Mbinu za kusafirisha maiti kiurahisi

Mbinu za kusafirisha maiti kiurahisi

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,685
Reaction score
23,679
Niko njiani naekelekea Mpanda kupeleka maiti. Tangu SAA NNE asubuhi nilipoondoka hadi muda huu nipo Mikese Morogoro.
Mara ya kwanza kichwa cha maiti tulikuwa tumekiugezia mbele, baada ya safari Kuwa nzito tukageuzia nyuma miguu mbele.

Safari ikaendelea Kuwa ngumu, wakongwe wakanishauri niweke jiwe Kwenye kiti. Nimeweka jiwe chini ya kiti lakini safari bado ni ngumu.

Naombeni mawaidha wenu wana JF MziziMkavu, mshana jr
 
Huo ni uchawi sasa.

Mbona Wachagga wanaondoka saa 8 mchana lakini saa 6 usiku wameshafika moshi?

Rudisha hiyo maiti Dar uizike hapahapa.
 
Ongeeni naye kwa upole na mumwambie kama kuna tatizo awasamehe kwakuwa mnaenda kumpumzisha, msijaribu mambo ya kishirikina itakula kwenu hamtafika
 
chukua jiwe uweke chini ya jeneza mkuu upande Wa kichwan
 
Ongeeni naye kwa upole na mumwambie kama kuna tatizo awasamehe kwakuwa mnaenda kumpumzisha,msijaribu mambo ya kishirikina itakula kwenu hamtafika

Atawezaje kuongea na mfu? by the way hajaeleza ugumu wa safari unatokana na nini je? gari linaharibika kila muda? au limegoma kukimbia?
Dawa ni moja tu, bila kujali dini yake, aombe kwa dk 5 tu akilitaja jina la Yesu huku akinukuu maandiko ktk Biblia Yeremia 51:20-24.aseme hivi: kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth navunja kila roho za mizimu, mapepo, wachawi na haraka ni amri waondoke na kuiachia safari yetu, navunja hizo nguvu kwa damu ya Yesu sawa Sawa na Yeremia 51:20-24.ATAONA SAFARI IMEKUWA NYEPESI SANA NA HATAAMINI.
 
Duh,poleni wafiwa,nadhan dereva kama ni mara ya kwanza hutabeba tena maiti,mwite YESU,ktk shda zote atafungua njia,amina
 
Atawezaje kuongea na mfu? by the way hajaeleza ugumu wa safari unatokana na nini je? gari linaharibika kila muda? au limegoma kukimbia?
Dawa ni moja tu, bila kujali dini yake, aombe kwa dk 5 tu akilitaja jina la Yesu huku akinukuu maandiko ktk Biblia Yeremia 51:20-24.aseme hivi: kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth navunja kila roho za mizimu, mapepo, wachawi na haraka ni amri waondoke na kuiachia safari yetu, navunja hizo nguvu kwa damu ya Yesu sawa Sawa na Yeremia 51:20-24.ATAONA SAFARI IMEKUWA NYEPESI SANA NA HATAAMINI.

Maiti hawajibu bali wanasikia kuna mada yake hapa jamvini kuhusiana na hilo
 
Harakaa Mshushee Na Mzikeni Hapo Hapoo Harakaaa
 
Kwanza maana yake nini kusafirisha maiti? Kwani hapo mlipo mkimzika itakuwa mwisho wa dunia au?
 
Ukiamini uchawi utarogeka tu! Umaskini+elimu duni ndio zimetufikisha hapa tunahisi uchawi uchawi.

Maiti hasikii wala kujibu, huenda gari ni bovu au kuna shida kwa dereva, maiti ni km begi tu
 
Atawezaje kuongea na mfu? by the way hajaeleza ugumu wa safari unatokana na nini je? gari linaharibika kila muda? au limegoma kukimbia?
Dawa ni moja tu, bila kujali dini yake, aombe kwa dk 5 tu akilitaja jina la Yesu huku akinukuu maandiko ktk Biblia Yeremia 51:20-24.aseme hivi: kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth navunja kila roho za mizimu, mapepo, wachawi na haraka ni amri waondoke na kuiachia safari yetu, navunja hizo nguvu kwa damu ya Yesu sawa Sawa na Yeremia 51:20-24.ATAONA SAFARI IMEKUWA NYEPESI SANA NA HATAAMINI.

Ona huyu nae mwingine?!! Mleta mada ina maana sasa hivi umesimama njiani unasubiri majibu au ushauri kutoka hapa JF ili uendelee na safari? Vichekesho vingine havina maana kabisa.
 
With JF don't take everything in reality
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom