Mr. Nice Guy
Senior Member
- Jul 3, 2015
- 190
- 27
TCRA wanatakiwa wawe makini kufanya censorship kwenye hivi viefm vya mikoani maana vingine story za mapenzi zinapigwa mchana mbele ya watoto
Hawana habari za maana zaidi ya mapenzi tu
TCRA wanatakiwa wawe makini kufanya censorship kwenye hivi viefm vya mikoani maana vingine story za mapenzi zinapigwa mchana mbele ya watoto
Hahahaha CHAI FM
Tena umeingia chupa!
Chupa ya wambeya na watu wenye midomo mirefu lakini ni kati ya wale wanaishi nyumba za tope kati kati ya jiji la Mbeya.
Mkuu inaelekea we ni mshamba sana katika masuala ya uwekezaji.
Jitahidi ufanye kitu cha maana maishani kwako , kulaumu na maneno matupu kila mtu anaweza.
Tena umeingia chupa!
Chupa ya wambeya na watu wenye midomo mirefu lakini ni kati ya wale wanaishi nyumba za tope kati kati ya jiji la Mbeya.
Mkuu inaelekea we ni mshamba sana katika masuala ya uwekezaji.
Jitahidi ufanye kitu cha maana maishani kwako , kulaumu na maneno matupu kila mtu anaweza.[/QUOTE
Wala usijali hata nikifanya kitu kisicho cha maana kwa sababu haikusaidii kitu.This is my life twaf
Hyo kyela Fm kwa kwel pale sidhan hta watangazaji wake wamesomea fani y uandishi nadhan weng n wale waliofel form4 cha kushangaza pia ikitokea umeme umekatika mtaan bas n studio umeme umektka kama kulikua n kipindi mpk wawashe jenereta ndo waendeleze kipindi
Ukiisikiliza hiyo Chai FM utachoka,,yaani upuuzi mtupu
Halafu watangazaji Leo yupo kiredio hiki kesho yupo pale wanahamahama hovyo kwa sababu Wamiliki hawawalipi dearly,Wamiliki wamekuwa mchwa hawaajiri watangazaji wanatumia zaidi cheap Labour mbaya zaidi hata redio za dini hapo Mbeya wanawanyonya sana vijana,hafu kuna watu humu wanafura na mapovu kabisa eti uwekezaji,uwekezaji?, ndo wa vile...TCRA na Bodi ya Habari Hebu fanyeni ukaguzi viredio vya Mbeya ni tatizo sana na mkitaka ushirikiano mi nitawapa njooni pm.
Mkuu unahoja nzuri na nzito sana ila umeileta ovyo sana niseme tu wazi kijinga sana.
Kwakuonyesha ujinga huo
1. Kwanza hakuna radio Mbeya inaitwa Mpanji FM.
2. PILI radio hizi zinaongozwa na content services regulation act ya mwaka 2005, kama radio inakiuka zinafungiwa.
3. Tatizo la wingi wa radio si hoja kabisa, Ghana pamoja na udogo wake kieneo kuliko Tanzania ina radio zaidi ya 360.
4. Tatizo la radio zote za Tanzania ni maudhui basi. Lakini hata hivyo kidogo watu wameanza kuamka huenda tunakoelekea tukapata radio nzuri zaidi.
5. Unaonekana hujui hata faida za hivi viredio. Ungefanya upembuzi utuletee hasara na faida zilizopatikana toka hivi vi FM. Unajua kuwa Dar inaFM zaidi ya 20? mbona hujaizungumzia?
Tuacheni kujiona tunajua tu kila kitu. Kama umeona kunashida wasilisha malalamiko TCRA.
Mkuu pokea ushauri uliopewa , ila kwa suala la TCRA nakubaliana nawe.
Hizo redia za Mbeya ni TATU AU NNE TU zanye leseni za kurusha matangazo, sijui hili limekaaje hili!
hamna cha maana ulichoandika hapa. au na wewe ndiyo walewale watangazaji vilaza.
Wala usijali hata nikifanya kitu kisicho cha maana kwa sababu haikusaidii kitu.This is my life twaf
Mkuu unahoja nzuri na nzito sana ila umeileta ovyo sana niseme tu wazi kijinga sana.
Kwakuonyesha ujinga huo
1. Kwanza hakuna radio Mbeya inaitwa Mpanji FM.
2. PILI radio hizi zinaongozwa na content services regulation act ya mwaka 2005, kama radio inakiuka zinafungiwa.
3. Tatizo la wingi wa radio si hoja kabisa, Ghana pamoja na udogo wake kieneo kuliko Tanzania ina radio zaidi ya 360.
4. Tatizo la radio zote za Tanzania ni maudhui basi. Lakini hata hivyo kidogo watu wameanza kuamka huenda tunakoelekea tukapata radio nzuri zaidi.
5. Unaonekana hujui hata faida za hivi viredio. Ungefanya upembuzi utuletee hasara na faida zilizopatikana toka hivi vi FM. Unajua kuwa Dar inaFM zaidi ya 20? mbona hujaizungumzia?
Tuacheni kujiona tunajua tu kila kitu. Kama umeona kunashida wasilisha malalamiko TCRA.
Mwanza napo zipo chache tu
1.rfa
2.kiss fm
3.kwa neema fm
4.ukomboz fm
5.alive fm
6.sengerema fm
7.living water
8.passion fm
9.iqraa fm
10.city fm
11.metro fm
12.afya radio
13.saut fm
14.jembe fm
15.radio maria
16.morning star radio
17.radio 5
18.radio imaan
19.radio one
20.ea radio
21.capital radio
22.uhuru fm
23.clouds fm
24.magic fm
25.tbc fm
26.tbc taifa
27.kasebhanto fm