Mbona hizi Propaganda tunaelekea mahali pa Zimbabwe?

Unapotengeneza mwanya wa mtu kukutumia hakika atakutumia. Waafrika tunajipeleka na kujiuza wenyewe kwa wazungu kama mbwa kwa chatu kwanini usimezwe sasa.
Mfano mambo ya Oct 29, leo watu wanashangilia Kombo kukutana na UN Secretary na kusema Tanzania kuna amani, hapo hapo wengine wanashangilia UN kukanusha hiyo taarifa. Kombo anazunguka kwa wazungu kujisafisha ila wameshindwa kujisafisha kwa wananchi na waafrika wenzao. Hutujaona Kombo akienda AU au EAC au SADC ila anakimbilia kujiuza kwa wazungu. Tukabiliane na changamoto zetu wenyewe kwanza ndo tukaombe msaada kwa majurani. Lazima utokee kwako kwenda kwa jirani.
Umeona sahihi
 
Hizi ndizo akili zenu Chadema ambao pia mnajiita GenZ, au wadai haki. Matusi tu ndio mnachojua. Zawadi inayowafaa ni kqmq ileile ya October 29.
Siwezi kujibu mtu anayeongea pumba za nguruwe
 
Nakumbuka mahali ilipokuwa taifa la Zimbabwe, Mshua aliwahi kufika huko miaka 1990s. Alitueleza mengi sana na kulikuwa na products za Zimbabwe kimasoko zilifika hadi hapa nchini.

Shida ilianza viongozi kuanza kukosa sera na mikakati ya kuendeleza nchi yao, na kuanza kutafuta adui wa nje kuwatazamisha watu wamuone adui yupo nje mabeberu akishirikiana na baadhi ya watu waliopo ndani ya nchi yao n.k wakati kihalisi matatizo yameanzia ndani ya nchi yao. Na viongozi wao wakiwa wahusika wakubwa.

Hivyo akafanikiwa kuwagawa raia wao na mauaji ambayo yalishuhudiwa katika Ulimwengu hule ambao haukuwa na social media kama hii leo.

Kilichofuata ni kwamba nchi ya Zimbabwe. China, Urusi na Iran haijaweza kuwasaidia kutoka walipofikia. Na kuna wanachi wengi pale wamekimbia nchi yao wengi wamekimbilia S.A na nyingine za jirani lakini uthamani wao mataifa walipokimbilia umeshuka pia na wanahusishwa na mambo ya uharifu na cheap labor.

Hivi gharama ya kuwajibika, ili kuliponya taifa sababu tukumbuke tu hata miaka 100 mbele wananchi sisi na hata hawa Viongozi hawatakuwepo lakini TANZANIA itaendelea kuwepo.

Kweli kumekuwepo na mfululizo wa Propaganda halafu hapo hapo inakuja taarifa nyingine kutoka katika mataifa hayohayo yaliotolewa kuwa tunaboresha mahusiano, mara sijui TANZANIA hivi. Yakionesha action hatupo nao vizuri, Mfano Ban ya USA iliotuweka nafasi moja na Venezuela, na sasa hivi fund za ARV.

Kwa ambao mnafahamu historia mpaka 2015 kwa kanda hii mshirika mkubwa wa marekani alikuwa TANZANIA, kiasi kwamba ilimsumbua Kagame na m23 pamoja na Uhuru na Ruto waliokuwa na kesi ya Hague.

Hawa Viongozi kama wanalipenda taifa, ni wakati wakuwajibika hilo ndio suluhisho. Kama kweli wao ni wazalendo na wanalipenda Taifa.

Kuliko kulipeleka mahali ilipokuwa Zimbabwe kwasasa na zile Propaganda uchwara za mabeberu zinazohubiriwa kwenye majukwaa na kujaribu kuunganisha taifa kwa kutafuta adui wa nje, wakati matatizo yameanzia ndani na yapo mpaka sasa. Tusitiane moyo tunaona hakuna aliyewahi kutoboa nazo. Ukweli utatuweka huru.
Shudu kibao!
 
Uko sahihi.sana, Muda tunaopoteza kwa propaganda tungetatua changamoto za maji. Barabara. Masoko. Pemebejeo na vifaa tiba.pamoja.na.dawa hospitalini.

Polepole alieleweka kweli alipokuwa akichambua kwanini tunahitaji kujenga viwanda vya.dawa ambazo magonjwa yake yanaathiri.sana population yetu tungepunguza importation in usd.

