Mbinu za kusafirisha maiti kiurahisi

Mbinu za kusafirisha maiti kiurahisi

Safari inakua ngumu maana yake nn?

Hili ndio swali la ki great thinker,ni lazima mchangia mada uwe clear na maelezo ya mlalamikaji/mleta mada,kabla hujaamua kumjibu au kumshauri,

Sio unamwambia eti aongee na maiti wakati tatizo ni gari bovu au dereva ana uoga wa kubeba maiti ndio naana anaendesha polepole,ni lazima mleta mada aweke wazi ugumu wa safari unasababishwa na nini?

Mara nyingi gari zilizobeba Maiti huendeshwa kwa mwendo wa polepole,

Binafsi sioni kama kuna umuhimu wa kusafirisha maiti,kila mtu azikwe atakapofia tu.
 
Ongeeni naye kwa upole na mumwambie kama kuna tatizo awasamehe kwakuwa mnaenda kumpumzisha,msijaribu mambo ya kishirikina itakula kwenu hamtafika
mshana jr kwani huyo maiti anawasikia au?
 
Last edited by a moderator:
Kuongea na maiti nao ni ushirikina.
Wangesimama mwenye gereji gari ikaangaliwa.
Ongeeni naye kwa upole na mumwambie kama kuna tatizo awasamehe kwakuwa mnaenda kumpumzisha,msijaribu mambo ya kishirikina itakula kwenu hamtafika
 
mshana jr kwani huyo maiti anawasikia au?

In reality kinachosikia sio maiti bali ile roho iliyobeba ufahamu ambayo huwa around mpaka baada ya mazishi kwakuwa ule ndio mwili wake kupitia roho yake marehemu huona na kusikia na ndio maana kuna maiti hugeuka kidogo hukunja uso hutabasamu hutoa machozi nk akiangaliwa na mtu asiyempenda aliyemtenda au kinyume chake
Roho ile hubaki makaburini baada ya mazishi na baada ya hapo hutulia hapo hapo au huwayawaya ulimwenguni kulingana na matukio ya marehemu alipokuwa hai
Nimeishi kwenye hii field ya maiti kwa muda mrefu nimeona mengi, anayebisha mwache abishe lakini maiti hubaki na ufahamu mpaka azikwe
 
Last edited by a moderator:
Namshukuru Mungu wangu kiukweli. Ukiwa na viimani vinakutesa ile mbaya.

Hizi sio imani au kitu cha kufikirika huu ni uhalisia nothing to do with mere beliefs or sort of superstitious
Nimehudumia maiti nyingi sana najua ninachosema...maiti zina vituko vingi sana...
 
Hivi maiti za kizungu hazina visa? Ama hii ni special black magic?
Sijaahi hudumia maiti, kwetu mie ni mtoto bado. Im enjoying my ride kwanza.
Hizi sio imani au kitu cha kufikirika huu ni uhalisia nothing to do with mere beliefs or sort of superstitious
Nimehudumia maiti nyingi sana najua ninachosema...maiti zina vituko vingi sana...
 
Ukiamini uchawi utarogeka tu! Umaskini+elimu duni ndio zimetufikisha hapa tunahisi uchawi uchawi.

Maiti hasikii wala kujibu, huenda gari ni bovu au kuna shida kwa dereva, maiti ni km begi tu

Nakubaliana na wewe 100%.
 
King'asti maiti ni maiti bila kujali rangi yake mambo yao yanafanana
 
Last edited by a moderator:
In reality kinachosikia sio maiti bali ile roho iliyobeba ufahamu ambayo huwa around mpaka baada ya mazishi kwakuwa ule ndio mwili wake kupitia roho yake marehemu huona na kusikia na ndio maana kuna maiti hugeuka kidogo hukunja uso hutabasamu hutoa machozi nk akiangaliwa na mtu asiyempenda aliyemtenda au kinyume chake
Roho ile hubaki makaburini baada ya mazishi na baada ya hapo hutulia hapo hapo au huwayawaya ulimwenguni kulingana na matukio ya marehemu alipokuwa hai
Nimeishi kwenye hii field ya maiti kwa muda mrefu nimeona mengi, anayebisha mwache abishe lakini maiti hubaki na ufahamu mpaka azikwe

Mshana jr unanichanganya,siyo kwamba mtu anapokufa roho huenda sehemu kusubiri hukumu na kama alikuwa mwema si inaenda peponi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom