Mbona Kuna nguvu kubwa sana inatumika?

Mbona Kuna nguvu kubwa sana inatumika?

Tangu mshahara wa mwezi July -2022 utoke pamekuwepo na jitihada na nguvu kubwa sana inatumika mitandaoni kuwaponda na kuwakejeli watumishi wa umma hasa walimu na manesi.Wengine wamekuwa wakienda mbali zaidi wakiwaita walimu hawana hakili hii si sawa na nikuwakosea heshima walimu wetu kwani Mimi na wewe tumefundishwa na walimu.

Kuhusu nyongeza ya mishahara kw 23,3% twende taratibu ndugu zangu, naomba niwakumbushe kuwa mishahara imekuwa ikipanda tangu Marais waliopita hasa enzi za Mzee wetu Kikwete lakini haya mambo hayakuwepo kwa kiasi hiki kwa nini?

Mzee Kikwete alikuwa akitamka ameongeza kwa asilimia 14% watumishi wanapata nyongeza hiyo karibu wote au asilimia walizokuwa wanaongeza walao zilikuwa zinashuka taratibu sana.

Kuna watu humu mitandaoni wamejipa usemaji wa serikali na wanapotosha kwa makusudi ile barua at Rais alisema nyongeza ya 23.3% ni Kwa watumishi wa kima Cha chini tu hii si kweli kwani barua ya serikali ipo wazi kabisa inasomeka " Rais amekubali nyongeza ya mishahara kwa 23.3% ikiwemo kima Cha chini ".Wapi barua inasema 23.3% ni kwa kima Cha chini tu? Tusipotoshe.

Pili nyongeza ya mshahara sio kwamba kazi yake ni kupunguza gap kati ya kima Cha chini na wenye mshahara mikubwa mantiki ni kuwa Kuna mtu ana mshahara mkubwa baada ya kutumikia muda mrefu hivyo na mahitaji ya kifamilia ni makubwa kuliko aliyeajiliwa Leo au Jana.

Ushauri wangu serikali iangalie nyongeza iliyoiongeza kwa watumishi wa umma inaendana na mfumuko wa bei hapa nchini?

Vyama vya wafanyakazi Tanzania wajibu wao ni kuchukua makato tu Kwenye mishahara ya watumishi wa umma?? Mfano CWT kwa walimu.
Gape la mishahara kati ya juu na chini ni kubwa mno ni sahihi lipungue. Mkipigwa wenye mishahara mikubwa ndo kelele tunazisikia.
 
  • Thanks
Reactions: F4B
Aliyekutuma mwambie
Kuwa
Wale watu wanaakili ila nguvu za kupambana na wewe hawana
Endeleeni kula pesa za watanzania
Hakuna ukombozi katoka ukoloni wa ndani
 
Hoja ni kuwa gharama za Maisha kwa sasa zimepaa mno ndugu
 
...Hali ya uchumi ktk ulimwengu bado ni mbaya na ndiyo maana kuna fedha za mkopo zimetolewa ktk nchi mbalimbali ili kuweza kujaribu kunusuru uchumi ulioathiriwa na covid19.

Toshekeni na nyongeza iliyopo; tambua kuwa serikali imetoa kibali cha ajira mpya ambazo kimsingi zinahitaji pesa.

Kwa sasa labda pambanieni kuishauri serikali namna bora ya kuhakikisha bidhaa zinashuka bei
 
mama akikaa kwa kutulia vizuri kabisa na akakitumia kichwa chake mwenyewe kwa utulivu atagundua kwamba mwigulu ni mtu wa kuachana nae kabisa na hatakiwi kuwa sehemu ya serikali yake.
Yule ashamroga amechelewa
 
Wafanyabiashara walipandisha bidhaa mapema wakijua julai wafanyakazi wanapandishiwa mshahara.
Wafanyabiashara waoeneeni huruma wafanyakazi shusheni bei
 
Mkuu mhuu
Aliyekutuma mwambie
Kuwa
Wale watu wanaakili ila nguvu za kupambana na wewe hawana
Endeleeni kula pesa za watanzania
Hakuna ukombozi katoka ukoloni wa ndani

...Hali ya uchumi ktk ulimwengu bado ni mbaya na ndiyo maana kuna fedha za mkopo zimetolewa ktk nchi mbalimbali ili kuweza kujaribu kunusuru uchumi ulioathiriwa na covid19.

Toshekeni na nyongeza iliyopo; tambua kuwa serikali imetoa kibali cha ajira mpya ambazo kimsingi zinahitaji pesa.

Kwa sasa labda pambanieni kuishauri serikali namna bora ya kuhakikisha bidhaa zinashuka bei
Wadhibiti mfumuko wa bei na hizi tozo Kwenye mabenk waziondoe
 
Tangu mshahara wa mwezi July -2022 utoke pamekuwepo na jitihada na nguvu kubwa sana inatumika mitandaoni kuwaponda na kuwakejeli watumishi wa umma hasa walimu na manesi.Wengine wamekuwa wakienda mbali zaidi wakiwaita walimu hawana hakili hii si sawa na nikuwakosea heshima walimu wetu kwani Mimi na wewe tumefundishwa na walimu.

Kuhusu nyongeza ya mishahara kw 23,3% twende taratibu ndugu zangu, naomba niwakumbushe kuwa mishahara imekuwa ikipanda tangu Marais waliopita hasa enzi za Mzee wetu Kikwete lakini haya mambo hayakuwepo kwa kiasi hiki kwa nini?

Mzee Kikwete alikuwa akitamka ameongeza kwa asilimia 14% watumishi wanapata nyongeza hiyo karibu wote au asilimia walizokuwa wanaongeza walao zilikuwa zinashuka taratibu sana.

Kuna watu humu mitandaoni wamejipa usemaji wa serikali na wanapotosha kwa makusudi ile barua at Rais alisema nyongeza ya 23.3% ni Kwa watumishi wa kima Cha chini tu hii si kweli kwani barua ya serikali ipo wazi kabisa inasomeka " Rais amekubali nyongeza ya mishahara kwa 23.3% ikiwemo kima Cha chini ".Wapi barua inasema 23.3% ni kwa kima Cha chini tu? Tusipotoshe.

Pili nyongeza ya mshahara sio kwamba kazi yake ni kupunguza gap kati ya kima Cha chini na wenye mshahara mikubwa mantiki ni kuwa Kuna mtu ana mshahara mkubwa baada ya kutumikia muda mrefu hivyo na mahitaji ya kifamilia ni makubwa kuliko aliyeajiliwa Leo au Jana.

Ushauri wangu serikali iangalie nyongeza iliyoiongeza kwa watumishi wa umma inaendana na mfumuko wa bei hapa nchini?

Vyama vya wafanyakazi Tanzania wajibu wao ni kuchukua makato tu Kwenye mishahara ya watumishi wa umma?? Mfano CWT kwa walimu.
Wivu wa Sukuma gang huo,tena wanaotoa ushuhuda ni wenye mishahara mikubwa..

Sijaona watu wa chini wakilalamika kwa mchanganuo wa nyongeza za salaries kama huu hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220723-204147.png
    Screenshot_20220723-204147.png
    130.6 KB · Views: 14
  • 20220723_204139.jpg
    20220723_204139.jpg
    105.9 KB · Views: 16
  • Thanks
Reactions: F4B
Back
Top Bottom