Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,679
- 167,642
Hizi maiti magumashi sana, mbona zikipandishwa Ndege hazizingui?Ongeeni naye kwa upole na mumwambie kama kuna tatizo awasamehe kwakuwa mnaenda kumpumzisha, msijaribu mambo ya kishirikina itakula kwenu hamtafika