Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Kwa niaba ya Baraza la Vijana wa
CHADEMA (BAVICHA), kwa
taarifa hii tunarudia kukemea jitihada zozote za kumlinda na
kumtangaza Lowassa
kuwa shujaa katika taifa letu kwani hali hii ikiachwa
kuendelea inatoa mfano
mbaya kwa vijana wa Tanzania. Tusingependa kwa namna yoyote
katika taifa letu,
mtuhumiwa wa ufisadi aliyetajwa pia katika orodha ya
mafisadi(list of shame)
kulindwa na kuenziwa kama shujaa wa Taifa letu kwani ni
kuharibu maana nzima ya
ushujaa katika uwajibikaji.

Imetolewa tarehe 31 Agosti 2008
safirini Kenya na:

John Mnyika

Mkurugenzi wa Vijana

0754694553
Eti ndo tuwape NCHI! Hakuna kitu kama hicho! Mnyika acha kujidharirisha bwana mdogo!
 
Yalopita si ndwele mjombaa tugange ya Oktoba 25 ili tumalize ubishi na fisiem
 
Huyo ndio Mr DJ Mbowe, yeye kwake fedha tu na sio kitu kingine, na ndio maana alisema ni kichaa pekee anayeweza kumkataa fisadi Lowassa kujiunga na chama chao
 
Ninamatizo yaakili lakini mbowe kisha muuzia edo chama. Nyie msio kuwa na Akili bado mmo tu. Angalia watu kama slaa, lipumba wamewatelekeza shitukeni enye nyumbu
 
Hizi ndizo siasa eti walioaminiwa kwa miaka 54 wakafanya shaghala baghala wanaleta propaganda zao hapa!Kura zitapigwa tu mfumo ung'oke hatungadanyani kwa kufufua uzi eti kutokea Twitter,mbinu za CDM haziwasafishi CCM na kutuondoa kwenye njia kuu. Mabadiliko ni leo na sio kesho.
 
Hizi ndizo siasa eti walioaminiwa kwa miaka 54 wakafanya shaghala bagahala wanaleta propaganda zao hapa!Kura zitapigwa tu mfumo ung'oke hatudanyani kwa kufufua uzi eti kutokea Twitter,mbinu za CDM haziwasafishi CCM na kutuondoa kwenye njia kuu. Mabadiliko ni leo na sio kesho.

njaa ya chadema na mabadiliko hewa
 
Hizi ndizo siasa eti walioaminiwa kwa miaka 54 wakafanya shaghala baghala wanaleta propaganda zao hapa!Kura zitapigwa tu mfumo ung'oke hatungadanyani kwa kufufua uzi eti kutokea Twitter,mbinu za CDM haziwasafishi CCM na kutuondoa kwenye njia kuu. Mabadiliko ni leo na sio kesho.

Mkuu uzi umefufuliwa kutokea Twitter? Dah! Hivi we mgeni sana JF inaonekana eh? Huu uzi upo na utaendelea kuwepo! Hii habari ya 2011. Hebu shtuka kidogo!
 
bora mbowe kauza kwa mTanzania mwenzie ccm imeuzwa kwa wazungu na wachina
 
bora mbowe kauza kwa mTanzania mwenzie ccm imeuzwa kwa wazungu na wachina

Sasa mnaanza kukubali kuwa Mbowe kawauza, eh? Taratibu mtaanza kujivua nguo.
Mnaona sifa kuuzwa? Sasa mkiingia madarakani mnataka mtuuze na sisi kwa mafisadi papa?
Yaani bora ungekaa kimya!
 
Sasa mnaanza kukubali kuwa Mbowe kawauza, eh? Taratibu mtaanza kujivua nguo.
Mnaona sifa kuuzwa? Sasa mkiingia madarakani mnataka mtuuze na sisi kwa mafisadi papa?
Yaani bora ungekaa kimya!

Sijuii haya majamaa yanayojiita cdm ..yakoje unajua kabisa uliwekwa sokoni ukauzwa lkn bado unataka mabadiliko....ebu tueshimiane bana mabadiliko ya kuacha misingi ya cha wapi na wapi???
 
Sijuii haya majamaa yanayojiita cdm ..yakoje unajua kabisa uliwekwa sokoni ukauzwa lkn bado unataka mabadiliko....ebu tueshimiane bana mabadiliko ya kuacha misingi ya cha wapi na wapi???

Mkuu mi nawasubiri taratibu watatueleza kila kitu! Kumbe misingi ile ya kupambana na ufisadi na uadilifu ilikuwa geresha? ! Maskini Wangwe! Kumbe Zitto na wenzake walikuwa mwiba kwa akina Mbowe?
Tusubiri data zingine zitakuja kuwekwa naamini wameshaanza kuvurugana!
 
UKWELI TAYARI UMEJIDHIHIRISHA DALALI MBOWE ameshatia kibindoni 10Billions na nafasi ya Katibu Mkuu ambayo @Dr Slaa wamemtema inasemekana anataka kupewa tapeli mwingine mbaye ni swahiba mkuu wa FISADI HILO MAARUFU KAMA THE DON WHITE HAIR aitwaye MGANA MSIDAI a.k.a CHAKUBANGA. waliouzwa kwa bei rahis ni pamoja na akina Julius Mtatiro James Mbatia na kina Tundu Lissu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom