Mbowe ashikiliwa Central Police

Mbowe ashikiliwa Central Police

Polisi watakuwa wameagizwa na wakuu wa ccm ili wamkamate mbowe. Eti ni moja ya mikakati yao ya kujivua gamba.
But freedom is coming tomorow
 
Tujikumbushe Maneno ya Fidel Castro

I know that imprisonment will be harder for me than it has ever been for anyone, filled with cowardly threats and hideous cruelty. But I do not fear prison, as I do not fear the fury of the miserable tyrant who took the lives of 70 of my comrades. Condemn me. It does not matter. History will absolve me.
 
Jamani tuache ushabiki wa kisiasa tuuuu. Hivi kilichmzuia mbowe baada ya hakimu kutoa lile tamko kuchukua ndege kwenda arusha kupoza mambo ilikuwa nini. Kwa nini yeye kama alikuwa busy mdhamini wake hakwenda.?

Badala yake yeye a kwenda Arisha fasta nahangaika kuanadaa matamko kwenye vyombo vya habari. Mbaya zaidi wenzake wameuzuria. Ingekuwa WACDM wote hawajauziria angekuwa na ground but not at this case.

Anataka kutumia postion yake ya siasa ksame wanavyofanya kina RA. LA Chenge na CCM.

Ndio tunataka mabadiliko lakini wanasia wa upinzani wajifuze kukubali makosa wanapoksea/Kwa hili mbowe angesema alikubaliana na mdhamini wake kuwa atamuwasilisha. Wananchi tutajua kuwa mdhamini wake ndo mzembe. Sasa kuna uzembe si mdhamini si mbowe wote hawajui watoe majibu gani.

Go look for an a**
 
Labda wamkimbizie Arusha haraka, kwa maana watu wameshajiandaa na petroli na kila zana za jadi kuhakikisha wanapambana na hao vibaraka polisi tz
 
kwa kweli huyu jamaa amevuna alichokipanda

hii ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria, na nnakuhakikishieni tutalisimamia kwa mujibu wa sheria,

na kama kweli anaona anaonewa atalieleza huko mahakamani
 
Jamani nguvu ya umma inahitajika hapa. siku ya kuachiliwa Mh. Mbowe tujitokeze kumpokea kwa maandamano ya kutosha.
 
Muda wa kumuondoa JK kwa maandamano ndio sasa, nia tunayo, uwezo tunao na sababu pia tunayo, CDM nafasi hizi tusiziache zipotee
 
Mhimili wa kwanza wa democracy ni rule of law! Uhuru bila nidhamu ni fujo, nidhamu bila uhuru ni utumwa. Mbowe and the rest of wild bunch wanatakiwa wajifunze haya!
 
Nilimwambia Mbowe akutaka kunisikia faata sheria za nchi, yeye anadanganywa na yule jamaa wa Singida Tundu Lissu, eti wewe ni Kiongozi wa upinzani Bungeni uwezi kukamwatwa, sasa kakamatwa sijui mtaandamana,
 
hii ni hatari...!!nafikiri hii ndo furaha kwa wana ccm.lakini haifai kuombea wenzetu mabaya.
 
Utumwa wa mawazo na kutapatapa kwa JK, vipi siku 90 za magamba bado zipo au ni ngonjera kama za RiZ1 za wiki moja?
 
kwa kweli huyu jamaa amevuna alichokipanda

hii ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria, na nnakuhakikishieni tutalisimamia kwa mujibu wa sheria,

na kama kweli anaona anaonewa atalieleza huko mahakamani

Acha upuuzi. kama unafahamu sheria tuambie ni kifungu namba ngapi na ni ya sheria ipi ambayo inaagiza mbunge akiwa katika shughuli za bunge akamatwe? Tukiendelea na tabia kama yako ya kukariri vitu bila kuelewa ni hatari kwa taifa. Ukisoma magazeti ya leo ya Tanzania daima na Nipashe imeelezwa vizuri kuhusu kinga ya bunge, shughuli za bunge na maeneo ya bunge. Wewe kama unafahamu maana ya shughuli za bunge katika sheria hiyo unayotaja hapo juu tuambie.

Hata hivyo ndugu yangu unapaswa kutofautisha sheria za kibaguzi na kandamizi dhidi ya sheria zingine zinazojali haki zingine za binadamu. Unataka kutuambia sheria zote zinapaswa kufuatwa hata kama itafanana na ile ya makaburu wa Afrika ya Kusini enzi zile? Mfano, sheria ikisema wewe ukakamatwa na polisi katika uhalifu uuawe bila kupelekwa mahakamani, utakubaliana nayo?
 
Wanachezea nguvu ya uma, Kuna muda utafika hatutaogopa tena, Mpaka Sasa waTZ walio wengi wameshuudia mabaya ya serikali yao!.

our day will come!, Tutaheshimiana tu na tutaendesha nchi kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi (Rwanda,Kenya wamepita huko!)
 
kwa kweli huyu jamaa amevuna alichokipanda

hii ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria, na nnakuhakikishieni tutalisimamia kwa mujibu wa sheria,


na kama kweli anaona anaonewa atalieleza huko mahakamani

Mtu wa Pwani nimekupenda kwa maneno yako mazuuuuri.. Ati nini.? Nchi inaongozwa kwa sheria?????????? RACHEL? (ANIMAL FARM)
 
Ninyi wapuuzi tangu mmeanza kusema mnataka ukombozi bado mpo nyuma ya monitor za kompyuta zenu si muende central sasa. Tokeni mkamtoe tuone.
 
Mhimili wa kwanza wa democracy ni rule of law! Uhuru bila nidhamu ni fujo, nidhamu bila uhuru ni utumwa. Mbowe and the rest of wild bunch wanatakiwa wajifunze haya!


Sawa. Na serikali ya CCM inatakiwa ijifunze nao kufuata rule of law na waache double standars. Kwa nini Mbunge wa Busega walimuombea kibalki kwa Spika tena kwenda kuhojiwa tu na polisi, lakini wakadharau kufanya hivyo kwa Mbunge wa CDM!
 
Back
Top Bottom