Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Ha ha ha Halafu unakuta mtu kama huyu anaitetea ccm ...utakuta maisha yake tia maji tia maji...na ana watoto / hii

nchi chini ya ccm ni giza mbeleni....Juzi meno ya tembo yamekamatwa uswiss airport...ila hapa airport ya dar yalipita.....

Embu tumieni akili basi kidogo mtoa mada....Kila kitu kishaibwa..tunataka kuanza upya..usiwe kizuizi..utabeba laana ya vizazi vijavyo bure.

Kwanza hata uandikaji wake unaonyesha hana elimu kabisa. Huyu hata kwa mshahara wa elfu 20 kwa mwezi siwezi kumwajiri kampuni yangu maana nitaona kama najiibia mwenyewe.
Hawa mbulula wasichokijua ni kuwa unapong'ang'ania kumchafua mtu unaongeza mapenzi ya watu kwa mtu huyo. Ni kweli kama alivyosema Mbowe kwenye mkutano mkuu kuwa Idara ya uenezi ya Chadema iko kama likizo hivi kwani CCM ndio wanaifanya vema zaidi kuitangaza Chadema bila wao kujua.
 
magufuli ashajinadi mwenyewe toka waziri kipindi cha mzee mkapa, nyie ndo muomgeze nguvu kumsafisha mzee wa magumashi. hajui hata ongea mbele za watu, ana elhzimer disease yule, atatufia ikulu turudie uchaguzi

Mwenyewe wewe umepima afya yako?
 
Ha ha ha Halafu unakuta mtu kama huyu anaitetea ccm ...utakuta maisha yake tia maji tia maji...na ana watoto / hii

nchi chini ya ccm ni giza mbeleni....Juzi meno ya tembo yamekamatwa uswiss airport...ila hapa airport ya dar yalipita.....

Embu tumieni akili basi kidogo mtoa mada....Kila kitu kishaibwa..tunataka kuanza upya..usiwe kizuizi..utabeba laana ya vizazi vijavyo bure.

Huo ndio ukweli utakuta maisha yenyewe anakula mlo mmoja
 
hakika mwenyekiti wa chadema mbowe anasisitiza ukweli, kwamba namba hazidanganyi. anajua sana biashara ndo maana kahamishia nguvu zote kwenye biashara ya siasa maana yamlipa sana.
mwaka 2010 alimuona slaa ni dhahabu, akamshawishi agombee urais akijua kabisa hatashinda ila atasaidia ongeza idadi ya wabunge na hatimaye ruzuku. akaenda bank akachukua mkopo akamnadi slaa, ruzuku ni tele na kapata superprofit kwa uwekezaji wake wa 2010.
sasa hii 2015 kaiona fursa kwa lowasa, sijui kwa hesabu zake ameona atavuna ngapi hadi kufikia 2020. ajua mwenyewe kichwani. slaa ameambiwa kaa kando baada ya kuwaingizia pesa za kutosha.
kweli mbowe katumwa pesa dar.

Umekaririshwa ukakariri haswaa! Huna tofauti na mbuzi wa kafara Wa CCM! Mbowe katumwa pesa Dar, je wewe umetumwa nini huko uliko?! Umetumwa biogas na Mbolea?! Kwani wewe unafanya kazi Carmatech!? Shujaa hathaminiki kwao, Freeman nina hakika watanzania wengi hususani wanaopenda mabadiliko, tutakuja kumuelewa na kumkumbuka long after He Is gone yonder! Mungu ampe nguvu na maisha marefu akamilishe kazi zake hapa duniani! Bs
 
magufuli ashajinadi mwenyewe toka waziri kipindi cha mzee mkapa, nyie ndo muomgeze nguvu kumsafisha mzee wa magumashi. hajui hata ongea mbele za watu, ana elhzimer disease yule, atatufia ikulu turudie uchaguzi

ImageUploadedByJamiiForums1439065276.215170.jpg
Hilo la kuwa kuwa hajui hata kuongea mbele za watu (tena ngoja niongeze, kwa mbwembwe) unadhihirisha picha yangu hapo juu. Musa naye pamoja na kazi kubwa aliyokuwa amepewa na MUNGU kuwakomboa Wana wa Israel alilalamika kuwa mbona yeye hawezi kuongea maneno mengi mbele za watu? MUNGU akamwambia nitakupatia Haruni awe msemaji wako.
Sasa Lowasa anao akina Haruni wengi sana wa kuongea ndani ya Ukawa ili atimize kazi aliyopewa.
 
Ha ha ha Halafu unakuta mtu kama huyu anaitetea ccm ...utakuta maisha yake tia maji tia maji...na ana watoto / hii

nchi chini ya ccm ni giza mbeleni....Juzi meno ya tembo yamekamatwa uswiss airport...ila hapa airport ya dar yalipita.....

Embu tumieni akili basi kidogo mtoa mada....Kila kitu kishaibwa..tunataka kuanza upya..usiwe kizuizi..utabeba laana ya vizazi vijavyo bure.

