Mchagga huyo achana nae kabisa.
maji taka
Nyie CCM hamna mgombea wa kumnadi?
Achana nao hao.Wameshikwa pabaya hawapumui tena.Kama Wana uhakika na mgombea wao kushinda mbona wanashinda humu wanatokwa jasho?Si mmnadi mgombea wenu muwaachie wananchi waamue October?
Mchagga huyo achana nae kabisa.
kwanini unajidhalilisha kwa kasi kubwa hivi ? umerogwa na nani ? au kwenu mnagombea nyumba ya urithi wanataka ugongwe na gari ili wafaidi wenyewe ?maji taka yamejaa huko ukawa kwenu, mwang'ang'aniza mgonjwa aende ikulu, hakuna icu kule ndani
ila atu wanahama jamani kesho tena
hakika mwenyekiti wa chadema mbowe anasisitiza ukweli, kwamba namba hazidanganyi. anajua sana biashara ndo maana kahamishia nguvu zote kwenye biashara ya siasa maana yamlipa sana.
mwaka 2010 alimuona slaa ni dhahabu, akamshawishi agombee urais akijua kabisa hatashinda ila atasaidia ongeza idadi ya wabunge na hatimaye ruzuku. akaenda bank akachukua mkopo akamnadi slaa, ruzuku ni tele na kapata superprofit kwa uwekezaji wake wa 2010.
sasa hii 2015 kaiona fursa kwa lowasa, sijui kwa hesabu zake ameona atavuna ngapi hadi kufikia 2020. ajua mwenyewe kichwani. slaa ameambiwa kaa kando baada ya kuwaingizia pesa za kutosha.
kweli mbowe katumwa pesa dar.
magufuli ni wa kunadi yule?! kila mtz amjua kwa utendaji wake. nyie huyo mzee wa magumashi a.k.a lowasa mtaanza muosha lini? nasikia sabuni na dodoki vishafika
hakika mwenyekiti wa chadema mbowe anasisitiza ukweli, kwamba namba hazidanganyi. anajua sana biashara ndo maana kahamishia nguvu zote kwenye biashara ya siasa maana yamlipa sana.
mwaka 2010 alimuona slaa ni dhahabu, akamshawishi agombee urais akijua kabisa hatashinda ila atasaidia ongeza idadi ya wabunge na hatimaye ruzuku. akaenda bank akachukua mkopo akamnadi slaa, ruzuku ni tele na kapata superprofit kwa uwekezaji wake wa 2010.
sasa hii 2015 kaiona fursa kwa lowasa, sijui kwa hesabu zake ameona atavuna ngapi hadi kufikia 2020. ajua mwenyewe kichwani. slaa ameambiwa kaa kando baada ya kuwaingizia pesa za kutosha.
kweli mbowe katumwa pesa dar.
magufuli ashajinadi mwenyewe toka waziri kipindi cha mzee mkapa, nyie ndo muomgeze nguvu kumsafisha mzee wa magumashi. hajui hata ongea mbele za watu, ana elhzimer disease yule, atatufia ikulu turudie uchaguzi