mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,421
- 1,792
POLENI SANA kwa msiba.
Wakati mwingine huwa inategemea, huenda marehemu alisema kuwa endapo akifariki azikwe sehemu fulani au asisafirishwe. Sasa ndugu wakimau kumsafirisha ndipo matatizo kama hayo yanatokea. Ni jambo la kawaida ombeni MUngu mtafika salama.