Mbeya: Kesi ya kupinga Mkataba wa Bandari na DP World inaendelea leo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,741
218,330
Mbeya.jpg


Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba ile kesi ya kupinga Mkataba wa aibu baina ya Bandari za Tanganyika na wawekezaji wa kiarabu wa Dubai inaendelea leo 25/7/2023 kwenye Mahakama kuu kanda ya Mbeya.

Tayari Mawakili wa Wazalendo na Wazalendo wenyewe wamekwishafika Mahakamani hapo.


Walalamikaji
2. Emmanuel Chengula
3. Raphael Ngonde
4. Frank Nyalusi

MAWAKILI WA WALALAMIKAJI
1. Adv. Mpale Mpoki
2. Adv. Boniface Mwabukusi (Mayweather)
3. Adv. Philip Mwakilima
4. Adv. Livino Ngalimitumba.


Usiondoke JF

Updates
=========

Kesi imeanza saa 8 kamili kwa saa za Tanzania .

Hii ni kwa sababu kulikuwa na nyaraka kadhaa zinawekwa sawa na Mahakama kabla ya kipute kuanza .

Hata yatajidiliwa kwanza Mapingamizi (P,O) yaliyowekwa na Mawakili wa serikali

Tuendelee kuvumilia , Taarifa zote zitaletwa hapahapa
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba ile kesi ya kupinga Mkataba wa aibu baina ya Bandari za Tanganyika na wawekezaji wa kiarabu wa Dubai inaendelea leo 25/7/2023 kwenye Mahakama kuu kanda ya Mbeya .

Tayari Mawakili wa Wazalendo na Wazalendo wenyewe wamekwishafika Mahakamani hapo .

View attachment 2698483View attachment 2698484View attachment 2698486


Usiondoke JF
View attachment 2698481
Utupe update vizuri nataman alivyo ripotia kesi dhidi ya mbowe. Usikimbie na kuharibu mada kama jumapili ulitukwaza
 
View attachment 2698536

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba ile kesi ya kupinga Mkataba wa aibu baina ya Bandari za Tanganyika na wawekezaji wa kiarabu wa Dubai inaendelea leo 25/7/2023 kwenye Mahakama kuu kanda ya Mbeya.

Tayari Mawakili wa Wazalendo na Wazalendo wenyewe wamekwishafika Mahakamani hapo.


Walalamikaji
2. Emmanuel Chengula
3. Raphael Ngonde
4. Frank Nyalusi

MAWAKILI WA WALALAMIKAJI
1. Adv. Mpale Mpoki
2. Adv. Boniface Mwabukusi (Mayweather)
3. Adv. Philip Mwakilima
4. Adv. Livino Ngalimitumba.


Usiondoke JF
Nini kinaendelea mahakamani??
 
Back
Top Bottom