Mbowe ameshindwa kesi kabla hata haijaanza!

Kwa mtu anayetumia 3D Thinking atatambua kuwa hitimisho la kesi limeshaonekana baada ya Jopo la Majaji kuwaambia/kuwashauri wanasheria wa Mbowe wamuunganishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kuhusu mipaka na majukumu ya Mkuu wa Mkoa na Kamanda wa Polisi Mkoa.

Ninaamini Wanasheria wa Mbowe hawakutaka kumuunganisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa sababu walifahamu kufanya hivyo ni kosa la kiufundi kutokana na katiba kutoa madaraka makubwa kwa serikali/Rais katika utendaji wake.

Makonda na Kamanda Siro wangefanya kosa la kiufundi kwenda Mahakamani bila Mwanasheria Mkuu wa serikali kuunganishwa katika kesi kwa sababu kesi inatokana na wao kuwa katika utendaji wa majukumu ya serikali. Nadhani walifahamu mtego huu na wamekuwa wajanja kutoenda mahakamani.

Ikumbukwe kuwa Ibara ya 33(2) ya Katiba ya Tanzania inasema;
(2) Rais atakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.

Kwa maana nyingine, kesi iliyopo kwa sasa ni kati ya Mbowe na serikali kuhusu vifungu vya katiba ambavyo vinaipa serikali madaraka ya kutekeleza majukumu yake. Hii ina maana kuwa Makonda na Kamanda Siro wataitwa mahakamani kama mashahidi/watekelezaji wa majukumu ya serikali ambayo kikatiba ni majukumu ya Rais wa Tanzania.

Ieleweke kuwa, Katika Ibara ya 34(3-4) ya Katiba ya Tanzania inasema;
34(3) Mamlaka yote ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano juu ya mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muungano, na pia juu ya mambo mengineyo yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuwa mikononi mwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

34(4) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatatekelezwa ama na Rais mwenyewe moja kwa moja au kwa kukasimu madaraka hayo kwa watu wengine wenye madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.

Katiba ya Tanzania pia imewapa madaraka makubwa wakuu wa mikoa kupitia Ibara ya 61(4) inayosema;
‘’kila Mkuu wa Mkoa, atakuwa na wajibu wa kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli zote za Serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mkoa aliokabidhiwa; na kwa ajili hiyo, atatekeleza kazi na shughuli zote zilizotajwa na sheria, au kwa mujibu wa sheria kama hizi au shughuli za Mkuu wa Mkoa na atakuwa na madaraka yote yatakayotajwa na sheria yoyote iliyotungwa na Bunge’’.

Sheria ya National Defence No 24 ya mwaka 1966 zinamtaja Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ili kuhakikisha kuwa kuna ulinzi na usalama mkoani mwake wakati wote na kuishauri serikali/Rais ipasavyo.

Kamanda Siro amepewa madaraka kisheria kupitia sheria inayoitwa The Police Force and Auxiliary Service Act Chapter 322.

Kwa mantiki ya Katiba na sheria, hii ina maana kuwa, Makonda na Kamanda Siro ni kama gari tu linalobeba maelekezo ya Rais wa Tanzania. Huwezi kulishitaki gari baada ya kukugonga bali utamshitaki dereva wa gari ambaye kimantiki ndani ya Katiba ya Tanzania ni Rais wa Tanzania! The buck stops at President Magufuli!

Ieleweke kuwa Rais amepewa madaraka kisheria na Kikatiba kupitia Ibara ya 36(1-4) ya Katiba ya Tanzania kumfukuza mara moja mtumishi anayefanya kazi kinyume na matakwa yake.

Kama Rais hajawafukuza au kuwapa onyo katika utendaji wao basi kwa maana hiyo anakubaliana na utendaji wao.

Hii kesi imeisha mapema kabla hata haijaanza!

Waingereza husema, ‘’Don't hate the player hate the game’’ kwa maana kuwa, usimchukie Makonda, Kamanda Siro au Rais wa Tanzania, ichukie Katiba ya Tanzania.
Umejitahidi kudadavua lakinhujaelewa kiini cha kesi ni nin;rais ndio anahusiwa ktaja taja majina ya watu ovyoovyo kuwa wamekosa hiki au kile bila hata uhakiki wa kosa?,.

Umesema kuwa rais amekubaliana na matamko ya Makonda,me nasema hapana,ndio maana mara baada ya kuon kuna kosa la kisheria waliamua kumteua kamishina wa kupambana na madawa na hataj majina tena kwni ni kosa kumtaja mtu kuwa kakosa kosa fuln ilhali huna uthibitisho. Kwa hili wanalo!!!!!....
 
Mbowe alisema Atamshitaki Paul Makonda Binafsi na si Serikali

Nilicheka sana nikajua ends Mh. Mbowe anadhani Masuala ya kisheria ni mepesi mepesi Kama vile kuuza Madawa yake ya kulevya!
 
Kwani unafikili kuna kesi basi?

Hizo ni mbinu za Mbowe kulamba ruzuku ya chama kiulaini.

Hapo utasikia bajeti ya kuendeshea ni billion 3

Siku utakapokuja kubambikizwa kesi na Mkuu wa mkoa ndipo utakuwa na adabu.Kwa sasa hivi endelea kufikiria ni Mbowe na Wapinzani, ila atakuja kulia na Kusaga meno.Muda tu ndiyo muamuzi wa haya.
 
Mbona sasa yule zombie sijui zomba kwenye kesi ya mauaji ambayo ilifanyika whilst on police duty mwanasheria wa serikari akushirikishwa.

Unapokiuka sheria za nchi lako hilo

Ile ilikuwa Kesi ya Jinai na anaeshitaki ni Jamhuri.

Jamhuri haiwezi kujishtaki ( DPP amfungulie Kesi AG)
 
Mkuu MsemajiUkweli kama hujui jambo,ni heri ukauliza. Hujui lolote kuhusu sheria,ukae kimya. Pathetic!

Petro Muelimishe mwanaume mwenzako kwa maana amefungwa na UKADA, Chuki, visasi na ubaguzi. Kwake Wapinzani siyo RAIA halali wa Taifa hili.Kwao ni halali kwa Wapinzani kuwekwa ndani na kufunguliwa mashtaka.hata kama si.ya kweli.Kwao kuchafua Wapinzani ni sawa maana hawana hadhi ya kuwa Watanzania.

Muelimishe maana siku moja atakuja kulia na Kusaga meno
 
Kwa mtu anayetumia 3D Thinking atatambua kuwa hitimisho la kesi limeshaonekana baada ya Jopo la Majaji kuwaambia/kuwashauri wanasheria wa Mbowe wamuunganishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kuhusu mipaka na majukumu ya Mkuu wa Mkoa na Kamanda wa Polisi Mkoa.

Ninaamini Wanasheria wa Mbowe hawakutaka kumuunganisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa sababu walifahamu kufanya hivyo ni kosa la kiufundi kutokana na katiba kutoa madaraka makubwa kwa serikali/Rais katika utendaji wake.

Makonda na Kamanda Siro wangefanya kosa la kiufundi kwenda Mahakamani bila Mwanasheria Mkuu wa serikali kuunganishwa katika kesi kwa sababu kesi inatokana na wao kuwa katika utendaji wa majukumu ya serikali. Nadhani walifahamu mtego huu na wamekuwa wajanja kutoenda mahakamani.

Ikumbukwe kuwa Ibara ya 33(2) ya Katiba ya Tanzania inasema;
(2) Rais atakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.

Kwa maana nyingine, kesi iliyopo kwa sasa ni kati ya Mbowe na serikali kuhusu vifungu vya katiba ambavyo vinaipa serikali madaraka ya kutekeleza majukumu yake. Hii ina maana kuwa Makonda na Kamanda Siro wataitwa mahakamani kama mashahidi/watekelezaji wa majukumu ya serikali ambayo kikatiba ni majukumu ya Rais wa Tanzania.

Ieleweke kuwa, Katika Ibara ya 34(3-4) ya Katiba ya Tanzania inasema;
34(3) Mamlaka yote ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano juu ya mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muungano, na pia juu ya mambo mengineyo yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuwa mikononi mwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

34(4) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatatekelezwa ama na Rais mwenyewe moja kwa moja au kwa kukasimu madaraka hayo kwa watu wengine wenye madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.

Katiba ya Tanzania pia imewapa madaraka makubwa wakuu wa mikoa kupitia Ibara ya 61(4) inayosema;
‘’kila Mkuu wa Mkoa, atakuwa na wajibu wa kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli zote za Serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mkoa aliokabidhiwa; na kwa ajili hiyo, atatekeleza kazi na shughuli zote zilizotajwa na sheria, au kwa mujibu wa sheria kama hizi au shughuli za Mkuu wa Mkoa na atakuwa na madaraka yote yatakayotajwa na sheria yoyote iliyotungwa na Bunge’’.

Sheria ya National Defence No 24 ya mwaka 1966 zinamtaja Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ili kuhakikisha kuwa kuna ulinzi na usalama mkoani mwake wakati wote na kuishauri serikali/Rais ipasavyo.

