Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 2,976
- 2,008
Mwabukusi alishindwa na Mwakibete na kwa sasa yupo kwenye kampeni za kutafuta tena jimbo. Yote anayofanya mpaka kutukana viongozi wa nchi ni kampeni aliyoanza kabla ya muda.upuuzi mtupu.
mawakili hawana kazi za kufanya.
wanadhani unaarufu unapatikana kirahisi hivi!?