Daaa kweli kabisa kaka. .mimi nadhani kwa kijana yoyote wa nchi hii hawezi kusapoti uongozi uliopo na taasisi yao (ccm) labda awe na walakini asiye ona maovu na dhuluma zinazoendelea. .Au labda awe na ahadi kama alizopata Makondakta. ..lakini pia unapaswa kifikiria wengine na nchi yako kwa ujumla
 
hakika mwenyekiti wa chadema mbowe anasisitiza ukweli, kwamba namba hazidanganyi. anajua sana biashara ndo maana kahamishia nguvu zote kwenye biashara ya siasa maana yamlipa sana.
mwaka 2010 alimuona slaa ni dhahabu, akamshawishi agombee urais akijua kabisa hatashinda ila atasaidia ongeza idadi ya wabunge na hatimaye ruzuku. akaenda bank akachukua mkopo akamnadi slaa, ruzuku ni tele na kapata superprofit kwa uwekezaji wake wa 2010.
sasa hii 2015 kaiona fursa kwa lowasa, sijui kwa hesabu zake ameona atavuna ngapi hadi kufikia 2020. ajua mwenyewe kichwani. slaa ameambiwa kaa kando baada ya kuwaingizia pesa za kutosha.
kweli mbowe katumwa pesa dar.

Ulicho kiandika unaona kina make sense..?? Utumbo huo
 
.mimi nadhani kwa kijana yoyote wa nchi hii haikutakiwa kusapoti uongozi uliopo na taasisi yao (ccm) labda awe na walakini asiye ona maovu na dhuluma zinazoendelea,mana ni uonevu nadhuluma kwa kizazi hiki na vinavyokuja vya watoto na wajukuu zetu . .Au labda awe na ahadi kama alizopata Makondakta. ..lakini pia unapaswa kifikiria wengine na nchi yako kwa ujumla.
 
View attachment 274498
Hilo la kuwa kuwa hajui hata kuongea mbele za watu (tena ngoja niongeze, kwa mbwembwe) unadhihirisha picha yangu hapo juu. Musa naye pamoja na kazi kubwa aliyokuwa amepewa na MUNGU kuwakomboa Wana wa Israel alilalamika kuwa mbona yeye hawezi kuongea maneno mengi mbele za watu? MUNGU akamwambia nitakupatia Haruni awe msemaji wako.
Sasa Lowasa anao akina Haruni wengi sana wa kuongea ndani ya Ukawa ili atimize kazi aliyopewa.

Ww ni noma nimeipenda hii
 
Daaa kweli kabisa kaka. .mimi nadhani kwa kijana yoyote wa nchi hii hawezi kusapoti uongozi uliopo na taasisi yao (ccm) labda awe na walakini asiye ona maovu na dhuluma zinazoendelea. .Au labda awe na ahadi kama alizopata Makondakta. ..lakini pia unapaswa kifikiria wengine na nchi yako kwa ujumla

Mbowe anakufikiria wewe?
 
Mbowe anakufikiria wewe?

Sijataka kufikiriwa. ..ninalo sema ni ukweli mtupu. .lazima tupate viongozi watakao kuwa na huruma na taifa na wananchi wake, awe mbowe ama kingwendu lakini isiwe Ccm mana imelewa madaraka sasa
 
KipimaPembe
Hoja nzuri kuwa Ukawa watasimamia rasimu ya Warioba. Hata hivyo Lowasa hajawahi kutamka hadharani kwenye suala la Katiba yuko Upande gani
Hiyo tusubiri naimani atatamka tu. Muda bado..

na wanaomjua kwa hulka yake ya kupenda sana madaraka haielekei kuwa Lowasa ndo mtu anayefaa kusimamia hoja hiyo. Tusisahau Lowasa maisha yake yote toka ujana hadi anakuwa mzee yamekuwa ni CCM. Wiki chache kabla ya kuhama alitamka kuwa maisha yake ni CCM.
Hilo la afai, siwezi kuliongelea manake lile SI jambo la mtu mmoja mmoja BALI ni la Taifa zima.

Hilo linathibitishwa na jinsi ambavyo amekuwa akiongea baada ya kuhamia Ukawa. Zaidi sana amekuwa akilalamikia uonevu aliofanyiwa akiwa CCM. Wengi wanaweza kukubaliana naye. Hata hivyo alikuwemo CCM akiwa kiongozi mwandamizi ndani ya chama hicho kwa Miaka mingi mno. Ni vigumu sana kuamini kama Lowasa anaweza akafanya mambo tofauti na alivyofanya akiwa CCM kuliko kuamini kuwa Magufuli anaweza akafanya mambo tofauti. Magufuli hakuwahi hata kuwa kiongozi wa tawi - entirely ni mtu mpya kabisa katika safu za kiutendaji za CCM na anaweza akaja na jipya kuliko Lowasa ambaye kuwepo kwake kwenye "top ranks" za CCM kwa muda mrefu kuna mfanya awe CCM zaidi kuliko hata Magufuli. Litakuja lile swali walilokuwa wakiulizana wana reformation baada ya mpasuko ndani ya Kanisa miaka ile kuwa "is Luther a Lutheran??".
Kumbuka MAkufuli Amewekwa na JK"Mwenye MWANA". Na Pia Sera za ccm sio sera ya Mgombea Binafsi bali ni ya system NZima,. Kwa maana hiyo Magufuli hana atakchoongeza sana sana na yeye aanze kuuza Twiga na Rasilimali za Taifa kam ilivyo Ada kwa viongozi we CCM. MAgufuli amewekwa PAle ili kuua MAkundi ndani ya CCM. Jambo hili halijawezekana pia.

