Mbowe ashikiliwa Central Police

Kuna umhimu gani wakurudia hii thread wakati tayari ipo. Hamna anayefurahia kulala rumande lakini mbowe jitahidi kutii amri za mamlaka zilizoko madarakani. Otherwise haya ndo matatizo yake. Unawaumiza bure wafuasi wako.
 
Hv ni kweli wajamen? Mi cjaona thread inayosomeka shwari,ama mnataka wengine 2shindwe kuelewana na wa2 siyo.
 
ohhh wamefanya makusudi wakijua leo ni Jumamosi.wanataka kumkomesha Mbowe!!! Kama kawaida itakula kwao. Mbowe atatoka huko bigger than ever. nadhani ccm bila kujijua wamekuwa wanajenga CHADEMA! goood work ccm, I say good work!

Waache waendelee kujichimbia kaburi hawa mafisadi.
 
Kwa mpiganajikwa linchi la ki koloni kamaletu ni jambola kawaida......atatoka tu ..na amini usiamini kuna siku Kkikwete atafungwa kwa ufisadi....hasa kwa kununua uraisi mwaka 2005!
 
Nipo Kinondoni na wenzangu tunapanga kuelekea Polisi kumuona Mwenyekiti wetu,tupo vijana wengi.Huu ndio wakati wa kupata uhuru wa kweli,ni wakati wa kuonyesha kwamba Mahakama zetu haziko huru,ni wakati wa kuonyesha udhaifu katika system yetu ya Justice,ni wakati wa kuonyesha tunahitaji uhuru wa kweli,ni wakati wa kuonyesha nguvu ya vijana katika kupinga matumizi ya mahakama ili kuwinda maadui wa kisiasa
 
CHADEMA OYEE,
Pamoja na kuwa hawa wana wa MAGAMBA wanafanya haya lazima ieleweke " Hakuna marefu yasiyo na ncha", zanena methali za kikwetu.
Wanafikiri wanakomoa. Mwisho wa hili ni nini? Risasi zao ziliua Arusha, wanaona haikutosha, damu iliyomwagika inawalilia, maisha magumu kwa Watanzania na Utawala mbaya kabisa wa Sheria.
Nadhani lengo lao asiweze ku-concentrate na maandalizi ya bajeti ijayo.

Mwisho wa UBAYA AIBU
 
Nipo Kinondoni na wenzangu tunapanga kuelekea Polisi kumuona Mwenyekiti wetu,tupo vijana wengi.Huu ndio wakati wa kupata uhuru wa kweli,ni wakati wa kuonyesha kwamba Mahakama zetu haziko huru,ni wakati wa kuonyesha udhaifu katika system yetu ya Justice,ni wakati wa kuonyesha tunahitaji uhuru wa kweli,ni wakati wa kuonyesha nguvu ya vijana katika kupinga matumizi ya mahakama ili kuwinda maadui wa kisiasa

Hivi na wewe hauamini katika utawala wa sheria? hivi kama wewe ungelikuwa ni yule hakimu na Mbowe akafanya alivyofanya wewe ungetoa uamuzi gani?..sio kila kitu ni siasa mkuu!!

Ila kama unaongozwa zaidi na hisia kuliko tafakuri, go ahead..
 
Nnahisi hasira sn,yaani wamemkamata kamanda wa anga!!!!?Ngoja tusubiri tuone vile hawa serikali ya ccm watafanya.
 
jela haiwezi kumaliza fikra za mtu ,
hii kukamata watu na kuwaweka jela bila makosa inawalaniki, wasije kuwa wanawamaliza hawa wazee wetu huko?
uwezi jua bana tunaweza kuwa wapweke hizo mahabusu ni zao wana control nazo.
hii tabia inatakiwa kupigwa vita sayansi imefika mbali sana
lakini kuna kitu polisi mimi sina imani nao kabisa maana hata Dr slaa juzi walitaka aende mahabusu ndio wamlete mahakamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani tuache ushabiki wa kisiasa tuuuu. Hivi kilichmzuia mbowe baada ya hakimu kutoa lile tamko kuchukua ndege kwenda arusha kupoza mambo ilikuwa nini. Kwa nini yeye kama alikuwa busy mdhamini wake hakwenda.?

Badala yake yeye a kwenda Arisha fasta nahangaika kuanadaa matamko kwenye vyombo vya habari. Mbaya zaidi wenzake wameuzuria. Ingekuwa WACDM wote hawajauziria angekuwa na ground but not at this case.

Anataka kutumia postion yake ya siasa ksame wanavyofanya kina RA. LA Chenge na CCM.

Ndio tunataka mabadiliko lakini wanasia wa upinzani wajifuze kukubali makosa wanapoksea/Kwa hili mbowe angesema alikubaliana na mdhamini wake kuwa atamuwasilisha. Wananchi tutajua kuwa mdhamini wake ndo mzembe. Sasa kuna uzembe si mdhamini si mbowe wote hawajui watoe majibu gani.
 
Back
Top Bottom