Zama hizi information huwezi kuigeuza maana watu.wataipata tuu toka kwenye.source. Ni ukosefu wa akili.na hekima kupoteza muda kwa propaganda.

Kwa kilichotokea ni lazima tuwe na austerity measures kupunguza walaji wa pesa ya taifa futa baadhi ya vyeo vya kijinga. Magari. Posho.za matask force ili pesa ifanye maendeleo sio kuwapa kina shilole nje ya.bajeti
Shida ni kwamba hizo ni biashara za watu na zinaingiza hela mingi sana,kwahiyo inahitaji mtu mwenye uso wa mbuzi kubadilisha hiyo hali

Unajua Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi sana katika Azimio la arusha,aliyajua haya mapema,kuwa mwanasiasa asishiriki kwenye biashara

Kwakuwa akishiriki basi ujue kutakuwa na mgongano wa kimaslahi

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
 
Uko sahihi.sana, Muda tunaopoteza kwa propaganda tungetatua changamoto za maji. Barabara. Masoko. Pemebejeo na vifaa tiba.pamoja.na.dawa hospitalini.
Haya mambo sio kipaombele Africa nzima kasoro Libya enzi za Ghadafi na Egypt ile irrigation system ya muda mrefu.

Waafrica Marais wao ni wabinafsi, waroho wa madaraka, wezi, wauaji na washirikina tu.

Rasilimali tulizonazo ni aibu na ni vigumu sana kuwa maskini.

Umaskini ni mtaji wa kuwatalia wananchi. Sababu wakiwa na pesa huwatishi tena hata silaha wanaweza kununua mkapambana mtaani.
 
Kamilisha utafiti kwanza wa nini hasa kiliisibu Zimbabwe.

Zimbabwe imeathiriwa na kelele za wananchi waliojiaminisha wapigania Uhuru wa Zimbabwe ambao walishinikiza Serikali ichukue ardhi kutoka kwa walowezi na kuwagawia wao (Sera za kijamaa). Serikali ilikubali na ilianzisha mazungumzo ya pande mbili ili kufanya zoezi liende vizuri bila kuleta madhara ikiwa ni pamoja na kuwafidia walowezi waliokuwa na mashamba na wazalishaji wakubwa wa bidhaa nchini humo vilevile kufanya uchambuzi wa kuwapatia ardhi hiyo watakaokuwa na uwezo wa kuiendeleza.

Mazungumzo yakiwa hayajakamilika, warriors walianza kujichagulia maeneo watakayochukua. Mchakato huo wa kujichagulia maeneo ulisababisha mgogoro kati ya wananchi na walowezi wa kizungu kiasi cha kutokea machafuko na mauaji makubwa kwa walowezi. Walowezi wakaondoka kwa kwenda nchi nyingine na wananchi wakajitwalia ardhi bila kuwa na ujuzi wa kuyaendeleza. Hapo ndipo uzalishaji wa kilimo na bidhaa zake ulishuka, uchumi ukashuka na kwa kuwa serikali haikuchukua hatua kunusuru mali na uhai wa walowezi wakati wa machafuko, nchi ya Uingereza (ambapo walowezi wengi walitokea) na washirika wake waliiwekea vikwazo Zimbabwe na ndipo ikafika ilikofika.

Hiyo ni tofauti na kinachoendelea Tanzania. Kimsingi, hali hiyo ingefikiwa tu iwapo serikali ya Tanzania ingewasikiliza wale wapuuzi wa kuchoma nchi na madai yao yasiyo na kichwa wala miguu.

NB: Tumia elimu yako vizuri, kwa faida yako, kizazi chako na Taifa lako.
Labda kama sikuwa na akili timamu wakati huo wa hayo yanaendelea

Kuna speech moja wa aliekuwa President wakati huo akitaamka kabisa hadharani "Zimbabwe ni ya kwake"

Na alikuwa na uwezo wote kuzuia yaliyotokea lakini aliyafanya kama Political rhetoric hili aendelee kuishi madarakani mpaka alipopinduliwa

Huwezi tofautisha kabisa matukio Yale na tulipokuwa sasa.
 
Nakumbuka mahali ilipokuwa taifa la Zimbabwe, Mshua aliwahi kufika huko miaka 1990s. Alitueleza mengi sana na kulikuwa na products za Zimbabwe kimasoko zilifika hadi hapa nchini.

Shida ilianza viongozi kuanza kukosa sera na mikakati ya kuendeleza nchi yao, na kuanza kutafuta adui wa nje kuwatazamisha watu wamuone adui yupo nje mabeberu akishirikiana na baadhi ya watu waliopo ndani ya nchi yao n.k wakati kihalisi matatizo yameanzia ndani ya nchi yao. Na viongozi wao wakiwa wahusika wakubwa.

Hivyo akafanikiwa kuwagawa raia wao na mauaji ambayo yalishuhudiwa katika Ulimwengu hule ambao haukuwa na social media kama hii leo.

Kilichofuata ni kwamba nchi ya Zimbabwe. China, Urusi na Iran haijaweza kuwasaidia kutoka walipofikia. Na kuna wanachi wengi pale wamekimbia nchi yao wengi wamekimbilia S.A na nyingine za jirani lakini uthamani wao mataifa walipokimbilia umeshuka pia na wanahusishwa na mambo ya uharifu na cheap labor.

Hivi gharama ya kuwajibika, ili kuliponya taifa sababu tukumbuke tu hata miaka 100 mbele wananchi sisi na hata hawa Viongozi hawatakuwepo lakini TANZANIA itaendelea kuwepo.

Kweli kumekuwepo na mfululizo wa Propaganda halafu hapo hapo inakuja taarifa nyingine kutoka katika mataifa hayohayo yaliotolewa kuwa tunaboresha mahusiano, mara sijui TANZANIA hivi. Yakionesha action hatupo nao vizuri, Mfano Ban ya USA iliotuweka nafasi moja na Venezuela, na sasa hivi fund za ARV.

Kwa ambao mnafahamu historia mpaka 2015 kwa kanda hii mshirika mkubwa wa marekani alikuwa TANZANIA, kiasi kwamba ilimsumbua Kagame na m23 pamoja na Uhuru na Ruto waliokuwa na kesi ya Hague.

Hawa Viongozi kama wanalipenda taifa, ni wakati wakuwajibika hilo ndio suluhisho. Kama kweli wao ni wazalendo na wanalipenda Taifa.

Kuliko kulipeleka mahali ilipokuwa Zimbabwe kwasasa na zile Propaganda uchwara za mabeberu zinazohubiriwa kwenye majukwaa na kujaribu kuunganisha taifa kwa kutafuta adui wa nje, wakati matatizo yameanzia ndani na yapo mpaka sasa. Tusitiane moyo tunaona hakuna aliyewahi kutoboa nazo. Ukweli utatuweka huru.
Uko sahihi Zimbabwe ni case study kwetu tunakoelekea
 
hata mshua wangu alienda huko mwaka 85 alituletea raba mtoni zinaitwa gold star usingeamini kama zimetengenezwa Afrika
 
Juzi usiku nilikuwa nasikiliza wimbo wa Franco Luambo na TP OK JAZZ inaitwa CANDIDAT NA BISSO . Wimbo una dakika 19 ila unamsifia Mobuttu Sese Seko mpaka kero.
Hauna utofauti na album ya harmonize ya kumsifia muuwaji
 
The approaching Great Tribulation in Tanzania, only that this time it will be worldwide Tribulation.

Buckle your seat belts.

Repent and Believe the Gospel.

OUR KING is on his way.
 
Labda kama sikuwa na akili timamu wakati huo wa hayo yanaendelea

Kuna speech moja wa aliekuwa President wakati huo akitaamka kabisa hadharani "Zimbabwe ni ya kwake"

Na alikuwa na uwezo wote kuzuia yaliyotokea lakini aliyafanya kama Political rhetoric hili aendelee kuishi madarakani mpaka alipopinduliwa

Huwezi tofautisha kabisa matukio Yale na tulipokuwa sasa.
Ukinisoma vizuri utanielewa. Yes, kulikuwa na political rhetoric lakini haikuja kwa style ya Tanzania. Kuna tofauti kati ya yaliyotokea Zimbabwe na Tanzania. Zimbabwe ni matokeo ya kilio cha wanazimbabwe kuwa pamoja na kupata Uhuru, lakini ardhi kubwa na nzuri imeendelea kuwa chini ya wazungu hivyo walitaka wapewe ardhi yao. Serikali ilikosea kwa kutochukua hatua ya kuzuia pale wananchi walipoanza kupora na kuchukua ardhi kutoka kwa wazungu (of course kwa malengo ya kisiasa kwasababu wananchi walianza kuona kuwa serikali yao iko upande wa walowezi). Ila ni hiyari yako kuchukua au kuacha.Je hicho ndicho kinachotokea Tanzania?

Kinachoendelea Tanzania ni ubinafsi wa baadhi ya viongozi wanaotaka kuingia Ikulu, ila kiukweli hata wao hawana maajabu yoyote iwapo wataingia madarakani. Mimi natamani ccm ipate mshindani halisi ila sio CHADEMA.
 