Pia kupitia huo Mfano wako wa Luther bado utaona Lutheran Ipo Mpaka Leo.. SO changamoto zinaweza kuwepo..
Pia NAfasi ya Lowasa pale Ukawa ni kama amezawadiwa ili atekeleze majukumu ya ukawa na anao UZOEFU MKUBWA SANA KULIKO MAGUFULI.

Baada ya Lowasa kuingia Chadema, anaonekana kubeba hoja za ki CCM CCM zaidi kuliko hata wale waliobaki CCM. Swali litakuwa "Is Lowasa representiing Ukawa ideals??".
Mh hapa sijaelewa ni hoja gani mfano aliyoisema imekaa kisisiemu. nachojua huwa anapenda kusema anayatafuta mabadiliko nje ya ccm. Nachoona EL ana utulivu Mzuri unaoweza kumfanya mtu yoyote aone Kuwa Hatetereki.

Hapo wengi tumejikwaa na hatuoni Lowasa akisimamia hoja za Ukawa. Sana sana kuwepo kwake ukawa kunaifanya CCM iliyobaki iungane zaidi kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Jambo hili ni baya zaidi. Mpasuko uliokuwemo ndani ya CCM ndio wengi tulitarajia kiisaidie sana Ukawa. Sasa hivi CCM wana "re-group" wakati Ukawa imepoteza nyota wake wakuu. Hili si jambo la kudharau hata kidogo. Wale wanaopiga makelele tu kuwa Ukawa itashinda si vibaya wakafanya analysis isiyo na chembe ya unafiki huko Majimboni.

lakini bado Mpasuko unaendelea tena kwenye mashina ambao ndio MUhimu zaidi kwani wale ndio wapiga Kura. Japo Viongozi wanapambana kuunganisha Nguvu.

Kimsingi: Yapo mambo ninayoyaona ambayo "yamewekwa/hayajawekwa" kwenye katiba ya UKAWA ambayo CCM walishindwa kuyapitisha na Upo uwezekano kwa Ukawa kutokuafikiana pia. Mambo haya yanatugawa kama taifa na yanabomoa umoja. Nisingependa kuyataja hapa, .. Lakini nadhani utakua umeelewa.. Lowasa katika Ubora wake bado nayaona haya kama yatampa changamoto sana.
 
Watanzania lazma tuamke.huu sio wakati wa kulala hata kwa lisaa limoja.
Lazma tuangalie kwa kina aina ya mabadiliko tunayopigiwa kelele kila siku.Tupime na tujiridhishe kama kweli tunahitaji mabadiliko ya aina hii.Na tujue ukweli wa mambo kama hawa vinara wanaotuponza kila siku kupigwa virungu na polisi kuwa ni kweli nia zao ni kutuletea mabadiliko yatakayotufaa sisi wananchi au mabadiliko wanayoyatangaza ni ya kumtoa mtawala na kuwaweka wao wajilimbikizie mali ambazo kwa sasa hawana fursa nazo.
Kupitia tukio hili la EDWARD LOWASSA kupewa nafasi ya kugombea uraisi kupitia UKAWA,ni wazi kuwa mabadiliko yanayotangazwa ni ya kunufaisha matumbo yao na wala sio ya kutunufaisha watanzania.
Nasema hivi kwa sababu zifuatazo.
1.Edward Lowassa ni fisadi mkubwa nchini Tanzania alietumia pesa nyingi ili tu aende Ikulu.Viongozi hao hao wa ukawa ndio walotufunua macho juu ya ufisadi wa Lowassa kupitia Richmond na mali zake zingine.Leo ni unafki upi ulowafanya wampe nafasi hiyo?
2.UKAWA ni wapigania serikali tatu wakati E L ni mpigania serikali moja.
3.Kupewa nafasi kwa EL kugombea ukawa kunasemwa kila kona kuwa kuna harufu ya kuhongwa kwa watu walotoa nafac hiyo.
4.Kujiondoa kwa LIPUMBA NA SLAA

kanjanja upo kazini, sumu yako kamwagie sangara huku tushashtuka Ccm Ni kimeo/magumashi
 
Back
Top Bottom