Kichwa cha mbowe hata cha ray-c hana kitu kabisa kichwani kweli hai walichagua tigiti maji jamani hata ustarabu unamshinda japo ni mtu mzima sas.Mkuu, inabidi bunge lirekebishe kanuni zake ili kutoa sifa za ziada kwa kiongozi wa kambi ya upinzani. nadhani mbowe kinachomsumbua ni uelewa na kiwango chake cha elimu. sitegemei kama anaweza kujenga hoja za maana. yeye amezoea kukariri tu maswali kwa waziri mkuu
sijawahi kuona Tambala lenye maana.
Mbowe anastahili kuchukuliwa hatua za nidhamu kwa utovu wa nidhamu aliouonesha
[/QUOTE]ngoma ipo singo mtambalike ileHivi Ndugai familia ya Ndugai inaficha wapi nyusa zao. Maana anatia sana aibu haka kazee. Hivi mkewe si anapata shida sana.!!
[]Kiongozi mzuri husikiliza hoja na kutoa maamuzi. Alichofanya Ndugai hata mzee wa kijijini asiye na elimu hatafanya. Aibu yake na hata kwa Taifa.
Mbowe siyo wa kuchekea tena walipaswa polisi wampige sana anataka kufanya hii nchi iwe ya vurugu kila kukicha wangemvunja hata mkono au umguu iwe fundisho ili asirudie tena.
Mbowe siyo wa kuchekea tena walipaswa polisi wampige sana anataka kufanya hii nchi iwe ya vurugu kila kukicha wangemvunja hata mkono au umguu iwe fundisho ili asirudie tena.
Kujibu ni hatua kubwa sana mbowe hata kufikili tu nitatizo hana shule hata akili ya kawaida hana uwezo wake ni kuendesha mziki tu.Tatizo la watu wenye upeo mdogo kama Ndugai ni kudhani kumtoa Mbowe bungeni ni kumkomoa,-- ni sawa na mwalimu kilaza anayechukia mwanafunzi anayeuliza maswali ya udadisi darasani na kuamua kumtoa nje kwamba anasumbua wengine.
Mtu wa namna hii ni dhaifu kichwani.
Akigwe kwa kosa gani ndugu? Una waoto kweli wewe? Unataka kuwaachia nchi ya aina gani kama hatutatengeneza katiba nzuri lehii! Haya sio mambo ya kufanyia ushabiki ni mambo serious sana na NDIYO anayohitaji Mh. Mbowe na mtanzania yeyote mwenye kuona mbele. CCM na Ndugai wanataka kutuletea balaa kutokana na ulevi wa madaraka na kusahau nchi yetu.
HAKIKA HAWATAFANIKIWA.
Ndugui maamuzi yake ni mafupi kama yeye mwenyewe?
bangi zao nzuri sana waendelee kuvuta kwa mustakabali wa nchi yetuWalichagua wavuta bangi waitegemea nini chama kimejaa wavuta bangi haya ni matokeo yake,
chadema karibia kila mtu anavuta haya ndiyo matokeo yake.
mijitu mingine akilizao kama za ponoooooooooooooooooMawazo unayotoa utadhani umenunuliwa chadema wanataka kutumia katiba mpya nchi isitawalike kamwe hawataweza tuwapuuze hawana jipya ni mipango yao ya kitoto sana.
huyo kilaza wenu kwa nini anatumia kiti chake kwa ubabe? hayupo pale kama katibu wa tawi la CCM bungeniKujibu ni hatua kubwa sana mbowe hata kufikili tu nitatizo hana shule hata akili ya kawaida hana uwezo wake ni kuendesha mziki tu.