Mbowe ameshindwa kesi kabla hata haijaanza!

Kwa mtu anayetumia 3D Thinking atatambua kuwa hitimisho la kesi limeshaonekana baada ya Jopo la Majaji kuwaambia/kuwashauri wanasheria wa Mbowe wamuunganishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kuhusu mipaka na majukumu ya Mkuu wa Mkoa na Kamanda wa Polisi Mkoa.

Ninaamini Wanasheria wa Mbowe hawakutaka kumuunganisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa sababu walifahamu kufanya hivyo ni kosa la kiufundi kutokana na katiba kutoa madaraka makubwa kwa serikali/Rais katika utendaji wake.

Makonda na Kamanda Siro wangefanya kosa la kiufundi kwenda Mahakamani bila Mwanasheria Mkuu wa serikali kuunganishwa katika kesi kwa sababu kesi inatokana na wao kuwa katika utendaji wa majukumu ya serikali. Nadhani walifahamu mtego huu na wamekuwa wajanja kutoenda mahakamani.

Ikumbukwe kuwa Ibara ya 33(2) ya Katiba ya Tanzania inasema;
(2) Rais atakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.

Kwa maana nyingine, kesi iliyopo kwa sasa ni kati ya Mbowe na serikali kuhusu vifungu vya katiba ambavyo vinaipa serikali madaraka ya kutekeleza majukumu yake. Hii ina maana kuwa Makonda na Kamanda Siro wataitwa mahakamani kama mashahidi/watekelezaji wa majukumu ya serikali ambayo kikatiba ni majukumu ya Rais wa Tanzania.

Ieleweke kuwa, Katika Ibara ya 34(3-4) ya Katiba ya Tanzania inasema;
34(3) Mamlaka yote ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano juu ya mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muungano, na pia juu ya mambo mengineyo yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuwa mikononi mwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

34(4) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatatekelezwa ama na Rais mwenyewe moja kwa moja au kwa kukasimu madaraka hayo kwa watu wengine wenye madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.

Katiba ya Tanzania pia imewapa madaraka makubwa wakuu wa mikoa kupitia Ibara ya 61(4) inayosema;
‘’kila Mkuu wa Mkoa, atakuwa na wajibu wa kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli zote za Serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mkoa aliokabidhiwa; na kwa ajili hiyo, atatekeleza kazi na shughuli zote zilizotajwa na sheria, au kwa mujibu wa sheria kama hizi au shughuli za Mkuu wa Mkoa na atakuwa na madaraka yote yatakayotajwa na sheria yoyote iliyotungwa na Bunge’’.

Sheria ya National Defence No 24 ya mwaka 1966 zinamtaja Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ili kuhakikisha kuwa kuna ulinzi na usalama mkoani mwake wakati wote na kuishauri serikali/Rais ipasavyo.

Kamanda Siro amepewa madaraka kisheria kupitia sheria inayoitwa The Police Force and Auxiliary Service Act Chapter 322.

Kwa mantiki ya Katiba na sheria, hii ina maana kuwa, Makonda na Kamanda Siro ni kama gari tu linalobeba maelekezo ya Rais wa Tanzania. Huwezi kulishitaki gari baada ya kukugonga bali utamshitaki dereva wa gari ambaye kimantiki ndani ya Katiba ya Tanzania ni Rais wa Tanzania! The buck stops at President Magufuli!

Ieleweke kuwa Rais amepewa madaraka kisheria na Kikatiba kupitia Ibara ya 36(1-4) ya Katiba ya Tanzania kumfukuza mara moja mtumishi anayefanya kazi kinyume na matakwa yake.

Kama Rais hajawafukuza au kuwapa onyo katika utendaji wao basi kwa maana hiyo anakubaliana na utendaji wao.

Hii kesi imeisha mapema kabla hata haijaanza!

Waingereza husema, ‘’Don't hate the player hate the game’’ kwa maana kuwa, usimchukie Makonda, Kamanda Siro au Rais wa Tanzania, ichukie Katiba ya Tanzania.
Mbona hoja zako nyepesi sana? Kwani kuingizwa kwa AG ndio kumefuta makosa ya Makonda? Nenda kasome upya sheria
 
Jeshi la Polisi walitaka kumkamata Mbowe tena ndo maana wakaomba Mahakama iweke zuio na Mahakama ikakubali hoja hiyo mwambieni Makonda ijumaa anahitajika mahakamani

Jeshi la polisi wamkamate kwanini na wamempa dhamana? Wangetaka wangemzuia tu.
 
Mkuu;
Maadam mahakama haijazuia kesi kuzungumzwa nje ya mahakama, basi sisi tutaendelea kutoa maoni yetu.
tmp_14897-IMG-20170221-WA0065-273413669.jpg
Mpelekeeni ujumbe Makonda
 
Ungetakiwa kuhoji sababu za Jeshi la Polisi kutaka kumkamata Mbowe tena baada ya kumwachia. Mawakili upande wa Mbowe wamefanya jambo sahihi ndo maana hoja yao imekubaliwa na Mahakama kuweka zuio kwa Jeshi la Polisi kutomkamata Mbowe mpaka kesi yake isikilizwe.
Jeshi la polisi wamkamate kwanini na wamempa dhamana? Wangetaka wangemzuia tu.
 
Kwa mtu anayetumia 3D Thinking atatambua kuwa hitimisho la kesi limeshaonekana baada ya Jopo la Majaji kuwaambia/kuwashauri wanasheria wa Mbowe wamuunganishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kuhusu mipaka na majukumu ya Mkuu wa Mkoa na Kamanda wa Polisi Mkoa.

Ninaamini Wanasheria wa Mbowe hawakutaka kumuunganisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa sababu walifahamu kufanya hivyo ni kosa la kiufundi kutokana na katiba kutoa madaraka makubwa kwa serikali/Rais katika utendaji wake.

Makonda na Kamanda Siro wangefanya kosa la kiufundi kwenda Mahakamani bila Mwanasheria Mkuu wa serikali kuunganishwa katika kesi kwa sababu kesi inatokana na wao kuwa katika utendaji wa majukumu ya serikali. Nadhani walifahamu mtego huu na wamekuwa wajanja kutoenda mahakamani.

Ikumbukwe kuwa Ibara ya 33(2) ya Katiba ya Tanzania inasema;
(2) Rais atakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.

Kwa maana nyingine, kesi iliyopo kwa sasa ni kati ya Mbowe na serikali kuhusu vifungu vya katiba ambavyo vinaipa serikali madaraka ya kutekeleza majukumu yake. Hii ina maana kuwa Makonda na Kamanda Siro wataitwa mahakamani kama mashahidi/watekelezaji wa majukumu ya serikali ambayo kikatiba ni majukumu ya Rais wa Tanzania.

Ieleweke kuwa, Katika Ibara ya 34(3-4) ya Katiba ya Tanzania inasema;
34(3) Mamlaka yote ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano juu ya mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muungano, na pia juu ya mambo mengineyo yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuwa mikononi mwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

34(4) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatatekelezwa ama na Rais mwenyewe moja kwa moja au kwa kukasimu madaraka hayo kwa watu wengine wenye madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.

Katiba ya Tanzania pia imewapa madaraka makubwa wakuu wa mikoa kupitia Ibara ya 61(4) inayosema;
‘’kila Mkuu wa Mkoa, atakuwa na wajibu wa kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli zote za Serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mkoa aliokabidhiwa; na kwa ajili hiyo, atatekeleza kazi na shughuli zote zilizotajwa na sheria, au kwa mujibu wa sheria kama hizi au shughuli za Mkuu wa Mkoa na atakuwa na madaraka yote yatakayotajwa na sheria yoyote iliyotungwa na Bunge’’.

