Kumbe huyu mzee alianza harakati siku nyingi?! Mazigazi
Halafu watu badala ya kuangalia facts, tunafuata upepo, ama kweli lisemwalo lipo.....,
Aaargh huu unafiki hauwezi kuvumilika!Watu wamekufa na kubaki walemavu kwa ajili ya CHADEMA,Halafu leo hii mtu anauza chama kwa maslahi binafsi akijificha chini ya muamvuli wa Mabadiliko na uzalendo!!?
Wengi wanaomshabikia Lowassa ni vijana wadogo wasiojua vyema history ya nchii hii na harakati za Chadema miaka 8 nyuma!!hawataki kusoma ripoti za serikali zinazomhusu Lowassa miaka ya nyuma!kinyume chake wamekalia ushabiki wa kukaririshwa
Chadema tuliyoijenga sio hii ya sasa hivi!!ni heri nimpe Magufuri kuliko huyu Chui mwenye ngozi ya kondoo
Teh! Teh! Teh!...jamani EBU ONENI VITUKO HIVI ETI HUYU NAYE "ANASEMA CHADEMA ALIYOIJENGA SIO HII YA SASA...HIVI WEWE GAMBA ULIKUWA MWANACHADEMA TOKA LINIII?...ALAFU BILA AIBU UNASEMA ETI WENGI WANAOISHABIKIA CHADEMA NI VIJANA WADOGO WAKATI WATU TUNA KADI ZA CHADEMA TOKEA 99 NA NILIANZA KUWA MWANACHAMA HAI 2003...ETI HAWATAKI KUSOMA REPORT ZA SERIKALI ZINAZOMHUSU LOWASSA...NI HIVII HIZO REPORT KAMA ILE YA RICHMOND NINAYO KWENYE S4 YANGU NA NIMEISOMA ZAIDI YA MARA 6 NA UKWELI NI KUWA HAKUNA UHUSIKA WA MOJA KWA MOJA WA WAZIRI MKUU WA NANE WA J.M.T(EDWARD LOWASSA)...SASA KWANINI NIITOSE CHADEMA??...AU KWA ULE UPUUZI WA SLAA MLIOMPA NA KUMLIPIA ILE PRESS CONFERENCE ILI AROPOKE???...NA MNAVYOSEMA MBOWE AMEIUZA CHADEMA LETENI NA USHAHIDI MUELEWEKE NA SIO KUTOA MAPOVU KWA KUJIFANYA MNA UCHUNGU NA CHADEMA WAKATI WENGINE NYIE NI MAFISIEMU MLIOTUKUKA!
ATA MSEMAJE #KURA NI KWA LOWASSA FOREVER!!!
Chama kimeuzwa lakini bado hakina hela, eti sasa hivi nasikia wanachangisha wananchi kupitia Tigo pesa, M pesa, na nyinginezo
Tumeyaona mangapi, mpaka hili lishindwe kuwepo?lisemwalo lipo na km halipo..
.......
Halafu wakifika magogoni, watu wa huku ng'ambo atawaonaje, itabidid atafute daraja lingine ama?Wanaitaka kama daraja la kuwafikisha magogoni.
Wameuza chama sasa hivi wanafanya FUNDRAISiNG, kupitia mitandao ya simu za mkononi, tuwachangieni CDM itakufa
Hilo ni ukweli na halina shaka ndani yake, kitu cha kujiuliza inakuaje leo chadema wameondoa list of shame kwenye tovuti ya chama... iko wapi? hapo ndipo unapojua boss akisema toa huna cha kupinga ni kutekeleza tuh. thamani ya hela imenunua utu na kufifisha matarajio ya watanzania wengi waliokua na imani na chama chao.
Mbona ishakufa mda tu na inasubili kuzikwa oct 25 vipande therathini vya thamani vimeuwa chama