jaxborn kasanya
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 299
- 53
mamako kauzwa lakini Ukawa I'll
mamako kauzwa lakini Ukawa I'll
Ukweli ni kwamba CDM imejiandama yenyewe baada ya kumpokea EL na wengine mpaka wanahisi CDM imeuzwa, maana kirahisi rahisi, tena kwa EL wakati wengine walisema "EL CDM, over my dead body"CDM itaaandamwa kwa kila mbinu ili tu kuipunguzia nguvu na ushawishi kwa jamii.
mwisho wa ukawa unatia huruma saana
Kumbe alianza siku nyingi.
Huyu mamvi akili zake zinamtuma kila kitu anaweza kukipata kwa pesa.
Safari hii ataelewa kuwa urais hauji kwa fedha zako.
sasa watakua wameshaamini kama wameshauzwa....siku zote walifikiri ni utani , sasa wameona, mchezo, ulivyo, na huu ndo mwisho wao wakiwa, ksa alilofanya mbowe kwa wana ukiwa, ni kuwauza wenzie kwa mamvi, na oktoba 25, ndo tutawazika kabisa
Kumbe Lowasa akiongea anatetemeka mikono,, huo ni ugonjwa gani?
mamako kauzwa lakini Ukawa I'll
Ninavyofahamau mtu anaponunua kitu huwa anataka faida nacho, aidha kwa matumizi ya kawaida au kwa ajili ya biashara, sasa walioinunua CDM wanataka kuifanyia nini