Sheria ya National Defence No 24 ya mwaka 1966 zinamtaja Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ili kuhakikisha kuwa kuna ulinzi na usalama mkoani mwake wakati wote na kuishauri serikali/Rais ipasavyo.

Kamanda Siro amepewa madaraka kisheria kupitia sheria inayoitwa The Police Force and Auxiliary Service Act Chapter 322.

Kwa mantiki ya Katiba na sheria, hii ina maana kuwa, Makonda na Kamanda Siro ni kama gari tu linalobeba maelekezo ya Rais wa Tanzania. Huwezi kulishitaki gari baada ya kukugonga bali utamshitaki dereva wa gari ambaye kimantiki ndani ya Katiba ya Tanzania ni Rais wa Tanzania! The buck stops at President Magufuli!

Ieleweke kuwa Rais amepewa madaraka kisheria na Kikatiba kupitia Ibara ya 36(1-4) ya Katiba ya Tanzania kumfukuza mara moja mtumishi anayefanya kazi kinyume na matakwa yake.

Kama Rais hajawafukuza au kuwapa onyo katika utendaji wao basi kwa maana hiyo anakubaliana na utendaji wao.

Hii kesi imeisha mapema kabla hata haijaanza!

Waingereza husema, ‘’Don't hate the player hate the game’’ kwa maana kuwa, usimchukie Makonda, Kamanda Siro au Rais wa Tanzania, ichukie Katiba ya Tanzania.
Kama ameshindwa mnahangaika nini?
 
Angekuwa anatangaza tu bila ushahidi, si angekuwa amekutangaza hata wewe na mimi? Huoni kwamba wengi waliotangazwa wawameshafunguliwa mashitaka mahakamani. Sasa utamfungulia mtu mashitaka mahakamani bila kuwa na ushahidi. Jamani tuache ku politicize suala hili la vita ya madawa.

Hao ambao walitangazwa hadharani na hawakupatikana na chochote ,utaratibu upoje ?..
 
3D thinking ... siku hizi kuna 5D!!!

Kwa hiyo usibweteke na hiyo 3D imepitwa na wakati.
 
  • Thanks
Reactions: 999

Hilo shauri linahusu utumiaji madaraka nje ya mipaka, ambayo, hujamtendea haki rais maana hakuwaambia kwamba wawe juu ya sheria na juu ya mhimili wa bunge, baada ya uteuzi waliapa kuilinda katiba ya JMT na wala hawakuapa kuivunja. Pili kukataa wito halali wa mahakama sio ujanja kama ulivyobainisha, maana hamwezi kuwa na utetezi wowote kwamba wote watatu siku hiyo hamkuwepo kazini, au kupasiana mpira. Wito wa maandishi "summons" wa jeshi la polisi au mahakama ni wito halali kisheria na hautakiwi kukataliwa lest one creates unnecessary inconvenience to the court of law.
 
Chadema bana kesi binafsi ya Mbowe, ila Chama kimeifanya kesi ni ya Chadema na upinzani kweli upinzani wa Tanzania ni [HASHTAG]#Bakunja[/HASHTAG]
 
Kwa mtu anayetumia 3D Thinking atatambua kuwa hitimisho la kesi limeshaonekana baada ya Jopo la Majaji kuwaambia/kuwashauri wanasheria wa Mbowe wamuunganishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kuhusu mipaka na majukumu ya Mkuu wa Mkoa na Kamanda wa Polisi Mkoa.

Ninaamini Wanasheria wa Mbowe hawakutaka kumuunganisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa sababu walifahamu kufanya hivyo ni kosa la kiufundi kutokana na katiba kutoa madaraka makubwa kwa serikali/Rais katika utendaji wake.

Makonda na Kamanda Siro wangefanya kosa la kiufundi kwenda Mahakamani bila Mwanasheria Mkuu wa serikali kuunganishwa katika kesi kwa sababu kesi inatokana na wao kuwa katika utendaji wa majukumu ya serikali. Nadhani walifahamu mtego huu na wamekuwa wajanja kutoenda mahakamani.

Ikumbukwe kuwa Ibara ya 33(2) ya Katiba ya Tanzania inasema;
(2) Rais atakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.

Kwa maana nyingine, kesi iliyopo kwa sasa ni kati ya Mbowe na serikali kuhusu vifungu vya katiba ambavyo vinaipa serikali madaraka ya kutekeleza majukumu yake. Hii ina maana kuwa Makonda na Kamanda Siro wataitwa mahakamani kama mashahidi/watekelezaji wa majukumu ya serikali ambayo kikatiba ni majukumu ya Rais wa Tanzania.

Ieleweke kuwa, Katika Ibara ya 34(3-4) ya Katiba ya Tanzania inasema;
34(3) Mamlaka yote ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano juu ya mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muungano, na pia juu ya mambo mengineyo yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuwa mikononi mwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

34(4) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatatekelezwa ama na Rais mwenyewe moja kwa moja au kwa kukasimu madaraka hayo kwa watu wengine wenye madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.

Katiba ya Tanzania pia imewapa madaraka makubwa wakuu wa mikoa kupitia Ibara ya 61(4) inayosema;
‘’kila Mkuu wa Mkoa, atakuwa na wajibu wa kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli zote za Serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mkoa aliokabidhiwa; na kwa ajili hiyo, atatekeleza kazi na shughuli zote zilizotajwa na sheria, au kwa mujibu wa sheria kama hizi au shughuli za Mkuu wa Mkoa na atakuwa na madaraka yote yatakayotajwa na sheria yoyote iliyotungwa na Bunge’’.

Sheria ya National Defence No 24 ya mwaka 1966 zinamtaja Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ili kuhakikisha kuwa kuna ulinzi na usalama mkoani mwake wakati wote na kuishauri serikali/Rais ipasavyo.

Kamanda Siro amepewa madaraka kisheria kupitia sheria inayoitwa The Police Force and Auxiliary Service Act Chapter 322.

Kwa mantiki ya Katiba na sheria, hii ina maana kuwa, Makonda na Kamanda Siro ni kama gari tu linalobeba maelekezo ya Rais wa Tanzania. Huwezi kulishitaki gari baada ya kukugonga bali utamshitaki dereva wa gari ambaye kimantiki ndani ya Katiba ya Tanzania ni Rais wa Tanzania! The buck stops at President Magufuli!

Ieleweke kuwa Rais amepewa madaraka kisheria na Kikatiba kupitia Ibara ya 36(1-4) ya Katiba ya Tanzania kumfukuza mara moja mtumishi anayefanya kazi kinyume na matakwa yake.

Kama Rais hajawafukuza au kuwapa onyo katika utendaji wao basi kwa maana hiyo anakubaliana na utendaji wao.

Hii kesi imeisha mapema kabla hata haijaanza!

Waingereza husema, ‘’Don't hate the player hate the game’’ kwa maana kuwa, usimchukie Makonda, Kamanda Siro au Rais wa Tanzania, ichukie Katiba ya Tanzania.
Nakubaliana nawe, Kwakifupi mimi nakufananisha na mamba wengi waliotanda kwenye mto hiyo hiwafanyi NYUMBU kutafuta mbinu nyingine ya kuvuka mto, watapita hapohapo kwa mbinu ileile ya jana iliyowapoteza wengi.
 
Hapo ndipo ndipo kwenye utata. Kwani wako wengi tu walishawahi kutajwa hadharani kwa kushukiwa kufanya makosa makubwa ya jinai. Na kati ya hao waliotajwa hadharani wala hawakuweza hata kufikishwa mahakamani kwa kukosekana ushahidi toshelezi wa kuwafikisha mahakamani. Nitatoa mifano ifuatayo:

1. Rostam Aziz na Lowassa - tuhuma ya uhujumu uchumi kupitia kampuni ya mfukoni ya Richmound.

2. Mamia ya majina - kwenye tuhuma ya EPA.

3. Makumi ya majina wakiwamo maaskofu na majaji - kwenye tuhuma ya ESCROW

4. Majina kadhaa kwenye tuhuma ya Lugumi, UDA, stand ya Ubungo na kadhalika.

Nyakati zote hizo hakuna aliyefungua kesi ya kudai Katiba ya nchi imevunjwa kwa kutangazwa hadharani. Leo KUB katangazwa hadharani kwa tuhuma ya kutumia ya kukiuka sheria ya madawa ya kulevya, imekuwa ni suala la Katiba ya nchi. Inaingia mu kichwa kweli?

Anyway tusubiri mahakama kuu na baadaye mahakama ya juu (ya rufaa) italiwekaje suala hili. Nina uhakika kesi hii itafika hadi mahakama ya juu zaidi kwani kwa ye yote atakayeshindwa katika kesi hii ataomba rufaa kwenye mahakama ya juu zaidi. Mahakama ya juu zaidi ya Katiba ni ya jopo la majaji saba likiongozwa na Chief Justice. Hivyo hapa ni mwanzo tu wa movie hii. Ruzuku ya chadema itateketea ile mbaya. Na serikali ilishasema inahitaji hela toka kona zote. Mawakili wanahitaji hizo hela. Jengo la makao makuu pale Ufipa linahitaji hizo hela etc etc.
Hao wengine inaelekea ni waoga au sheria hawazijui, na haki yao ya kutokuchafuliwa hawaijui....Ila Mbowe ameliona hilo na ndo maana akaamua akatafute haki mahakamani
 
Kwa mtu anayetumia 3D Thinking atatambua kuwa hitimisho la kesi limeshaonekana baada ya Jopo la Majaji kuwaambia/kuwashauri wanasheria wa Mbowe wamuunganishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kuhusu mipaka na majukumu ya Mkuu wa Mkoa na Kamanda wa Polisi Mkoa.

Ninaamini Wanasheria wa Mbowe hawakutaka kumuunganisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa sababu walifahamu kufanya hivyo ni kosa la kiufundi kutokana na katiba kutoa madaraka makubwa kwa serikali/Rais katika utendaji wake.

Makonda na Kamanda Siro wangefanya kosa la kiufundi kwenda Mahakamani bila Mwanasheria Mkuu wa serikali kuunganishwa katika kesi kwa sababu kesi inatokana na wao kuwa katika utendaji wa majukumu ya serikali. Nadhani walifahamu mtego huu na wamekuwa wajanja kutoenda mahakamani.

Ikumbukwe kuwa Ibara ya 33(2) ya Katiba ya Tanzania inasema;
(2) Rais atakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.

Kwa maana nyingine, kesi iliyopo kwa sasa ni kati ya Mbowe na serikali kuhusu vifungu vya katiba ambavyo vinaipa serikali madaraka ya kutekeleza majukumu yake. Hii ina maana kuwa Makonda na Kamanda Siro wataitwa mahakamani kama mashahidi/watekelezaji wa majukumu ya serikali ambayo kikatiba ni majukumu ya Rais wa Tanzania.

Ieleweke kuwa, Katika Ibara ya 34(3-4) ya Katiba ya Tanzania inasema;
34(3) Mamlaka yote ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano juu ya mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muungano, na pia juu ya mambo mengineyo yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuwa mikononi mwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

34(4) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatatekelezwa ama na Rais mwenyewe moja kwa moja au kwa kukasimu madaraka hayo kwa watu wengine wenye madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.

Katiba ya Tanzania pia imewapa madaraka makubwa wakuu wa mikoa kupitia Ibara ya 61(4) inayosema;
‘’kila Mkuu wa Mkoa, atakuwa na wajibu wa kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli zote za Serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mkoa aliokabidhiwa; na kwa ajili hiyo, atatekeleza kazi na shughuli zote zilizotajwa na sheria, au kwa mujibu wa sheria kama hizi au shughuli za Mkuu wa Mkoa na atakuwa na madaraka yote yatakayotajwa na sheria yoyote iliyotungwa na Bunge’’.

