Kingengame
Member
- May 4, 2012
- 95
- 17
Eeeh! Hasira zote hizo kisa Ikulu! Kuwa na Amani, huenda jamaa wakifika huko hawatakuita kwenye sherehe za ushindi. Tulia jiandae kisaikolojia kuwa Makapi hayaendi Ikuli. Get it in your Thick Scull.
Umechokoza nyuki, taja wengine ila usiguse mwenyekiti kabisa
Kwani nyie EL mlikuwa mnamuitaje! Leo ndio kawa Shujaa wenu? Si afadhali hata sisi huyo Padri alikuwa Mwanachama wetu.
Asiguswe mwenyekiti yupi mkuu? kama mbowe ndio ameshamtaja sasa ni hiyo nyuki tu kumtafuna. Ila usifanye hivyo ni utoto tu akikua ataacha.
Mhe.Mbowe Jiandae Kuwajibika Katika Hili Kwa Watanzania.
Mpasuko Unaoendelea Sasa Katika UKAWA Ni Matunda Ya Maamuzi Yako Mabovu Yaliyokosa Ridhaa Ya Pamoja Ya Viongozi Wenzako.Maamuzi Yako Yaliyokua Na Lengo La Kuwaburuza Viongozi Wenzio Kifikra Na Kimaamuzi.Na Maamuzi Yako Yaliyofishwa Na Tamaa Yako Ya Uroho Wa Madaraka Na Kukubali Kununuliwa.
Kitendo Cha Kumkaribisha Fisadi Papa No.1 Mhe.Lowassa Ndani Ya UKAWA Na Kupewa Nafasi Ya Kuteuliwa Kama Mgombea Uraisi Bila Ya Maridhiano Thabiti Kutoka Kwa Viongozi Wenzio.Kumekufanya Wewe Uwe Fisadi Papa No.11(Haukuwepo Kwenye Listi Ya Awali Ila Sasa Upo).Na Watanzania Wanatakiwa Kukuogopa Kama Ukoma.Kwa Kuweka Maslahi Yako Mbele Kuliko Maslahi Ya Taifa.
Kama Bado Unaamini Kua Kuondoka Kwa Dr.Slaa Na Prof.Lipumba Ndani Ya UKAWA Hakuna Madhara Yeyote kwa UKAWA.Basi Ukae Ukijua Kua Uko Ni Kujidanganya Na Kujilisha Upepo.
Malipo Ya Usaliti Huu Kwa Viongozi Wenzio
Yatakua Ni Kuanguka Kwako Mwezi October Na Kuporomoka Kwako Kisiasa.Na Ujiandae Kwa Aibu Kubwa

Nimekuwa nikisema tanguzamani siasa za sasa Mbowe hanauwezo nazo yule kakalili siasa za umm,ubabe Na chuki, Mambo yaki binafsi zuzu huyu huyafanya ya CDM . elim yake kwanza hafai kuendelea na uenyekiti karne yaleo, KUNUNULIWA NA FISADI kumezidi kuweka ukweli kuwa huyu ni janga
Pambaf Zenu!.Hakuna Upinzani Tanzania Hii.Mbowe Na Lowassa Ni Wahuni Tu.Pesa Wanazotumia Kuongana Wangezitumia Kuendesha Vimiradi Vyao.Lakini Zasizitumie Kuwadanganyia Watanzania Tuwaamini Tuwape Nchi.Wafikishie Ujumbe Kua Watanzania Sio Mamburulaz.Na Tumeshawashtukia Mapema.Wape Salamu Kua Waendelee Hivo Hivo Kuuota Uraisi Na Uwaziri Mkuu Wa Nchi Hii.
Bravo Komredi Slaa Na Mwanaharakati Prof.Lipumba Kwa Kutokukubali Kushiriki Uchafu Wa Hao Mafisadi.Hamkuweka Uroho Wa Madaraka Mbele Ila Mmetanguliza Uzalendo Kwanza Na Maslahi Ya Taifa.
Bravo! Bravo! Bravo! Aluta Kontinua!