Mbona hizi Propaganda tunaelekea mahali pa Zimbabwe?

Mbona hizi Propaganda tunaelekea mahali pa Zimbabwe?

Uko sahihi.sana, Muda tunaopoteza kwa propaganda tungetatua changamoto za maji. Barabara. Masoko. Pemebejeo na vifaa tiba.pamoja.na.dawa hospitalini.

Polepole alieleweka kweli alipokuwa akichambua kwanini tunahitaji kujenga viwanda vya.dawa ambazo magonjwa yake yanaathiri.sana population yetu tungepunguza importation in usd.

Zama hizi information huwezi kuigeuza maana watu.wataipata tuu toka kwenye.source. Ni ukosefu wa akili.na hekima kupoteza muda kwa propaganda.

Kwa kilichotokea ni lazima tuwe na austerity measures kupunguza walaji wa pesa ya taifa futa baadhi ya vyeo vya kijinga. Magari. Posho.za matask force ili pesa ifanye maendeleo sio kuwapa kina shilole nje ya.bajeti
Wewe ndiyo uliyechoma kibanda cha Shilole?
 
Siamini kwa asilimia 10
Tatizo la Tanzania ni Samia basi, mtu atakayefanikiwa kumuua itakuwa amelikomboa taifa pakubwa sana.
Tatizo la Tanzania ni Samia basi, mtu atakayefanikiwa kumuua itakuwa amelikomboa taifa pakubwa sana.
Tatizo sio Samia, tatizo lipo kwenye mfumo wa siasa za nchi. Chama kujifungamanisha na tasisi za serikali muhimu kiasi kushindwa kujitofautisha.

Hii itaisha kwanza kwa kutoka katika Dola la Vyombo vya jeshi na kuwa dola la kiraia.

Na dawa muhimu ni mabadiliko ya katiba, Hapo ndipo wananchi wataheshimiwa.
 
Siamini kwa asilimia 10

Tatizo sio Samia, tatizo lipo kwenye mfumo wa siasa za nchi. Chama kujifungamanisha na tasisi za serikali muhimu kiasi kushindwa kujitofautisha.

Hii itaisha kwanza kwa kutoka katika Dola la Vyombo vya jeshi na kuwa dola la kiraia.

Na dawa muhimu ni mabadiliko ya katiba, Hapo ndipo wananchi wataheshimiwa.
Katiba ibadilishwe, sheria zibadilishwe na Samia pamoja na Kikwete wauawe ndipo nchi itakuwa na amani ya kweli kwa wote na haki sawa kwa kada zote.
 
Nakumbuka mahali ilipokuwa taifa la Zimbabwe, Mshua aliwahi kufika huko miaka 1990s. Alitueleza mengi sana na kulikuwa na products za Zimbabwe kimasoko zilifika hadi hapa nchini.

Shida ilianza viongozi kuanza kukosa sera na mikakati ya kuendeleza nchi yao, na kuanza kutafuta adui wa nje kuwatazamisha watu wamuone adui yupo nje mabeberu akishirikiana na baadhi ya watu waliopo ndani ya nchi yao n.k wakati kihalisi matatizo yameanzia ndani ya nchi yao. Na viongozi wao wakiwa wahusika wakubwa.

Hivyo akafanikiwa kuwagawa raia wao na mauaji ambayo yalishuhudiwa katika Ulimwengu hule ambao haukuwa na social media kama hii leo.

Kilichofuata ni kwamba nchi ya Zimbabwe. China, Urusi na Iran haijaweza kuwasaidia kutoka walipofikia. Na kuna wanachi wengi pale wamekimbia nchi yao wengi wamekimbilia S.A na nyingine za jirani lakini uthamani wao mataifa walipokimbilia umeshuka pia na wanahusishwa na mambo ya uharifu na cheap labor.

Hivi gharama ya kuwajibika, ili kuliponya taifa sababu tukumbuke tu hata miaka 100 mbele wananchi sisi na hata hawa Viongozi hawatakuwepo lakini TANZANIA itaendelea kuwepo.

Kweli kumekuwepo na mfululizo wa Propaganda halafu hapo hapo inakuja taarifa nyingine kutoka katika mataifa hayohayo yaliotolewa kuwa tunaboresha mahusiano, mara sijui TANZANIA hivi. Yakionesha action hatupo nao vizuri, Mfano Ban ya USA iliotuweka nafasi moja na Venezuela, na sasa hivi fund za ARV.

Kwa ambao mnafahamu historia mpaka 2015 kwa kanda hii mshirika mkubwa wa marekani alikuwa TANZANIA, kiasi kwamba ilimsumbua Kagame na m23 pamoja na Uhuru na Ruto waliokuwa na kesi ya Hague.

Hawa Viongozi kama wanalipenda taifa, ni wakati wakuwajibika hilo ndio suluhisho. Kama kweli wao ni wazalendo na wanalipenda Taifa.

Kuliko kulipeleka mahali ilipokuwa Zimbabwe kwasasa na zile Propaganda uchwara za mabeberu zinazohubiriwa kwenye majukwaa na kujaribu kuunganisha taifa kwa kutafuta adui wa nje, wakati matatizo yameanzia ndani na yapo mpaka sasa. Tusitiane moyo tunaona hakuna aliyewahi kutoboa nazo. Ukweli utatuweka huru.
Tatizo kuwajibika ni kukubali kuweka reheni ukwasi na uhuru wao, na mbaya zaidi nchi ikianguka hawaanguki wao binafsi bali inaanguka nchi nzima. Hapo ndipo wanaona bora kukaza shingo tu tuanguke wote
 
Cha
Ukinisoma vizuri utanielewa. Yes, kulikuwa na political rhetoric lakini haikuja kwa style ya Tanzania. Kuna tofauti kati ya yaliyotokea Zimbabwe na Tanzania. Zimbabwe ni matokeo ya kilio cha wanazimbabwe kuwa pamoja na kupata Uhuru, lakini ardhi kubwa na nzuri imeendelea kuwa chini ya wazungu hivyo walitaka wapewe ardhi yao. Serikali ilikosea kwa kutochukua hatua ya kuzuia pale wananchi walipoanza kupora na kuchukua ardhi kutoka kwa wazungu (of course kwa malengo ya kisiasa kwasababu wananchi walianza kuona kuwa serikali yao iko upande wa walowezi). Ila ni hiyari yako kuchukua au kuacha.Je hicho ndicho kinachotokea Tanzania?

Kinachoendelea Tanzania ni ubinafsi wa baadhi ya viongozi wanaotaka kuingia Ikulu, ila kiukweli hata wao hawana maajabu yoyote iwapo wataingia madarakani. Mimi natamani ccm ipate mshindani halisi ila sio CHADEMA.
Kwa mtazamo wako yale maandamano yaliongozwa na chadema?
 
Back
Top Bottom