu hana hoja ya msingi; sasa tunashindwa kuamua. Hekima ni zawadi toka kwa Mungu, Rais wetu alishapewa hiyo na Mungu, Viongozi wengine wanapaswa kuomba na kuombewe hiyo wapewe hekima ya kuamua mambo tata kwa wakati. Sulemani aliomba hiyo akapewa na akwa kiongozi bora sana.
 
Haya ni matokeo ya kuteua watu wasio na ufahamu ya kuendesha Bunge kiuweledi badala yake wanateua waimba taarabu. Hakikia sifa ya bunge letu imeshuka sana, halina heshima ni vijembe tu na lengo ni kuthibiti upinzania. Aibu sana.
 
Aiseeee! Wabunge kama MREMA ni zaidi ya janga jamani, yaani leo ndo nimedhihirisha kwamba huyu mjinga hajielewi kweli, sitaki kurudia ujinga anaoendelea kuuzungumza bungen, eti anaomba msamaha kwa P.M kumpigia kura ya kutokua na imani nae kwa kuwa aliburuzwa bila kujua, kweli Majanga
sugar itakuwa inasoma high....pole Lyatonga tunaomba ukapunzike vunjo waachie vijana wapige kazi kwani katiba hii si yako si yangu na wala si ya mtu mwenye umri wa miaka 30 na kuendelea - tunaandika katiba ya kizazi kijacho miaka zaidi ya 100 ijayo hivi mnaolewa nyie watu??
 
Jana wakati wa walkout ya wapinzani nilimsikia akisema 'waacheni tuwaone nafikiri hawanitambui' ni maneno ya ubabe wa mitaani ambayo hayatakiwi kutolewa hadharani na kiongozi kama yeye, lakini kwa akili ya wabunge wa CCM wanayafurahia bila kujua madhara yake, in short Ndugai ha-fit pale kwa vigezo vyovyote.

Mkuu Feedback, jamaa ana ubabe wa kijinga ila nadhani hata upstair siyo mzima, ana upeo mdogo sana na hii ni kwa wabunge wengi wa chama tawala.. nadhani ulimwona Pindi chana akibwata kujaribu kumjibu Lissu lakin still Lissu stand to be correct mana kwenye ratiba ya kamati hao kina kishoka na wajumbe toka zanzibar waliopangwa kuonana na kamati hawakufka mana kamati haikwenda zanzibar, sas Pindi yeye anatutajia majina ya watu Jahaz asilia, sijui kishoka huku kwenye ratiba wakiwa hawapo.. sijui ni uongozi gani huu!! kama bunge na kamati zake liko hivi, vip kuhusu halmashauri zetu na madiwani si ndo comedia kabsa!!!! we still have a long way to go brother
 
hii ni aibu jamani, sasa KUB kutotii maagizo ya kiongozi wake weledi uko wapi, hawa ndio wanaotaka kutuongoza wenyewe hawafuati taratibu nchi itaingia shimoni hii
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa Muda mrefu matukio ya Wabunge kutolewa nje ya Ukumbi wa Bunge kwa kile kinachodaiwa kuwa ni utovu wa nidhamu na kukiuka Kanini..
Je, kwanini Matukio haya mara nyingi yanatokea wakati Naibu speaker akiwa anaongoza Bunge?
 
...dodoma kuna hospitali ya milembe mkuu...
 
Hatuhitaji kuongozwa na watu wanaovunja kanuni,ili waonewe huruma.Toka jana mm nawaangalia tu,nyambaf!
 
UPENDELEO HUU WA NDUGAI UTAISHA LINI?Leo tena kwa mara nyingine Naibu spika Job Ndugai ameonyesha udhaifu mkubwa ktk uendeshaji wa vikao vya bunge kwa kuonyesha upendeleo wa wazi kwa wabunge wa ccm na kuwakandamiza wapinzani hali iliyopelekea taflani kubwa bungeni baada ya yeye naibu spika kukataa kumsikiliza KUB Mh,Freeman mbowe,hili halikubariki kabisa na kama ccm hawataki kuwepo kwa wapinzani basi wafute mfumo wa vyama vingi ili ibaki ccm pekee,Nawasilisha.
 
Mungu atuepushe na udhalimu huu wa kuongoza bunge kwa kuegemea upande wa chama chenye rais!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom