Mbezi safarini Arusha

amu uko wapi tukutafute? kama unamaind kuku-choma umefika. ongea fasta kabla kabla hatujaenda Narok!

nilitakiwa niondoke leo asubuhi bt nimechoka sana nikasema leo nilale nipumzike tu
safari kesho
 
Last edited by a moderator:
Cheamani nimekwambia hadi uwe bukudi, kazi tunayo! Mimi na sweetlady wapi na wapi? Nimejituliza kwa wife wangu marejesho wala sina mawaa. Tumeunganishwa na si wawili tena!

ngoja niwe mstaarabu
Filipo leo sijaondoka si unajua ushamba wa mji nikataka kila sehemu matokeo yake uchovu sana
sasa leo ni siku yangu ya kupumzika safari ni kesho
inshaallah
 
Last edited by a moderator:
kumbe mahusiano yenu yamefikia kubaya namna hii!
Najua hata marejesho atamkimbia Filipo very soon kwasababu ana warembo karibia 16 wanaojulikana hadharani, wengine wa siri wa huko anakoishi sasa hivi-Mateves hatuwajui.
Achaneni na Pendapenda bana. Ma-singles tupo hapa bwerereee!

marejesho mwenyewe anaugulia kisirisiri basi tu hasemi! PJ Filipo hapendeki bana, ana mcho mia mia! Nimeamua kujiweka pembeni kuliko kufa kwa presha
 
Last edited by a moderator:
he he....kuna aina mbali mbali za ndani....sasa yupo mojawapo....?
Hahahaha! Nimeenda sentro kumpelekea ugali hayupo, nikashuka kituo cha ungltd nako holaaa, hapa naelekea kituo cha USA , nikimkosa najua umemweka ndani ileeeee unayomwekaga mtu chake!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom