Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Yan huyu baba sijui dhamira yake ni nini kwa taifa hili. Huku niliko ameshaleta pesa za kuwahonga bodaboda na ziko proved sio tetesi. Enyi vijana mwenzangu hebu fungueni macho taifa linaangamia najua CCM nayo sio njema heri mara mia basi tuchagua chama kingine tukipe ila kumpa El tutakuja jutia huo msururu wa best zake nia yao ni kuwekeza kwenye gesi na madini wapewe wao na hela anazomwaga mtaani sijui anazipata wapi. Imagine since 2011 hadi leo anamwaga tu pesa inasemekana not proved ana kiasi cha 3 trillions

yaani huyu baba ingekua naruhusiwa kumfukuza ningemfukuza aisee....kwanza ni aibu hata kumuongelea...tabora aibuView attachment 285422
 
Sidhani kama viongozi wenye upeo wanaweza kujibu tuhuma ambazo azina ukweli wao wanaofikiri chadema imeuzwa waitime tra wakachukue kodi

Acha kuleta utetezi wa kitoto. Wengine tupo humu miaka mingi tunajua Chadema huku JF vizuri sana. Wangekuwa na uhakika wangekuja senior wote na ID zao kukanusha lakini wamekaa kimya. Hadharani hata Lissu hajawahi kukana au kumtetea bosi wake kuhusu tuhuma hizi. Ni kwa sababu huu ndio ukweli
Mauzo yamefanyika 2015 lakini majadiliano yalianza 2011 mara baada ya 2010
Kuna siku tutakuja kudhihirisha mengi zaidi jinsi watu wanavyozidi kuongea. Chadema asilia is not a myth!
 
Hakuna haijauzwa ila wameelimika howoni ccm ndo wamekua na siasa za matusi kama chadema hapo mwanzo sasa hivi chadema hawana propaganda tena lowasa kawatuliza tuliiiii tufate yetu tuache siasa za kanga viva mboweee viva ukawaaaaa viva lisuuu
 
Hakuna haijauzwa ila wameelimika howoni ccm ndo wamekua na siasa za matusi kama chadema hapo mwanzo sasa hivi chadema hawana propaganda tena lowasa kawatuliza tuliiiii tufate yetu tuache siasa za kanga viva mboweee viva ukawaaaaa viva lisuuu

We umeingia kichwa kichwa humu. Hebu tulia rudi usome tokea mwanzo post hii ni ya 2011. Soma chama kilivyouzwa. Acha kushabikia kitu huelewi. Lowassa kawatuliza kwa pesa, wenzako wameshavuta mabilioni we hujapata senti hata tano unashabikia viva viva! Ngoja uchaguzi upite uone wenzako wanatimukia London na Dubai, wewe utabaki na umaskini wako.
Amka kijana!
 
Kumbe alianza siku nyingi.

Huyu mamvi akili zake zinamtuma kila kitu anaweza kukipata kwa pesa.

Safari hii ataelewa kuwa urais hauji kwa fedha zako.
 
Kuichagua ccm nikuendelea kwa kurudi nyuma. DEVELOPMENT OF UNDERDEVELOPMENT.
Hivi kuna sababu zipi za kukaa na chama dora ili hali tunataka kua na Demokrasia ya vyama nasi demokrasia ya chama dora.
Kwa uhakika asilimia kubwa wanao ipigia chapuo ccm wengi ni wapiga dili na wavunja sheria.
Mfano wenye mashule binafsi wengi wanaoisupport CCM wanachezea mitihani na wengi ushaidi tunao kabisa.
Biashara wengi ni wakwepa kodi na awafuati taratibi. This as created fear and panic among them because of their malpractices.
 
Kwakweli we have a long journey to go kama bado kuna watu wanadhani mfumo huu unaweza kuivusha Tanzania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom