Mbeya: Yaliyojiri katika Kesi ya kupinga mkataba wa Bandari na DP WORLD - Julai 26, 2023

Usilie basi
siliii bali nawwacheka hao mawakili wanao jiita wasomi halafu mpaka leo hawajui tofauti kati ya "MoU" na "Contract" halafu wanajiita mawakili wasomi!!
hawana hoja za kisheria zaidi ya kuokoteza maneno ya kisiasa.
 
Kesi ya Nyani unaipeleka Kwa Ngedere
Jaji aliyeteuluwa na Muuza Bandari
Jaji huyo huyo inampa asimamie kesi ya aliye mteua
Huu sindiyo Uabunwasi kukata tawi alilolisomamia!!!
Cam on Watanganyika tusiwe wajinga kupitiliza,!!!
 
Mawakili wetu wamethubutu vizuri na wanahoja, sasa je mahakma yetu itaweza kumfunga paka kengele? Ingekuwa pale kwa jirani huu mkataba ungechwanwa mbele ya Bunge kabisa.
 
NAIOMBA MAHAKAMA ILITUPILIE MBALI SHAURI HILI KWANI HALINA KICHWA WALA MIGUU,NA NILA UPOTOSHAJI KWA UMMA WA WATANZANIA.
 
TIME IS MONEY,HAPO NI KUPOTEZEANA MUDA TU, "HAPO KUNA WANAOLPWA FEDHA NA VICHWA MAJI WAFUATA MKUMBO,BADALA YA KWENDA KWENYE SHUGHULI ZAO ZA KUTAFUTA CHAKULA CHA FAMILIA,WANAPOTEZA KUTWA ZAO HAPO"
Tatizo una akili ndogo. Wananchi tuliopeleka kesi mahakama tuazifahamu vizuri kahakama zetu na hatutajari outcome ya hukumu hii. Dhumuni la kesi hii ni kufikisha ujumbe kwa hao tunaowaita viongozi wetu ili huko mbele wasiseme kuwa hatukuwaoya na kesi tulifungua
 
Swali gumu sana kwa maccm. Wanaogopa kusema mkataba kwasababu una mapungufu mengi. Na wanaogopa kusema ni makubaliano kwa sababu makubaliano hayawezi kijadiliwa na bunge, sasa kazi kwao na inakuwa ile slogan ya ukimung'unya mchale na ukitema mchale
 
Back
Top Bottom