Mbinu za kusafirisha maiti kiurahisi

Mbinu za kusafirisha maiti kiurahisi

Baada ya kukosa kabisa cha kuandika ndio umekuja na hii....kuna wakati hebu jaribu kuficha upumbavu wako kwa kukaa kimya....itakuwa nafuu kwako na kwa wengine pia
Ahh. Mimi lzm unione mpumbavu.
Lkn wewe unaeshauri watu waongee na Maiti lzm utakuwa Professor mwenye akili nyingi sana.

Ahsanta.

Teh teh teh teh.

We unadhani Chizi mpk avae chupi kichwa?

Endelea kutoa ushauri Professor.
Wafiwa wanakusoma kwa kituo hapa.
Teh teh teh teh.
 
Ww acha ujinga maiti ni mzoga haina lolote. Lakuweza kuzuia safari Bali wewe na dereva wenu ndio MNA matatizo
 
Napita tu inabidi kukemea kwa jina la yesu kristo mwana Wa Nazareth aweze kuwafikisha salama
 
In reality kinachosikia sio maiti bali ile roho iliyobeba ufahamu ambayo huwa around mpaka baada ya mazishi kwakuwa ule ndio mwili wake kupitia roho yake marehemu huona na kusikia na ndio maana kuna maiti hugeuka kidogo hukunja uso hutabasamu hutoa machozi nk akiangaliwa na mtu asiyempenda aliyemtenda au kinyume chake
Roho ile hubaki makaburini baada ya mazishi na baada ya hapo hutulia hapo hapo au huwayawaya ulimwenguni kulingana na matukio ya marehemu alipokuwa hai
Nimeishi kwenye hii field ya maiti kwa muda mrefu nimeona mengi, anayebisha mwache abishe lakini maiti hubaki na ufahamu mpaka azikwe

kama mtu akiliwa na Simba na mwili wote ukaisha, iyo roho itasubiri mazishi? au itakuwa wapi sasa?
 
Ni sahihi lakini pepo na jehanam iko hapa hapa duniani zile roho za marehemu walioishi kwa kutenda mama hubaki pale makaburini kimya tulivu kabisa hiyo ni pepo, zile za marehemu walioishi maisha mabaya roho zao huwaya waya huku na kule zikitesa na kuteseka hii ni jehanam

mshana jr huwa sikuelewagi kabisa mada zako.
 
Niko njiani naekelekea Mpanda kupeleka maiti. Tangu SAA NNE asubuhi nilipoondoka hadi muda huu nipo Mikese Morogoro.
Mara ya kwanza kichwa cha maiti tulikuwa tumekiugezia mbele, baada ya safari Kuwa nzito tukageuzia nyuma miguu mbele.

Safari ikaendelea Kuwa ngumu, wakongwe wakanishauri niweke jiwe Kwenye kiti. Nimeweka jiwe chini ya kiti lakini safari bado ni ngumu.

Naombeni mawaidha wenu wana JF MziziMkavu, mshana jr

Samahani ..huyo Ndugu alikuwa na utaratibu wa kwenda kwa au na kutuma matumizi?watu vijijini huwa wanna hasira Sana....unakuta kijana wamehangaika kumsomesha anapata kazi na kipato ......Harudi kwa au hata kupeleka msaada ......mnasubiri akiwa mgonjwa au marehemu ndio mnamrudisha.....Tujiulize kwenye Jamii Yao wanakuwa wamefaidika nae nini zaidi ha kumuhudumia akiwa mdogo na kumuhudumia akiwa mgonjwa au marehemu ...kimsingi anakuwa ameongezea umasikini Jamaaa yake???


Ndio mana basi mnaona makabila yanaopenda kwenda nyumbani ni kwa ajili ya kurudisha angalau sehemu ya kipato chao.....na huyo Ndio uhalali wa wanapofariki kurudishwa Jamaaa zake ambapo huwa na kila Haki ya kuhuzunika kwa kuwa walikuwa " wanafurahi pamoja na kuhuzunika pamoja "

Ikitokea mtu ha kuwa na msaada wala Hana hata nyumba akifariki treatment yake ...Kama tayari alikuwa na kipato na familia ...ni aibu na Ndio maana wapo ambapo huamua tu kuzikwa mjini kwa kuogopa adhabu....
1 . Kwa kuwa huna nyumba ...Mwili wake hautaingizwa ndani ya nyumba .unless Kama alikuwa hajajitegemea kwa maana ya kuoa au wanajuwa Ana sababu za msingi za kuwa na Hali ngumu na kushindwa kufika nyumbani au kutoa msaada basi baba yake atabeba Hilo jukumu kumsitiri

2. Kwa kuwa Hana makazi pamoja na kuwa na uwezo basi Maziko yake yatafanyika kwenye Mpaka wa shamba hukoooo
 
Kwa sasa hakuna pepo wala hakuna aliyeko peponi huko mbinguni mpaka siku ya kiama WAFU wakakapofufuliwa na kila mmoja kuhesabisa matendo yake mema na mabaya na kupata hukumu ya haki jehanam au peponi.... Nafikiri hili unalijua
Lakini kuna hili la mapepo na roho wachafu unafikiri wanatoka wapi? Halafu kuna hungry ghosts nitakuja na ufafanuzi wa hili kwenye post kamili

Paragraph yako ya kwanza unaweza kuwa upo sawa,Pepo na jahanamu bado vipo empty coz hakuna hukumu iliyotolewa na Mungu mpaka siku ya hukumu ifike,

Suala la maiti huwa zinasikia na kuona bali hazina uwezo wa kuongea hilo nakubaliana nalo, kwani hata katika dini "fulani" inapotokea mtu kufariki wafiwa hukatazwa kulia kwa sauti ya juu kwasababu humuumiza na kumpa mateso marehemu,ni haramu kulia kwa sauti ya juu,wafiwa hutakiwa kusali na kumuombea marehemu badala ya kulia tu,

Marehemu huzisikia sauti za wanaolia na kuona,kwa hiyo hujitahidi kuongea ili aseme "Msilie mimi sijafa" lakini anakuwa hawezi kujitutumua na hayo ndio mateso yenyewe,

Moja ya sababu kubwa ya maiti kufunikwa mpaka usoni ili asione na kutaabika,


Tumuombe mwenyezi Mungu atujaalie tuwe waja wake wema na kuiona pepo in sha Allah
Amin.
 
Mtu anapokua hai akisema jambo then akifa lile jambo hua linatokea. Pengine marehemu alisema asiende kuzikwa kwao wanalazimisha hatakubali. Kinachotakiwa hapo ni kumwomba tu kwa upole wataendelea na safari salama. Imewahi kutokea mahali nikiwepo wazee pamoja na kaka wa marehemu wakafungua geneza wakamwomba kwa upole kumaliza wakafunika geneza kuwasha gari tu ikawaka vizuri nakuondoka mpaka kule alipokataa kuzikwa marehemu. Kiufupi watu wanapokufa ni kauli na pumzi zinakatika tu lakini huwa wanaona na kusikia.
 
Ni sahihi lakini pepo na jehanam iko hapa hapa duniani zile roho za marehemu walioishi kwa kutenda mama hubaki pale makaburini kimya tulivu kabisa hiyo ni pepo, zile za marehemu walioishi maisha mabaya roho zao huwaya waya huku na kule zikitesa na kuteseka hii ni jehanam

Toa reference mkuu la sivyo ni porojo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom