Avatar Myg
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 675
- 118
kama kweli kavunja sheria... Kwann asikamatwe?
Itakuwa Dar...habari mbaya sana hii
BAVICHA mkoa wa Arusha tunalaani kushikiliwa kwa mwenyekiti na kiongozi wa upinzani bungeni mh Freeman Mbowe, kimsingi huu ni uhuni uliopitiliza na uwendawazimu na hizi ndio dalilizakuanguka kwa utawala CCM.
Vijana wa mkoa wa arusha tunapinga, tunalaani na tutapambana hadi tone la mwisho. Tunaheshimu mahakama, lakini kutoa amri ilihali mwenyekiti alishaomba kutohudhuria tunapata shaka, tunatilia shaka uamuzi huo, tunaitaka serikali imwachie mwenyekiti mara moja na ihakikishe usalama wa kamanda wetu.
Martin Luther king alipata kusema ikiwa hakuna jambo lolote ambalo mtu yu tayari kufa kwalo basi hufai Kuishi,
Pasitoshe kwani yeye hakujua umuhimu wa kujitokeza,sheria na taratibu mbona ziko wazi anakuwa kama haelewi mbona mwenzak alikimbilia mahakamani?Ni taarifa za kutatanisha kidogo...
Baadhi ya viongozi wa Chadema wamedokeza kuwa mwenyekiti wao yu central Police akiwa chini ya ulinzi. Lakini wengine wanakanusha kuwa hajakamatwa.
Atashikiliwa mpaka Jumatatu? Patatosha?
Dhamana ya aina gani inayo tolewa j.mosi? Nahisi kunakitu hapa.Tayari wamemwachia Naibu Katibu mkuu Zito Kabwe kwa dhamana hadi kesho...Saa ya ukombozi ni sasa