Mbezi safarini Arusha

Mbezi safarini Arusha

Hivi huyu amu ako pande gani?
 
Last edited by a moderator:
We we we! Koma kumsingizia Erickb52 manake jana nimekesha nae kwenye maombi. amu yuko wapi?

Mwenzio katupigia stori za kiwanja jana, wewe unasema umekesha nae kwenye maombi? Au ulikuwa na ghost!
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu amu ako pande gani?

nipo mji wenu nimeenda dinnah bar kula nyama
aisee tamu ila si kama za pale nyuma ya best bite dar za foil
nimeenda usa na ngarenaro nimefikia town kabisa kukwepa gharama za usafiri

na kesho nakuja kwako kabla ya kugeuza dar!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mwenzio katupigia stori za kiwanja jana, wewe unasema umekesha nae kwenye maombi? Au ulikuwa na ghost!

halafu wewe bora ambayo hukuja kunipokea
 
We we we! Koma kumsingizia Erickb52 manake jana nimekesha nae kwenye maombi. amu yuko wapi?

nipo sweetylady si unajua kilimanjaro luxury linachelewa kufika safari ya saa 10 linafika saa 1 kasoro nilichoka sana yaani
 
Last edited by a moderator:
Vipi amu' mbona ivyoo jamani
shoga huyo mumeo balaa yaani ananisumbua sana
ila jana ulifanya vizuri kumfungia naomba umfungie hivyo hivyo mpaka jumatatu nikiondoka
!!! Ila kazi unayo
 
hahhahahah kijana naona unaanda mazingira amu umeanza safari ya line police au ndio umemezwa na muji wa Mungi

Mungi sijaonana nae hiyo gari yake ina masharti imenishinda
line police nimeshindwa kwenda nitaenda kesho
 
Last edited by a moderator:
Wale wa Babati utawaweza au unashoka tu

attachment.php

babu Asprin ujue hiyo picha imeniboa pia sijui ina maana gani?
Ujue hapa nimeshindwa kummaliza kuku wangu wa kienyeji niliyekuwa namla
serious tena hela ya huyu kuku utamlipa tena nitumie kwa sim banking sassa hivi kabla sijakuripoti
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom