Mbeya: Utitiri wa redio ni kero nyingine

Ule muswada wa habari unataka wote wawe na degree,hapo ndo radio nyingi zitafungwa

sasa kama tu program managers na waandishi wa hizo redio redio wana basic certificates, certificates na wachache wana diploma tena za dsj, tsj, royal na dar es salaam city college wewe unategemea nini?
 
hivi vijiredio ndio vichochezi vingi vya kilokole

na hata ile redio ya rwanda ya uchochezi ya " rtlm " ilianza hivi hivi na kama pasipofanyiwa epumbezi yakinifu tena wa kina ipo siku hizi redio zitatufanya " tutafutane " hapa tanzania.
 
siyo redio tu kwani hata makanisa ya kila aina nayo yapo mengi mbeya utadhani yesu kristo ameweka makao makuu yake hapo. huko kila mtaa una kijikanisa hivyo sishangai kuwepo kwa redio nyingi pia. na naambiwa hata ng'ombe katoliki a.k.a noah a.k.a kitimoto nao wanaongoza kwa kuwa wengi mkoani mbeya. nadhani na hata na " tuvituvitu " vingine mbeya wanaongoza pia.
Ni kweli mkuu, mbeya wapo juu kwa kila kitu hata wale wadada wa maelewano ni wengi mno
 
Ila watu mnaojiita wa DAR mna wivu kweli mmeona redio za Mbeya tu utitiri wa hapo kwenu dar hamuoni au ndo mnatataka wawekeze kwenu tuu kwetu hapana. na uchochezi ni za huku tuu za huko zipo safi acheni wivu huo kila kitu kiwe kwenu kwetu haramu.!
 
sasa kama tu program managers na waandishi wa hizo redio redio wana basic certificates, certificates na wachache wana diploma tena za dsj, tsj, royal na dar es salaam city college wewe unategemea nini?

Kuna moja inaitwa ushindi nasikia ilikuwa na program manager mwenye bachelor alikuwa akifanya kipindi cha kizungu simsikii sijui aliondoka! Bomba fm inajitahidi tofauti,na baraka ina meneja raia wa Malawi (sina uhakika kama yupo nchini kihalali) lakini hamna kitu pale,hutu turedio tuangazwe tena na tcra
 
Hiyo avanta yako nouma mkuu
 
Usipende kumeza tu jaribu kuchunguza kwanza
 
Hapo umenigusa kwenye makanisa yaani kamtaa kamoja kana makanisa kumi tena wala hujui ya dhehebu gani sasa subiri ifike usiku hapo ndio utajuta

Mby hakuna waganga wa kienyeji kama huko kwenu twambie maeneo gani umeona wachawi
 
N'yadikwa

Fuatilia vizuri katika uwekezaji!
Mbeya huwa hawaisubiri serikali kuwekeza hapo maana wameisahau sana ukilinganisha na miji inayolingana nayo ya Arusha na Mwanza.
We N'yadikwa inelekea ni mgeni sana Mbeya.
Mbeya in watu wenye uthubutu, na hizo radio zimeajiri vijana wengi sana, hata kama hawana uzoefu.
Thats a positive move.
Kama walivyokushauri wengine, huwezi kuzisikiliza redio zote kwa pamoja, fungua moja uisilize.

Pili, ACHA WIVU WA KIKE.
 
Last edited by a moderator:
TCRA wanatakiwa wawe makini kufanya censorship kwenye hivi viefm vya mikoani maana vingine story za mapenzi zinapigwa mchana mbele ya watoto
Mkuu pokea ushauri uliopewa , ila kwa suala la TCRA nakubaliana nawe.
Hizo redia za Mbeya ni TATU AU NNE TU zanye leseni za kurusha matangazo, sijui hili limekaaje hili!
 
Fuatilia vizuri katika uwekezaji!
Mbeya huwa hawaisubiri serikali kuwekeza hapo maana wameisahau sana ukilinganisha na miji inayolingana nayo ya Arusha na Mwanza.
We N'yadikwa inelekea ni mgeni sana Mbeya.
Mbeya in watu wenye uthubutu, na hizo radio zimeajiri vijana wengi sana, hata kama hawana uzoefu.
Thats a positive move.
Kama walivyokushauri wengine, huwezi kuzisikiliza redio zote kwa pamoja, fungua moja uisilize.

Pili, ACHA WIVU WA KIKE.

Mbona unatokwa povu Mimi ni mmoja wa wakazi wa Mbeya na makazi yangu yapo Uyole Igawilo kwa Wachina mtaa wa Mwanyanje Mbeya naifahamu sana na ni mnyakyu,Mbeya ndo nyumbani,Nyeusi ni Nyeusi na Nyeupe ni Nyeupe sina unafiki wa kupenda cha nyumbani hali hakina ubora,Ubora ni kiwango cha utashi alichokiweka Muumba kwa mwanadamu,kama kwako kila jambo ni sawa fahamu hauko sawa upstairs... Mbeya haina redio zenye ubora kwa % kubwa sana...Hilo ndo nalishika,jifunze kukubali ukweli uwe huru....mwisho kumbe wivu una jinsia:what:
 
Last edited by a moderator:
Ila watu mnaojiita wa DAR mna wivu kweli mmeona redio za Mbeya tu utitiri wa hapo kwenu dar hamuoni au ndo mnatataka wawekeze kwenu tuu kwetu hapana. na uchochezi ni za huku tuu za huko zipo safi acheni wivu huo kila kitu kiwe kwenu kwetu haramu.!

Dar mbona zipo chache sana:

  1. TBC Taifa
  2. Bomba FM
  3. east africa radio
  4. Clouds FM
  5. R.F.A
  6. Radio One
  7. TBC FM
  8. Radio Five
  9. City FM
  10. Magic FM
  11. E FM
  12. Ghetto Radio
  13. TBC International
  14. Uhuru FM
  15. Passion FM
  16. Radio Tumaini
  17. Zenj FM
  18. WAPO Radio
  19. ABM Radio
  20. Kiss FM
  21. Praise Power Radio
  22. Times FM
  23. Capital radio
  24. Abood Radio
  25. Choice FM
  26. Radio Sauti ya Quran
  27. Classic FM
  28. Radio Maria
  29. Radio Kheri
  30. Radio Imaan
  31. Morning Star Radio
  32. Tumaini International
  33. Mlimani Radio
  34. Ebony FM
  35. Upendo Radio
  36. Radio sauti ya Zanzibar
  37. Chuchu FM
  38. Coconut FM

Zipo chache tu na wala hazipo nyingi .................
 
Dodoma yale yale tu

A fm
Abm fm
Nyemo fm
Kifimbo fm
Dodoma fm
Impact fm
Mwangaza fm
Uzima fm
Ras fm

Vingine nimevisahau. Wajitahidi kuwa wabunifu, saiv kila redio wanataka watangaze kama Clouds wanavotangaza.

kama ilivyo uhuru wa kutoa habari, vile vile na wasikilizaji SI lazima na wala haulazimishwi kusikiliza kila FM station. Lazima Kuna itakayo kuvutia basi sikiliza hiyo. Kama hakuna hama nje ya zone yako pata kile roho na ubongo inapenda. Huo utitiri hautokusaidia wala kukubadilisha zaidi ya kuji tune mwenyewe. NI KWA NIA NJEMA TU.
 
Mbona unatokwa povu Mimi ni mmoja wa wakazi wa Mbeya na makazi yangu yapo Uyole Igawilo kwa Wachina mtaa wa Mwanyanje Mbeya naifahamu sana na ni mnyakyu,Mbeya ndo nyumbani,Nyeusi ni Nyeusi na Nyeupe ni Nyeupe sina unafiki wa kupenda cha nyumbani hali hakina ubora,Ubora ni kiwango cha utashi alichokiweka Muumba kwa mwanadamu,kama kwako kila jambo ni sawa fahamu hauko sawa upstairs... Mbeya haina redio zenye ubora kwa % kubwa sana...Hilo ndo nalishika,jifunze kukubali ukweli uwe huru....mwisho kumbe wivu una jinsia:what:
Tena umeingia chupa!
Chupa ya wambeya na watu wenye midomo mirefu lakini ni kati ya wale wanaishi nyumba za tope kati kati ya jiji la Mbeya.
Mkuu inaelekea we ni mshamba sana katika masuala ya uwekezaji.

Jitahidi ufanye kitu cha maana maishani kwako , kulaumu na maneno matupu kila mtu anaweza.
 
Mkuu afadhali umesema wewe!
Hao wambeya kama huyu N'yadikwa ni watu wenye vichwa wazi na hawana upeo wa kimaendeleo.
Wana utitiri wa ukakasi midomoni na hawana utitiri wa pesa mifukoni.
Si ajabu wanaishi katika yale maboma ya tope jijini Mbeya.

Tuwapongeze waliowekeza jijini Mbeya na hivyo kutoa ajira kwa vijana.
Achana na hao vijimikosi watu, hawana lolote hao zaidi ya midomo yao.
 
Last edited by a moderator:
siyo redio tu kwani hata makanisa ya kila aina nayo yapo mengi mbeya utadhani yesu kristo ameweka makao makuu yake hapo. huko kila mtaa una kijikanisa hivyo sishangai kuwepo kwa redio nyingi pia. na naambiwa hata ng'ombe katoliki a.k.a noah a.k.a kitimoto nao wanaongoza kwa kuwa wengi mkoani mbeya. nadhani na hata na " tuvituvitu " vingine mbeya wanaongoza pia.

Mbeya inaongoza kwa UCHAWI, UKIMWI,MAKANISA NA KITIMOTO...
 
Back
Top Bottom