Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

✳SHIDA NI LOWASA SIO CHADEMA✳
Wafuasi wa chadema asili waliotoka nayo toka 2010 Chadema ilipopata heshima ndani ya nchi na kujizolea umaarufu mkubwa na kuwa chama kikubwa cha upinzani kutokana na kujizolea viti vingi vya ubunge wamehama chama hicho na wengine wanasema hawatahama chama Chao kwasababu wametoka nacho mbali ila watamuonyesha Mbowe uthamani wao kwa kutokipigia kura chama hicho kwasababu mgombea aliyesimamishwa na chama hicho hawamtaki kwakua ni fisadi na hana usafi wowote na hana nia ya kuwakomboa wananchi bali anania ya kujinufaisha ye ye na wanaomzunguuka mafisadi wenzie, wanachama hao wamesema wanaoishabikia chadema kwa sasa sio vijana wa wa Chadema wamiaka yote bali ni 4u movement waliokuja na LOWASA ."NI BORA TUMCHAGUE MAGUFULI KULIKO LOWASA WA GWAJIMA"walisema wanachama hao watajipanga kwa uchaguzi wa 2020 na sio huu ambao chama Chao kina kila dalili za kununuliwa na mtu mmoja na kundi lake.
hapa swali lakujiuliza ndugu nikwanini huyu LOWASA havai sare yetu ya Chama? hii nidharau kubwa sana na hakuna wakumlazimisha hii jeuri kaitoa wapi?
tunawasiwasi chama chetu kimeuzwa japo hatuna uhakika ila dalili zinaonyesha

kwani wale wa ESCROW,EPA,KAGODA,MELEMETA,TANGOLD,KIWILA,RADA,VIVUKO VIBOVU,MABEHEWA FEKI,SAMAKI WA KICHINA WAKO CCM AU WAMEHAMIA WAPI?

CHAMA CHENU NDIO GENGE LA WANYANG'ANYI. VIPI PADRI HAJAWAOKOA NA ANGUKO LA OCT? KAMA VIP MWAMBIENI ARUDISHE ANAGALAU HATA 20%

HUYO UNAYEMSEMA UTAMCHAGUA WEWE NA HAO NILIOWATAJA HAPO JUU,SISI NA MALOFA WENZETU UKAWA
 
Ni Lowassa tu.
Chama chetu hakikuhusu, kaa mbali
 
✳shida ni lowasa sio chadema✳
wafuasi wa chadema asili waliotoka nayo toka 2010 chadema ilipopata heshima ndani ya nchi na kujizolea umaarufu mkubwa na kuwa chama kikubwa cha upinzani kutokana na kujizolea viti vingi vya ubunge wamehama chama hicho na wengine wanasema hawatahama chama chao kwasababu wametoka nacho mbali ila watamuonyesha mbowe uthamani wao kwa kutokipigia kura chama hicho kwasababu mgombea aliyesimamishwa na chama hicho hawamtaki kwakua ni fisadi na hana usafi wowote na hana nia ya kuwakomboa wananchi bali anania ya kujinufaisha ye ye na wanaomzunguuka mafisadi wenzie, wanachama hao wamesema wanaoishabikia chadema kwa sasa sio vijana wa wa chadema wamiaka yote bali ni 4u movement waliokuja na lowasa ."ni bora tumchague magufuli kuliko lowasa wa gwajima"walisema wanachama hao watajipanga kwa uchaguzi wa 2020 na sio huu ambao chama chao kina kila dalili za kununuliwa na mtu mmoja na kundi lake.
Hapa swali lakujiuliza ndugu nikwanini huyu lowasa havai sare yetu ya chama? Hii nidharau kubwa sana na hakuna wakumlazimisha hii jeuri kaitoa wapi?
Tunawasiwasi chama chetu kimeuzwa japo hatuna uhakika ila dalili zinaonyesha
lowassa anawafanya vibaya wanaccm wote.
 
Lowasa ametupa credit sana ukawa aliyemshawishi aje ukawa mungu ambariki sana bila lowasa mwaka huu kusingekuwa na mwamko wa kupiga kura hivi kweli lowasa caguo la mungu .lowasa mabadiliko mabadiliko lowasa
 
Tunataka waje wezi wengi sana ili watupe uzoefu wa kuwapora ccm walichoiba tukirudishe kwa wa Tanzanian
 
tupo radho kuibiwa na tunayemjua lakini so kuiniwa na magamba...sisi hata mtuambie nini...mtatoka tu...
 
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Kagoda.
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo za kihunihuni tu.

Umekariri vitu. Tueleze na wewe haya:
1.chadema kupanga ofisi kwenye nyumba ya mbowe, huku chama kikipokea ruzuku serikalini kwa miaka 20 sasa.
2. Mbowe kukiuzia chama malori mawili makuu kuu kwa Sh. Milioni 700.
3. Lowassa kumpa Mbowe 12 billioni anunue chama kwa ajili ya kugombea urais.
4. Mbowe kutolipa kodi ya nyumba ya serikali NHC kwa miaka saba.... Na nikutokana na wezi kama Mbowe ndio maana serikali inauza nyunba. Hiyo ya bilicanas itauzwa pia na mungu wenu mwenye pepo la fedha kulazimika kufidia deni lote kwa mmiliki mpya.
5. Mbowe kulazimisha kutumia fedha za bunge kujivinjari dubai na nyumba ndogo.
6. Mauaji ya Chacha Wangwe.
7. Kuandamisha vijana ambao wengi walikufa ili mpate sifa.
8. Mbowe kujipa uenyekiti wa maisha.
9. Ni mwaka wa tatu sasa wafanyakazi wa Tanzania Daima, gazeti la Mbowe hawalipwi, ingawa gazeti hupokea fedha kutoka chama cha conservatists ulaya.
10. Kulazimisha nyumba yake ndogo Joyce Mukya apewe viti maalum Arusha.
11. Mbowe ni mkwe wa mtei, mwanzilishi wa chadema. Bob Makani, n
Mwenyekiti aliyemtangulia alikuwa shemeji wa mtei.
Ujinga wenu hauwapi nafasi kutafakari haya
 
Mwaka huu ccm mmeacha ya kwenu mnaishia kuwazungumzia chadema
Je sisi tusio na vyama tuwapigie nani waizi wa miaka 50 au mwizi mmoja tunayemjua
 
Moroco inazungumza mm yangu kura tuu whether he will win the election and bring changes...or not bring development i will choose ukawa to show them tanzania is for every one not for ccm only.
 
Lowasa ametupa credit sana ukawa aliyemshawishi aje ukawa mungu ambariki sana bila lowasa mwaka huu kusingekuwa na mwamko wa kupiga kura hivi kweli lowasa caguo la mungu .lowasa mabadiliko mabadiliko lowasa

aliyemshawishi lowasa ni dr. slaa....
 
Sidhani kama viongozi wenye upeo wanaweza kujibu tuhuma ambazo azina ukweli wao wanaofikiri chadema imeuzwa waitime tra wakachukue kodi
 
Sio kweli. Ni kijana aliyejitolea kuleta ukombozi wa kweli

Hivi Mkuu bado tu kuna watu wanamsupport mbowe?
mmh nasikitaka sana kuona vijana na waze wanapotea kwa kufata mkumbo wa watu wenye kutaka kujibinafsisha wenyewe na matumbo yao hebu badirika achana na siasa za mbowe zilizojawa unafiki na ugandamizaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom