Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

yule gwajima sijui nini hana lolote, la maana aliongea, upuuzi tu, namfananisha kama mtoto mdogo amabae bado ana akili za kipumbavu!!! chama kimeshauzwa, kwa mamvi hawana jipya wammebaki tu kuleta propaanda zisizo na miguu wala kichwa
 
yule gwajima sijui nini hana lolote, la maana aliongea, upuuzi tu, namfananisha kama mtoto mdogo amabae bado ana akili za kipumbavu!!! Chama kimeshauzwa, kwa mamvi hawana jipya wammebaki tu kuleta propaanda zisizo na miguu wala kichwa
duuhhhh juzi tu ushakuwa senior member hongeraa kijana wa lumumba!!
 
Mkuu, hawana majibu zaidi ya porojo na ukasuku tu.Lowasa ndiye rais

Wewe shirikisha ubongo wako hukusikiliza hotuba ya Dr slaa kuhusu report ya mwakyembe kuhusu richmond na lowasa?
 

Attachments

  • 1441804913736.jpg
    1441804913736.jpg
    24.8 KB · Views: 207
bado sijakiona yul mchungaji alichonishawishi, hata kidogo, naona tu kaenda kuongea upuuzi, niliegemea amekuja kwa kujipanga lkn akikua hana lolote la muhimu zaidi ya maigizo , chama kimeshauzwa kwa mami , bai mjue hilo, itikadi sijui karudi kaenda kafukuzwa ni propaganda tu, za kitoto tena , ukaa mwisho wenu mbaya saana kam ni kifo basi ni cha kuteketea na moto, jipangeni upya, magufuli atawanyoosha tu
 
Imekaa kiuzushi,:angry: na jua jamaa ana usongo na mafisadi. Sijui lakini, bongo kuna mengi

bara ya mafuta.jpg
Wamewanunua bodaboda kwa mafuta sembuse watu, huu ni muda wa kumpa kura kiongozi, muadilifu, asiye na kashfa, mchapakazi na anayechukia vitendo kama hivi bila kujali cham chake
 
chadema wana malengo yao makini hata iweje 2015 wanashika dora. Huo ni mpango ndani ya makundi ya ccm kumchafua EL ili wamweke mtu wao na hata hvyo hawataweza kamwe..! Kwani 2015 ni cdm tu.

Malengo makini wapi, ni bora tumpe muadilifu mmoja aliye pahala pachafu atapasafisha, kuliko kumpa mchafu mmoja aliye pachafu, aende akaharibu kabisa palipochafuka
 
mwisho wa ubaya ni aibu, kunufaika kwake binafsi na tamaa zake zitamuumbua mbowe, thamani ya chama cha demokrasia na maendeleo umeipoteza kwa kumkabidhi mtu chama ambaye ameipoteza falsafa ya chama, kwa hili hapana watanzania hatuko tayari
 
mwisho wa ubaya ni aibu, kunufaika kwake binafsi na tamaa zake zitamuumbua mbowe, thamani ya chama cha demokrasia na maendeleo umeipoteza kwa kumkabidhi mtu chama ambaye ameipoteza falsafa ya chama, kwa hili hapana watanzania hatuko tayari[/


QUOTE]
je
wewe ndiye yule beelzebuli?
 
mbowe , ameshakiuza chama mda mrefu , watu bado wako hapa wanazozana eti, mabadiliko sijui nini, nguvu ya chama imeshapungua kiujumla , yani wakiwa wamefanya maamuzi ya kijinga kumuuzia chama mamvi, chama kinateketea polepole, wakati nilikua nakiona chama imara kinakuja kwa kasi ila mwisho wa siku , mbio zao za sakafuni zimeishia ukingoni, bora nibaki ccm tu,......bado sijaona chama kingine cha kuamia
 
View attachment 285327
Wamewanunua bodaboda kwa mafuta sembuse watu, huu ni muda wa kumpa kura kiongozi, muadilifu, asiye na kashfa, mchapakazi na anayechukia vitendo kama hivi bila kujali cham chake


Taifa hili mamvi analipeleka wapi? mbona kila kukicha maigizo yake yanazidi kuongezeka hivi ni mtu gani asiekubali kushindwa,asiekubali ukweli?
Mwl julius kambarage nyerere alisema tusichague rais kwajili ya umaarufu wake bali tuchague kiongozi msafi na mwadilifu, sasa amefikia hatua ya kununua bodaboda ili wamuunge mkono na anawanyima uhuru wao wa kuchagua kiongozi wamtakae hii ni kinyume na katiba ya nchi naomba vyombo vya dora wamshugulikie
 
chadema wana malengo yao makini hata iweje 2015 wanashika dora. Huo ni mpango ndani ya makundi ya ccm kumchafua EL ili wamweke mtu wao na hata hvyo hawataweza kamwe..! Kwani 2015 ni cdm tu.

tatizo sio mipango ya uchafuaji, tatizo ni kutetereka kwa chama cha wakiwa, kama kweli mliangaika kukiunda chama chenye nguvu, na kweli mlikua na nia ya upinzani, basi naamini wakiwa wangefika mbali, ila cha kushangaza mbio zao za sakafuni zimeishia ukingoni, wameishia kuuza chama kwa mtu tena kutoka ccm, how weak???? inadhihirisha dhahiri kuwa bado ni wadhoofu hawawezi kujisimamia wenyewe kama wenyewe! na still kila siku wanapiga kelel wanataka mabadiliko... mtapataje mabadiliko wakati mmeshindwa kuwa wamoja na kutafuta mabdiliko peke yenu,,,,???
 
mwisho wa ubaya ni aibu, kunufaika kwake binafsi na tamaa zake zitamuumbua mbowe, thamani ya chama cha demokrasia na maendeleo umeipoteza kwa kumkabidhi mtu chama ambaye ameipoteza falsafa ya chama, kwa hili hapana watanzania hatuko tayari[/


QUOTE]
je
wewe ndiye yule beelzebuli?

Kwanza nikupe pole maana hata kuqoute huwezi kahiyo hata maada yao unayochangia ni fake pia huna jipya kile ambacho ulikua unajaribu kuqoute ni cha kweli nani asiejua kwamba mbowe kauza chadema kwa vipande thelathini vya thamani sasa macho yanamtoka maana anaona kaburi la chadema linamalizikia kuchimbwa oct 25 wakazikwe kabisa
 
CDM itaaandamwa kwa kila mbinu ili tu kuipunguzia nguvu na ushawishi kwa jamii.

kwanini tuwapunguze nguvu?? wakati mmejipunguza wenyewe??? kama kweli mnania na mabadiliko na kweli mmetumia kukijenga chama chenu imara sidhani kama mwisho wa siku mngeishia kukiuza kwa mtu amabe alikua mpinzani wenu, hii imedhihirisha wakiwa ni wadhaifu, hawawezi kujitegemea hata siku moja , mmeishia kuazima cuf na ccm, seriously??? mmeprove weakness zenu hadharani na mmeuza chama kweupe kwa wapinzani matokeo yake sasa , mnaonekana mmebebwa na mtu mmoja ...........na imani kama wakiwa wale wazamani ninao wajua mimi wangeendele kukijenga chama chao kingezidi kuimarika na kuja kwa upinzani wa kati , ila kwa sasa , hapana mmeshadhohofika kabisa , mmeuza na kukiua chama , poleni saana, mkajipange upya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom