Karibu sana Arusha ila usishukie Usa. Njoo moja kwa moja town leo Wazee wa Ngwasuma wanahusu hapa jijini!
Masikini,namhurumia kipenzi changu cha moyo amu kwa kusoma hii post yako Filipo,na namshauri katika wote atakaofikiria kuonana nao wewe Filipo usiwemo kwenye list.Na mbaya zaidi itakuwa endapo ataonana na Li Erickb52 ,Li Arushaone na Li Mungi .Ni afadhali akaonana na Preta au Lily Flower.By the road msalimie mchumba wangu marejesho Filipo.Mwambie nimeshabuku Fastjet kuja Tanga kwenye ile trip yetu na nikimuona Nicas Mtei huko atanitambua....
ahsante Filipo we utakuwepo???
Yani hata ramani siijui
Masikini,namhurumia kipenzi changu cha moyo amu kwa kusoma hii post yako Filipo,na namshauri katika wote atakaofikiria kuonana nao wewe Filipo usiwemo kwenye list.Na mbaya zaidi itakuwa endapo ataonana na Li Erickb52 ,Li Arushaone na Li Mungi .Ni afadhali akaonana na Preta au Lily Flower.By the road msalimie mchumba wangu marejesho Filipo.Mwambie nimeshabuku Fastjet kuja Tanga kwenye ile trip yetu na nikimuona Nicas Mtei huko atanitambua....
etu kipenzi cha moyo mimi haya bana
ila ningefurahi kama ningeonana na Preta na wengine wote ratiba yangu ipo tight kama hawatojali wanipm tumeet
nicheke mie msukuma wewe
kwa msaada tu msukuma wewe fastjet haina route ya tanga ni mwanza na kilimanjaro tu
so umebugi meeeen!!!!
umechemsha meeeeeen!!

Mimi ndiye alwatan wa jiji! Napendwa na Smile, sweetlady, ladyfurahia na nimeoa binti mzuri kuliko wote anaitwa marejesho. Mamzalendo ananipakazia mtoto ili anipate lakini wapi! PakaJimmy, Nicas Mtei na St. Paka Mweusi wananionea wivu vibaya! Kama ukifika utaniona na nitakupa ramani zote za jiji!
Achana na huyo nyau St. Paka Mweusi! Ndio kwanza amemaliza lindo na akifika home anakuta wifu keshaenda kuuza uji wa ulezi kule kwa Mtogole! Njoo Arusha utanikuta na utapata chochote unachotaka!
Masikini,namhurumia kipenzi changu cha moyo amu kwa kusoma hii post yako Filipo,na namshauri katika wote atakaofikiria kuonana nao wewe Filipo usiwemo kwenye list.Na mbaya zaidi itakuwa endapo ataonana na Li Erickb52 ,Li Arushaone na Li Mungi .Ni afadhali akaonana na Preta au Lily Flower.By the road msalimie mchumba wangu marejesho Filipo.Mwambie nimeshabuku Fastjet kuja Tanga kwenye ile trip yetu na nikimuona Nicas Mtei huko atanitambua....
Naangalia kwa pembeni!!!