Mbezi safarini Arusha

Mbezi safarini Arusha

usiwe na wasiwasi kabisa. Hicho kiwanja nitakupeleka na ngwasuma utawaona. Ukifika Arusha nishtue nikupokee! Usisikilize hao akina Mungi, Erickb52 wala PakaJimmy! Wote wanaishi Nduruma! Huyo Blaki Womani hauwezi kumwona maana yupo Olmotonyi. Mzee wa Rula anaishi Longijabe. Mi nipo maeneo ya Makao mapya hapa nakusubiri!

Naona Filipo ulitiririka kwa sana!!
 
Last edited by a moderator:
Atajibeba mwaka huu.

Wifi ndio nini kunilaza macho jana? Mie nkajua umetekwa na majambazi mto ngarenaro.

hahahaha wifi nisamehe muda ulikuwa mbaya sikutaka kukusumbua wakati umelala unajua tena mambo ya furahidei
 
Back
Top Bottom