Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Hata bila ya kuambiwa, ni dhahiri kwamba Mbowe ameiuza CHADEMA pamoja na katiba yake, maana hata nyumba ikiuzwa sharti ubadili hati miliki, kama Mbowe ameweza kuvunja katiba ya chama basi, na chama amekiuza

Huyu mwandishi kaanika uozo mwaka 2011 . Wengi tulimwona mpuuzi sasa imedhihirika! Mbowe alianza negotiations zamani sasa anamalizia tu dili!
 
Habari hii inaweza ya kupikwa lakini imepikwa kwenye mazingira yanayoelekea kuwa kweli:
Tanzania Daima kumpamba ENL
Mbowe yupo kibiashara zaidi
Mbowe hajawahi kumsifia/kumpamba Dr. Slaa hata siku moja (fuatilia), maana yake hapendezewi naye jinsi alivyo moto kwa mafisadi
Mbowe hawajawahi kutoa kauli yoyote ya kumlaani/kumsema ENL au RA

TAFAKARI CHUKUA HATUA

Maneno yako yananishawishi, wacha nilitafakari hili
 
Kauli za mtu mjinga ni kupiga masuala asiyoyafahamu ndugu wewe ni moja ya wajinga wasiotambua iliyo kweli kwahiyo wewe unaijua sana chadema zaid ya Dr slaa ama wee unamjua sana mbowe zaid ya Dr slaa acha ushabiki wa kijinga

Na wewe una mjua zaidi Dr. Slaa kuliko mke wake? Maana ma Padre wengi wanaendekeza ushoga.
 
Naona Ukawa wanakimbia huu uzi wanachungulia na kutoka. Lakini chama ndo shauzwa. Na ubaya ni kwamba Mbowe keshapata faida yake anasubiri uchaguzi uishe akapumzike Dubai.
 
✳SHIDA NI LOWASA SIO CHADEMA✳
Wafuasi wa chadema asili waliotoka nayo toka 2010 Chadema ilipopata heshima ndani ya nchi na kujizolea umaarufu mkubwa na kuwa chama kikubwa cha upinzani kutokana na kujizolea viti vingi vya ubunge wamehama chama hicho na wengine wanasema hawatahama chama Chao kwasababu wametoka nacho mbali ila watamuonyesha Mbowe uthamani wao kwa kutokipigia kura chama hicho kwasababu mgombea aliyesimamishwa na chama hicho hawamtaki kwakua ni fisadi na hana usafi wowote na hana nia ya kuwakomboa wananchi bali anania ya kujinufaisha ye ye na wanaomzunguuka mafisadi wenzie, wanachama hao wamesema wanaoishabikia chadema kwa sasa sio vijana wa wa Chadema wamiaka yote bali ni 4u movement waliokuja na LOWASA ."NI BORA TUMCHAGUE MAGUFULI KULIKO LOWASA WA GWAJIMA"walisema wanachama hao watajipanga kwa uchaguzi wa 2020 na sio huu ambao chama Chao kina kila dalili za kununuliwa na mtu mmoja na kundi lake.
hapa swali lakujiuliza ndugu nikwanini huyu LOWASA havai sare yetu ya Chama? hii nidharau kubwa sana na hakuna wakumlazimisha hii jeuri kaitoa wapi?
tunawasiwasi chama chetu kimeuzwa japo hatuna uhakika ila dalili zinaonyesha
 
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Kagoda.
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo za kihunihuni tu.
 
Lowassa ndo rais hakuna namna.

Hizi Hekaya zako toka lumumba tupa kule.
 
Lowasa atosha October 25.Mwaka huu mabadiliko ni lazima na hatudanganyiki.
 
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Kagoda.
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo za kihunihuni tu.

Mkuu, hawana majibu zaidi ya porojo na ukasuku tu.Lowasa ndiye rais
 
Ni kwl chadema imegeuka saco bdl ya klchokuwa chama mathubuti chini ya slaaa,wote wenye nafasi wamebaki wakpga masalia ya noti alzohongwa mbowe,wote kigugumizi kujbu hoja za slaa kw hofu yakuumbka zaidi,nchi y2 cyakujengwa na lowasa,sumaye,mbowe na genge lake,ni vyema 2mpe JPM atushkie tungali twajpanga tn vjn wnye mwamko na maono,hzo tuhuma za ccm zmewajbsha viongozi kw kuachshw vyeo,kupokonywa mali,jela kama mramba,wngne ndo hayo yalomkuta lowasa ndani ya chama,ukawa ni ukoma hatari sn,wake up
 
✳SHIDA NI LOWASA SIO CHADEMA✳
Wafuasi wa chadema asili waliotoka nayo toka 2010 Chadema ilipopata heshima ndani ya nchi na kujizolea umaarufu mkubwa na kuwa chama kikubwa cha upinzani kutokana na kujizolea viti vingi vya ubunge wamehama chama hicho na wengine wanasema hawatahama chama Chao kwasababu wametoka nacho mbali ila watamuonyesha Mbowe uthamani wao kwa kutokipigia kura chama hicho kwasababu mgombea aliyesimamishwa na chama hicho hawamtaki kwakua ni fisadi na hana usafi wowote na hana nia ya kuwakomboa wananchi bali anania ya kujinufaisha ye ye na wanaomzunguuka mafisadi wenzie, wanachama hao wamesema wanaoishabikia chadema kwa sasa sio vijana wa wa Chadema wamiaka yote bali ni 4u movement waliokuja na LOWASA ."NI BORA TUMCHAGUE MAGUFULI KULIKO LOWASA WA GWAJIMA"walisema wanachama hao watajipanga kwa uchaguzi wa 2020 na sio huu ambao chama Chao kina kila dalili za kununuliwa na mtu mmoja na kundi lake.
hapa swali lakujiuliza ndugu nikwanini huyu LOWASA havai sare yetu ya Chama? hii nidharau kubwa sana na hakuna wakumlazimisha hii jeuri kaitoa wapi?
tunawasiwasi chama chetu kimeuzwa japo hatuna uhakika ila dalili zinaonyesha

ccm ni genge la wezi matapeli na wahuni
 
Ni kwl chadema imegeuka saco bdl ya klchokuwa chama mathubuti chini ya slaaa,wote wenye nafasi wamebaki wakpga masalia ya noti alzohongwa mbowe,wote kigugumizi kujbu hoja za slaa kw hofu yakuumbka zaidi,nchi y2 cyakujengwa na lowasa,sumaye,mbowe na genge lake,ni vyema 2mpe JPM atushkie tungali twajpanga tn vjn wnye mwamko na maono,hzo tuhuma za ccm zmewajbsha viongozi kw kuachshw vyeo,kupokonywa mali,jela kama mramba,wngne ndo hayo yalomkuta lowasa ndani ya chama,ukawa ni ukoma hatari sn,wake up

labda kwa mamaako
 
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Kagoda.
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo za kihunihuni tu.

Okoa twiga kwa vizazi vijavyo
 
Attachments

  • 1441519754308.jpg
    1441519754308.jpg
    9.6 KB · Views: 132

Similar Discussions

Back
Top Bottom