Wazungu ndo wamesababisha yote hayo kuanzia DRC mpaka Zimbabwe
Wazungu wapi, hakuna mafala mtawaokota maana miradi kibao ya wazungu tunaiona hapa nchini. Je ni wazungu wapi unaongelea? Propaganda outdated bado mnaaamini zitatupoteza maboya?

Ni hivi, tatizo na ccm kulazimisha kukaa madarakani kwa shuruti huku wananchi wameichoka. Huu utekaji ni ili kutawala kwa hofu baada ya ccm kuchokwa. Hakuna cha mzungu wala zeruzeru.
 
Ccm haina tatizo mkuu
 
Watu hawana maji na umeme wenyewe ni wa kusuasua, hizo guts za kueneza propaganda sijui wanazitolea wapi, miundombinu mibovu imeoza kabisa, Kila mahali ni shambles. Wahusika kama wangekuwa na akili wangeekaa chini na kuamua kufanya mambo Kwa vitendo Kwa future ya hii nchi. Kuna mahali unapita njiani unabaki kusikitika Tu, sasa Wazungu wakituita manyani tunaweza kukataa kweli?.
 
Juzi usiku nilikuwa nasikiliza wimbo wa Franco Luambo na TP OK JAZZ inaitwa CANDIDAT NA BISSO . Wimbo una dakika 19 ila unamsifia Mobuttu Sese Seko mpaka kero.
Kumbe Michawa ipo toka zamani
 
Nakumbuka mahali ilipokuwa taifa la Zimbabwe, Mshua aliwahi kufika huko miaka 1990s. Alitueleza mengi sana na kulikuwa na products za Zimbabwe kimasoko zilifika hadi hapa nchini.

Shida ilianza viongozi kuanza kukosa sera na mikakati ya kuendeleza nchi yao, na kuanza kutafuta adui wa nje kuwatazamisha watu wamuone adui yupo nje mabeberu akishirikiana na baadhi ya watu waliopo ndani ya nchi yao n.k wakati kihalisi matatizo yameanzia ndani ya nchi yao. Na viongozi wao wakiwa wahusika wakubwa.

Hivyo akafanikiwa kuwagawa raia wao na mauaji ambayo yalishuhudiwa katika Ulimwengu hule ambao haukuwa na social media kama hii leo.

Kilichofuata ni kwamba nchi ya Zimbabwe. China, Urusi na Iran haijaweza kuwasaidia kutoka walipofikia. Na kuna wanachi wengi pale wamekimbia nchi yao wengi wamekimbilia S.A na nyingine za jirani lakini uthamani wao mataifa walipokimbilia umeshuka pia na wanahusishwa na mambo ya uharifu na cheap labor.

Hivi gharama ya kuwajibika, ili kuliponya taifa sababu tukumbuke tu hata miaka 100 mbele wananchi sisi na hata hawa Viongozi hawatakuwepo lakini TANZANIA itaendelea kuwepo.

Kweli kumekuwepo na mfululizo wa Propaganda halafu hapo hapo inakuja taarifa nyingine kutoka katika mataifa hayohayo yaliotolewa kuwa tunaboresha mahusiano, mara sijui TANZANIA hivi. Yakionesha action hatupo nao vizuri, Mfano Ban ya USA iliotuweka nafasi moja na Venezuela, na sasa hivi fund za ARV.

Kwa ambao mnafahamu historia mpaka 2015 kwa kanda hii mshirika mkubwa wa marekani alikuwa TANZANIA, kiasi kwamba ilimsumbua Kagame na m23 pamoja na Uhuru na Ruto waliokuwa na kesi ya Hague.

Hawa Viongozi kama wanalipenda taifa, ni wakati wakuwajibika hilo ndio suluhisho. Kama kweli wao ni wazalendo na wanalipenda Taifa.

Kuliko kulipeleka mahali ilipokuwa Zimbabwe kwasasa na zile Propaganda uchwara za mabeberu zinazohubiriwa kwenye majukwaa na kujaribu kuunganisha taifa kwa kutafuta adui wa nje, wakati matatizo yameanzia ndani na yapo mpaka sasa. Tusitiane moyo tunaona hakuna aliyewahi kutoboa nazo. Ukweli utatuweka huru.
Tatizo la Tanzania ni Samia basi, mtu atakayefanikiwa kumuua itakuwa amelikomboa taifa pakubwa sana.
 
Back
Top Bottom