Mbowe ashikiliwa Central Police

Mbowe ashikiliwa Central Police

Nilimwambia Mbowe akutaka kunisikia faata sheria za nchi, yeye anadanganywa na yule jamaa wa Singida Tundu Lissu, eti wewe ni Kiongozi wa upinzani Bungeni uwezi kukamwatwa, sasa kakamatwa sijui mtaandamana,

madrasa hawezi kutoa ushauri wa msing
 
Nipo Kinondoni na wenzangu tunapanga kuelekea Polisi kumuona Mwenyekiti wetu,tupo vijana wengi.Huu ndio wakati wa kupata uhuru wa kweli,ni wakati wa kuonyesha kwamba Mahakama zetu haziko huru,ni wakati wa kuonyesha udhaifu katika system yetu ya Justice,ni wakati wa kuonyesha tunahitaji uhuru wa kweli,ni wakati wa kuonyesha nguvu ya vijana katika kupinga matumizi ya mahakama ili kuwinda maadui wa kisiasa


Wata waua nyie
 
Hizi ni dalili za wazi za uhuru wa pili na ukombozi wa kweli wa nchi yetu
 
Haya bwana kazi ya magamba hiyo,bt dalili njema ukiona wapiganaji waukweli wanakamatwa ujue saa ya ukombozi iko mlangoni
 
Jamani habari hii imenisikitisha sana, huu ni unyama jamani, but ipo cku they are going to pay all their evils
 
Wakuu, ni hivi nina uchungu mkubwa, huu ni uhuni na wendawazimu mkubwa, kamwe hatuwezi kuvumilia enough is enough.

Saa ya ukombozi ni saa, tunalaani kukamatwa kwa Naibu katibu mkuu Zito Kabwe.
 
Polisi itifaki izingatiwe jamani
Wanatekeleza amri ya mahakama,hakimu naye huwezi kumlaumu kwani alikwa hana jinsi ila kuissue a warrant of arrest.
Wa kulaumiwa ni polisi wa arusha au mundesha mashtaka kama wewe ni CDM.
Au mheshimiwa mbowE/lisu kama wee ni CCM.
 
Mkuu hayo ni maelezo yake na huyo jamaa ni diwani wa CDM nadhani ni uchungu umepitiliza....


Naomba tu niwaweke sawa kwamba pamoja na kuwa Mh Diwani hapa Arusha, pia yupo kwenye uongozi wa juu wa CHADEMA na BAVICHA mkoani Arusha, hivyo hili ni tamko kutoka kwa kiongozi husika.

Vilelile yakitokea maafa, kiongozi hawezi kusubiri vikao kutoa pole, rambirambi, au kulaani waliosababisha. Kwa hiyo Mh ametumia nafasi yake kulaani matendo aliyoona ni ya kulaaniwa kwa sasa, kama ni vikao vitafanyika na tamko la baraza litatolewa baada ya tamko la kiongozi hili.

We must act/respond fast kwenye mambo kama haya.
 
Nilimwambia Mbowe akutaka kunisikia faata sheria za nchi, yeye anadanganywa na yule jamaa wa Singida Tundu Lissu, eti wewe ni Kiongozi wa upinzani Bungeni uwezi kukamwatwa, sasa kakamatwa sijui mtaandamana,

Huu si wakati wa propaganda, kilichofanyika ni jambo zuri sana na hii itawafanya watanzania kuwafahamu zaidi wana CCM na viongozi wake, Mbowe kukamatwa ndiyo kutafanya yaliyofanyika tarime kwa Nyambari yaongezeke kwa hiyo siyo issue waendele kuwakamata mpaka kitaeleweka.
 
kwa kweli huyu jamaa amevuna alichokipanda

hii ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria, na nnakuhakikishieni tutalisimamia kwa mujibu wa sheria,

na kama kweli anaona anaonewa atalieleza huko mahakamani

hukumu itakuwa 2015 na hizo mahakama na police zitajua haki ikoje baada ya 2015
 
wakuu,ni hivi nina uchungu mkubwa,huu ni uhuni na wendawazimu mkubwa,kamwe hatuwezi kuvumilia enough is enough...saa ya ukombozi ni saa...tunalaani kukamatwa kwa Naibu katibu mkuu Zito Kabwe...

Asante sana Mkuu! The staff is real frastrating na inaumiza sana. Viongozi wetu wanafanyiwa mambo ya kihuni waziwazi and we are now fed up! Lolote baya litakalowatotokea ni maafa kwa nchi hii. I wish they knew!?
 
Ila jamani hamtakiwi kuharibu weekend yenu chadema na selo ni kama ccm na ufisadi wamezoea ni njia yao ya kupigania what they think ni haki
 
Mimi m/kiti wa Kujitolea wa BAVICHA-NGOROX2 nalaani vitendo vyote vya ukiukwaji wa sheria na demokrasia vilivyofanywa na jeshi la CCM la Polisi kwa M/kiti na Naibu katibu mkuu wa CDM. Sasa vijana tufunge mikanda, tupambane na hawa mamluki wa CCM(POLISI).
MY NOTE: KUJITOLEA SIO KUJIPENDEKEZA.
 
Tumezaliwa siku moja na siku moja tutakufa,bali harakati za ukombozi zitaendelea,,,,tumechagua kutokuogopa...mapambano yanaendelea
 
Walipomuua Yesu,walidhani wamemkomesha,na kumbe wameuwasha moto,utakaoteketeza.ndicho walichofanya Ccm,watajuta na TUSILAUMIANE ,
 
Umaarufu wa Mandela nao ulianza hivi hivi . Tupo pamoja na Kamanda Mbowe. tumezipokea taarifa kwa masikitiko makubwa ila hili linazidi kutujenga kichama nalitapita tu.Huku kwetu hatulali na hatutalala mpaka kieleweke.
:shut-mouth: Freedom is not free
 
Poleni sana, naomba yote tulaani tukisheheni data za kufa mtu...

Na mimi na familia yangu tunalaani vitendo vya kumshikilia Z Kabwe na F Mbowe
 
Back
Top Bottom