Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Pesa mwanaharamu. Si umeona Mnyika alivyopigwa mkwara wa kukatwa ubunge kakubali kubonyea.

Mnyika atalazimika kumsafisha fisadi aliyesema ana ushahidi wa ufisadi wake.

It is now official kuwa Chadema ni chama kinachotumiwa kuhalalisha ufisadi kwa maslahi binafsi ya kibiashara ya Mbowe...

Sasa Nmeelewa Kwa Nn Lipumba Dhamira Yake Ilimsuta!
 
Edo alijaribu kuinunua ccm lkn kutokana na umakini wa mwenyekiti Mh Kikwete mbinu hz zilikwama pale dodoma., na kwa kuwa tuu ccm ni chama cha wananchi wakulima na wafanyakazi, hakuishia hapo akaona bora aende sakos ya mtu binafsi yaani cdm huko ndiko alikofanikisha azma yake, sasa ni wakati wa kuchaguwa wapi pa kuchagua, hapo mwenye akili timamu achukue uamuzi sahihii.
 
Yan huyu baba sijui dhamira yake ni nini kwa taifa hili. Huku niliko ameshaleta pesa za kuwahonga bodaboda na ziko proved sio tetesi. Enyi vijana mwenzangu hebu fungueni macho taifa linaangamia najua CCM nayo sio njema heri mara mia basi tuchagua chama kingine tukipe ila kumpa El tutakuja jutia huo msururu wa best zake nia yao ni kuwekeza kwenye gesi na madini wapewe wao na hela anazomwaga mtaani sijui anazipata wapi. Imagine since 2011 hadi leo anamwaga tu pesa inasemekana not proved ana kiasi cha 3 trillions
 
Mbinu zake mbayaaaaaaa Edo no ukipata nafasi ya kumpatia mwanya tu anakufanyia Kitu mbaya sanaaa, ndicho kilichowapata chadamu..... Kupitia kwa Mbowe
 
Naona mradi wa tablets unalipa sasa.Maana kila mtu yupo upande wa tablets hahahaha....
 
Mkuu hebu cheki vizuri thread ilianza 2011 siyo 2015!
Nini kimebaki kuwa cha kweli mpaka sasa?
Usiamini mwanasiasa anayetaka kuwaongoza watu kwa lazima hata kama wamemchoka hahahaha. wanambinu zaidi ya ujuavyo....
 
Yan huyu baba sijui dhamira yake ni nini kwa taifa hili. Huku niliko ameshaleta pesa za kuwahonga bodaboda na ziko proved sio tetesi. Enyi vijana mwenzangu hebu fungueni macho taifa linaangamia najua CCM nayo sio njema heri mara mia basi tuchagua chama kingine tukipe ila kumpa El tutakuja jutia huo msururu wa best zake nia yao ni kuwekeza kwenye gesi na madini wapewe wao na hela anazomwaga mtaani sijui anazipata wapi. Imagine since 2011 hadi leo anamwaga tu pesa inasemekana not proved ana kiasi cha 3 trillions

Wenye macho tulisha liona hili kitambo,,,, lakini kuna maelfu kwa maelfu wanaopelekeshwa na hawa team el,

Hakuna asiyejua lengo la team el,,,wameanza na hizo hela za el mwenyewe wamezopiga si kitoto sasa wanasubiri el ashike urais,
Wengine wameshaanzisha makampuni ya kishenzi wanasubiria el ashike nchi then wachukue tender zote za serikali ..lengo ni kujilimbikizia mipesa kwaajili ya uchaguzi mwingine.

Shime watz tuamke tusinunuliwe kama njugu.
 
Nini kimebaki kuwa cha kweli mpaka sasa?
Usiamini mwanasiasa anayetaka kuwaongoza watu kwa lazima hata kama wamemchoka hahahaha. wanambinu zaidi ya ujuavyo....

Hakuna mkuu, si tupo JF muda mrefu sana tunaelewa kinachoendelea. Hii thread ni authentic na msitake kujaribu kuhadaa watu.
Kaeni humu humu tuendelee kujadili hili suala. Waambie akina Molemo waje kukanusha
Hahaa
 
Kina Molemo hawawezi tia mguu hapa.
 
Hizi ndizo siasa eti walioaminiwa kwa miaka 54 wakafanya shaghala baghala wanaleta propaganda zao hapa!Kura zitapigwa tu mfumo ung'oke hatungadanyani kwa kufufua uzi eti kutokea Twitter,mbinu za CDM haziwasafishi CCM na kutuondoa kwenye njia kuu. Mabadiliko ni leo na sio kesho.

Kwakweli ccm wamechosha.
Mbowe nae kachosha
Lowassa nae kachosha
Cdm nayo imechosha.

Hata kama sivishabikii ccm na cdm
lakini huwezi kunishawishi eti Lowassa ni bora kuliko Magufuli au ni kama Magufuli.

Hata kama mfumo iliopo ni mbaya huwezi kuniaminisha kuwa mfumo chini ya cdm itakuwa bora.....
cdm ambayo mtu mmoja anaamua kila kitu na wanacdm mnasema hewara baba.

Mbowe huyu aliyelazimisha katiba ya cdm ibadirishwe ili aendelee kutawala daima.

Mbowe huyu aliyemletea zengwe Zitto mchapakazi ili tu aweze kuuza chama

Mbowe huyu aliyempachika El pale juu bila kufuata utaratibu

Ndo uniaminishe kuwa ataweka mfumo bora kweli!
labda kama siwezi kujiuliza hata kidogo.

Siwezi itwa nyumbu halafu nichekelee
 
Kwa wale wanaujua gazeti la Sauti Huru ni ya kufikirika, muonekano wake huu hapa na ikipatikana nakala ya hii artcle itawekwa pia.
 
Attachments

  • 1440295821911.jpg
    1440295821911.jpg
    16.9 KB · Views: 161

Similar Discussions

Back
Top Bottom