Mbezi safarini Arusha

Usa kubwa sema specific place nikulete hao ulio wataja mpaka barazani.

usa nilighairi vyumba rahisi na vizuri ila mi popo ingenigharimu sana usafiri
nimefikia hapa town aquiline hotel
yani nikiboreka naenda disko ghorofa ya 8
karibu
 
njoo na marejesho mkeo nipo jogoo mda huu

Maskini amu! Mbona hukusema mapema! Kumbe umekuja kwenye msiba!? Hapo jogoo upo kwenye kikao cha mazishi ya nani? Lazima atakuwa mchaga na anaenda kuzikwa Moshi kwao!
 
Last edited by a moderator:

basi mwenzio mroho wa kuku nimependaje
ningekuwa dent ningepewa mimba kwa chips kuku.next tyme nikija itabidi unipeleke sehemu ingine nikatafune ng'uku
 
Last edited by a moderator:
Shikamoo amu, aisee nina hamu!! Karibu jijini...hapa ndo penyewe...rudi kwenu jumatano kwani bado tuna hamu na amu yaani wewe.
 
ha ha Arushaone kesho kilimanjaro ya saa 1 mchuma unaondoka
tutaonana january
 
Last edited by a moderator:
amu vipi hali ya hewa? Mi napenda kibaridi ambacho asubuhi hata kunawa unaona ni kama kushurutishwa kula kinyesi cha mtoto mchanga
 
subiri nikuambie usiku nikiingia kitandani najifunika blanket baada ya mda joto majasho natoa blanket
ila mda huu kuna kibaridi nakiona
 
Last edited by a moderator:
Maskini amu! Mbona hukusema mapema! Kumbe umekuja kwenye msiba!? Hapo jogoo upo kwenye kikao cha mazishi ya nani? Lazima atakuwa mchaga na anaenda kuzikwa Moshi kwao!
Kwe kwe kwe kwe! Ntawaambia wachaga wenzangu tubadilishe kijiwe lol! Ila amu kakupatia sana Filipo, kupasi kote suti na kujipeleka kumpokea umeambulia ziiiii! amu uko juu, Filipo kang'aa sharubu mbaya lol.
 
Last edited by a moderator:
subiri nikuambie usiku nikiingia kitandani najifunika blanket baada ya mda joto majasho natoa blanket
ila mda huu kuna kibaridi nakiona

Dah.. mwanangu utakula bata huko hadi lini mwanaa?
Waulizie wana Chugga kama wanamwonaona Lizzy maana ni long kipindi..
 
Last edited by a moderator:
Kwe kwe kwe kwe! Ntawaambia wachaga wenzangu tubadilishe kijiwe lol! Ila amu kakupatia sana Filipo, kupasi kote suti na kujipeleka kumpokea umeambulia ziiiii! amu uko juu, Filipo kang'aa sharubu mbaya lol.

Unadhani mwenzio anaweka pm jukwaani kama wewe! Tumemalizana kimyakimya! Lol...
 
Last edited by a moderator:
amu uko wapi tukutafute? kama unamaind kuku-choma umefika. ongea fasta kabla kabla hatujaenda Narok!
 
Last edited by a moderator:
Unadhani mwenzio anaweka pm jukwaani kama wewe! Tumemalizana kimyakimya! Lol...
Hahaha! Jifariji mwaya lol. Ndio mana nakwambia kuna siku utapokea wanyonya damu! Na wakikunyonya mie ntafurahije?
 
kumbe mahusiano yenu yamefikia kubaya namna hii!
Najua hata marejesho atamkimbia Filipo very soon kwasababu ana warembo karibia 16 wanaojulikana hadharani, wengine wa siri wa huko anakoishi sasa hivi-Mateves hatuwajui.
Achaneni na Pendapenda bana. Ma-singles tupo hapa bwerereee!
 
Cheamani nimekwambia hadi uwe bukudi, kazi tunayo! Mimi na sweetlady wapi na wapi? Nimejituliza kwa wife wangu marejesho wala sina mawaa. Tumeunganishwa na si wawili tena!
 
Last edited by a moderator:
babu Asprin ujue hiyo picha imeniboa pia sijui ina maana gani?
Ujue hapa nimeshindwa kummaliza kuku wangu wa kienyeji niliyekuwa namla
serious tena hela ya huyu kuku utamlipa tena nitumie kwa sim banking sassa hivi kabla sijakuripoti
Usijali, come this way baby......... without..!
 
Back
Top Bottom