Sheria ya National Defence No 24 ya mwaka 1966 zinamtaja Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ili kuhakikisha kuwa kuna ulinzi na usalama mkoani mwake wakati wote na kuishauri serikali/Rais ipasavyo.

Kamanda Siro amepewa madaraka kisheria kupitia sheria inayoitwa The Police Force and Auxiliary Service Act Chapter 322.

Kwa mantiki ya Katiba na sheria, hii ina maana kuwa, Makonda na Kamanda Siro ni kama gari tu linalobeba maelekezo ya Rais wa Tanzania. Huwezi kulishitaki gari baada ya kukugonga bali utamshitaki dereva wa gari ambaye kimantiki ndani ya Katiba ya Tanzania ni Rais wa Tanzania! The buck stops at President Magufuli!

Ieleweke kuwa Rais amepewa madaraka kisheria na Kikatiba kupitia Ibara ya 36(1-4) ya Katiba ya Tanzania kumfukuza mara moja mtumishi anayefanya kazi kinyume na matakwa yake.

Kama Rais hajawafukuza au kuwapa onyo katika utendaji wao basi kwa maana hiyo anakubaliana na utendaji wao.

Hii kesi imeisha mapema kabla hata haijaanza!

Waingereza husema, ‘’Don't hate the player hate the game’’ kwa maana kuwa, usimchukie Makonda, Kamanda Siro au Rais wa Tanzania, ichukie Katiba ya Tanzania.
Mtoa mada nakupongeza kwa ufafanuz wako mzuri wa hata bila kumulikiwa na tochi unaelewa. Ebu tukubali ukweli unaposemwa na kwa kuwa we we mpinzani basi kila kitu wewe kupinga.
 
Hebu tupe kipande cha sheria kinacho mruhusu Mkuu wa mkoa kutaja majina ya wahalifu bila ushahidi kwenye vyombo vya habari??......
 
Nashukuru sana mkuu kwa uelewa wako......UKIJARIBU KUCHUNGUZA MWENENDO WA MATUMIZI YA RUZUKU CHADEMA UNAWEZA KUTA 80% imetumika kulipa mawakili na gharama za kuendeshea kesi.......mwisho wa siku wakili ana mkatia mkuu 10% ya alichopata muhusika wa kesi...na ndio maana kila kukicha kesi zina tengenezwa intentionally...huu ni mradi wa baadhi ya wajanja chamani
Daah! Yaani hapo ndiyo umenifumbua, maana kila siku nilikuwa naumiza kichwa kwanini hawa jamaa maisha yao katika chama wanashughulika na kesi tu, kama hawashtaki wao basi watatafuta namna ilimradi tu wafikishwe mahakamani, baada ya hapo wanajua jinsi ya kumalizia. Anyway ni moja ya ujasiriamali wa kucheza na akili za watu!
 
Angekuwa anatangaza tu bila ushahidi, si angekuwa amekutangaza hata wewe na mimi? Huoni kwamba wengi waliotangazwa wawameshafunguliwa mashitaka mahakamani. Sasa utamfungulia mtu mashitaka mahakamani bila kuwa na ushahidi. Jamani tuache ku politicize suala hili la vita ya madawa.
Mkuu umeshaponyesha wagonjwa wenye Pre-eclampsia lakini?? Haya turudi kwenye mada "huoni kama wengi waliotangazwa......." Kwahiyo kwenye hao wengi ina maana kuna wachache wametajwa kwa kusingiziwa na bila kua na ushahidi mfano Gwajima.....huoni kama hapa RC alilenga kuwachafua watu kwenye media maana utaratibu haukufuatwa wa kuwaita hao anaohisi ni wahusika wa madawa. Mbowe anadai kachafuliwa na mm naona ni haki yake kikatiba kufungua mashtaka dhidi ya RC
 
Back
Top Bottom