Kamanda Siro amepewa madaraka kisheria kupitia sheria inayoitwa The Police Force and Auxiliary Service Act Chapter 322.

Kwa mantiki ya Katiba na sheria, hii ina maana kuwa, Makonda na Kamanda Siro ni kama gari tu linalobeba maelekezo ya Rais wa Tanzania. Huwezi kulishitaki gari baada ya kukugonga bali utamshitaki dereva wa gari ambaye kimantiki ndani ya Katiba ya Tanzania ni Rais wa Tanzania! The buck stops at President Magufuli!

Ieleweke kuwa Rais amepewa madaraka kisheria na Kikatiba kupitia Ibara ya 36(1-4) ya Katiba ya Tanzania kumfukuza mara moja mtumishi anayefanya kazi kinyume na matakwa yake.

Kama Rais hajawafukuza au kuwapa onyo katika utendaji wao basi kwa maana hiyo anakubaliana na utendaji wao.

Hii kesi imeisha mapema kabla hata haijaanza!

Waingereza husema, ‘’Don't hate the player hate the game’’ kwa maana kuwa, usimchukie Makonda, Kamanda Siro au Rais wa Tanzania, ichukie Katiba ya Tanzania.
bottom line......RC alikiuka taratibu katika kutekeleza sheria inayompa mamlaka ya ukamataji. kukiuka taratibu katika kutekeleza sheria ni kosa la kisheria. hapo bado hata hatujaongelea ukiukwaji wa sheria mama (katiba) ambayo inapigilia msumari dhidi ya RC.

anyways, let's cut the jungle stuff......tuiache mahakama itoe tafsiri.
 
Mkuu MsemajiUkweli kama hujui jambo,ni heri ukauliza. Hujui lolote kuhusu sheria,ukae kimya. Pathetic!
Mkuu embu tuwekee jambo hili sawa!!
Kwanini Mahakama iishauri jopo la mawakili wa Mbowe Wamuunganishe Mwanasheria mkuu wa serikali?
Bila Mwanasheria Mkuu wa serikali kesi haiwezwi kusikilizwaa??
 
Bush lawyer at work....kwa taarifa yako mwanasheria mkuu wa serikali anaongezwa kwenye list ya washtakiwa....haongezwi kuja kusimama kwa niaba ya kina makonda na siro...kwahiyo hao wote ni washtakiwa....ni sawa na kesi za uchaguzi wa wabunge majimboni...lazima umshtaki mwanasheria mkuu, mgombea unayehisi hakushinda kihalali na pia umshitaki returning officer ambaye ni DED..!!
 
Mbowe alisema Atamshitaki Paul Makonda Binafsi na si Serikali

Nilicheka sana nikajua ends Mh. Mbowe anadhani Masuala ya kisheria ni mepesi mepesi Kama vile kuuza Madawa yake ya kulevya!

Kwa sababu mmezoea kuuza madawa ya kulevya basi mjue wote wanaakili za kipumbavu kama nyie mafisi.

Mnachothamini ni UKADA badala ya Utaifa wetu.For once hakuna aliye juu ya Katiba,na makonda analijua hilo ila sababu ya Uteja wa Madaraka wamejisahau,wanaabudu Madaraka,wanakula Madaraka, wanajigamba sababu ya kulewa Madaraka, ila kuna siku mtalia na Kusaga meno
 
Kwa mtu anayetumia 3D Thinking atatambua kuwa hitimisho la kesi limeshaonekana baada ya Jopo la Majaji kuwaambia/kuwashauri wanasheria wa Mbowe wamuunganishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kuhusu mipaka na majukumu ya Mkuu wa Mkoa na Kamanda wa Polisi Mkoa.

Ninaamini Wanasheria wa Mbowe hawakutaka kumuunganisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa sababu walifahamu kufanya hivyo ni kosa la kiufundi kutokana na katiba kutoa madaraka makubwa kwa serikali/Rais katika utendaji wake.

Makonda na Kamanda Siro wangefanya kosa la kiufundi kwenda Mahakamani bila Mwanasheria Mkuu wa serikali kuunganishwa katika kesi kwa sababu kesi inatokana na wao kuwa katika utendaji wa majukumu ya serikali. Nadhani walifahamu mtego huu na wamekuwa wajanja kutoenda mahakamani.

Ikumbukwe kuwa Ibara ya 33(2) ya Katiba ya Tanzania inasema;
(2) Rais atakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.

Kwa maana nyingine, kesi iliyopo kwa sasa ni kati ya Mbowe na serikali kuhusu vifungu vya katiba ambavyo vinaipa serikali madaraka ya kutekeleza majukumu yake. Hii ina maana kuwa Makonda na Kamanda Siro wataitwa mahakamani kama mashahidi/watekelezaji wa majukumu ya serikali ambayo kikatiba ni majukumu ya Rais wa Tanzania.

Ieleweke kuwa, Katika Ibara ya 34(3-4) ya Katiba ya Tanzania inasema;
34(3) Mamlaka yote ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano juu ya mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muungano, na pia juu ya mambo mengineyo yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuwa mikononi mwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

34(4) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatatekelezwa ama na Rais mwenyewe moja kwa moja au kwa kukasimu madaraka hayo kwa watu wengine wenye madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.

Katiba ya Tanzania pia imewapa madaraka makubwa wakuu wa mikoa kupitia Ibara ya 61(4) inayosema;
‘’kila Mkuu wa Mkoa, atakuwa na wajibu wa kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli zote za Serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mkoa aliokabidhiwa; na kwa ajili hiyo, atatekeleza kazi na shughuli zote zilizotajwa na sheria, au kwa mujibu wa sheria kama hizi au shughuli za Mkuu wa Mkoa na atakuwa na madaraka yote yatakayotajwa na sheria yoyote iliyotungwa na Bunge’’.

Sheria ya National Defence No 24 ya mwaka 1966 zinamtaja Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ili kuhakikisha kuwa kuna ulinzi na usalama mkoani mwake wakati wote na kuishauri serikali/Rais ipasavyo.

Kamanda Siro amepewa madaraka kisheria kupitia sheria inayoitwa The Police Force and Auxiliary Service Act Chapter 322.

Kwa mantiki ya Katiba na sheria, hii ina maana kuwa, Makonda na Kamanda Siro ni kama gari tu linalobeba maelekezo ya Rais wa Tanzania. Huwezi kulishitaki gari baada ya kukugonga bali utamshitaki dereva wa gari ambaye kimantiki ndani ya Katiba ya Tanzania ni Rais wa Tanzania! The buck stops at President Magufuli!

Ieleweke kuwa Rais amepewa madaraka kisheria na Kikatiba kupitia Ibara ya 36(1-4) ya Katiba ya Tanzania kumfukuza mara moja mtumishi anayefanya kazi kinyume na matakwa yake.

Kama Rais hajawafukuza au kuwapa onyo katika utendaji wao basi kwa maana hiyo anakubaliana na utendaji wao.

Hii kesi imeisha mapema kabla hata haijaanza!

Waingereza husema, ‘’Don't hate the player hate the game’’ kwa maana kuwa, usimchukie Makonda, Kamanda Siro au Rais wa Tanzania, ichukie Katiba ya Tanzania.
Kwa hiyo ukiwa Mteule wa Raisi ndio unakuwa juu ya Sheria na katiba sio ?
 
Siwaoni wale jamaa hapa.
Tegemea madongo ya hapa na pale.
Watakuja kujua kwamba Mboe na Lissu ni mamafia. too late
 
Kama amepotosha weka sawa basi, unasema amepotosha halafu hakuna mahali unasahihisha, kama siyo usaniii ni nini? Kusema kila mtu anaweza hata mimi siyo Mwanasheria naweza pia kusema!
Kazi yenu kuropoka halafu muwekwe sawa,si ndiyo? Hakuna jambo kama hilo. Mnapaswa kuandika mambo mnayoyafahamu. Shame!
 
Kwani unafikili kuna kesi basi?

Hizo ni mbinu za Mbowe kulamba ruzuku ya chama kiulaini.

Hapo utasikia bajeti ya kuendeshea ni billion 3
Nashukuru sana mkuu kwa uelewa wako......UKIJARIBU KUCHUNGUZA MWENENDO WA MATUMIZI YA RUZUKU CHADEMA UNAWEZA KUTA 80% imetumika kulipa mawakili na gharama za kuendeshea kesi.......mwisho wa siku wakili ana mkatia mkuu 10% ya alichopata muhusika wa kesi...na ndio maana kila kukicha kesi zina tengenezwa intentionally...huu ni mradi wa baadhi ya wajanja chamani
 
Kwani unafikili kuna kesi basi?

Hizo ni mbinu za Mbowe kulamba ruzuku ya chama kiulaini.

Hapo utasikia bajeti ya kuendeshea ni billion 3
Mkuu;
Siamini kama ni mbinu za kulamba ruzuku.

Mbowe hahitaji kupitia njia hii ili alambe ruzuku za chama kwa sababu madaraka aliyonayo ndani ya chama yanamruhusu kulamba ruzuku bila kupata maswali au kuzuizi.
 
Back
Top Bottom