Mbeya: Utitiri wa redio ni kero nyingine

Kwetu tunatamani kusikiliza redio za tz kwani tunasikiliza za malawi tu, cha ajabu wenzetu redio imekuwa kero? Jinga kabisa wewe.
 
Nawe ni mpumbavu wa haja kweli. kuna radio Tanzania inarusha matangazo bila leseni?
Ha ha ha!
Mi nafikiri mpumavu Zaidi ni wewe usiyejua maana.
Sasa kwa vile upumbavu ni zao la ujinga, hebu tukupe somo, maana vyote wewe unavyo.

Redio nyingi kati ya hizo(na kwingineko nchini) zinatangazia Construction Permits zinazotolewa na TCRA, na sio Commercial Content Service Operating Licenses zinazotolewa a TCRA kwa The Broadcast Services Act, 1993 and The Tanzania Communication Regulatory Authoriy Act, 2003.

Tafuta hizo docments na ujridhishe mwenyewe ikiwa kama radio zote zinazo hizo leseni.

Na kwa taarifa yako, hao wenye leseni wanalipia dola 3070 kwa mwaka .

Sasa kwa kukuondoa kaujinga hebu futa kaupumbavu uliko nako.
 
1.Hiyo mpanji fm ni gmcl fm
2.hiyo content regulation act imekuwa ikikiukwa kila wakati that's why anaona some tv stations nchini zinaonyesha irritating contents kwa audience na TCRA haiwashughulikii,so blame them not me.

3.wingi wa redio ni hoja kwa Mbeya kwa sababu umekuwa hauna impact
Kwanza;redio almost zote Mbeya Hazina habari ambayo ni diverse ukitoa chache zenye pgm za habari zinazojitosheleza kv Ushindi ambayo ina reporters mikoa mingi.
Pili;hivyo viredio havifanyi censorship ya programs zao kv news,hakuna mikutano ya habari I.e. postmortem meetings. Kaulize watakwambia,I know.
Tatu,;viredio vyote vina urari wa content mf asbh vyote vina talk shows,mchana vyote vina bongo fleva etc
Kwa hiyo uwingi ni hoja Hususani kama viredio vinaendeshwa hovyohovyo,na sio Ghana tu Kenya wana hivyo viredio vingi lakini wanajitambua,go and research!

4 .Asante kwa kulitambua hilo,let's hope for good.

5. Ilitosha kuwasilisha kile nilichonuia,hicho kinachohusu faida na hasara nakushauri ukianzishie Uzi wake wewe.

Sio lazima kila kitu uwasilishe TCRA nimeleta Uzi huu ili kuwasaidia wadau wa media Mbeya wajirekebishe for good,mind you this has been a generic overview ya Mbeya Fm stations.
Ninajua na Ndio maana nimeuleta huu uzi,after all binadamu tunajua sana labda kama umeuweka ubongo stoo.
Its simply not true, hasa kwenye bold.
Ulisikiliza kwa miezi karibu sita vipindi vya HAKI MAJI vilivyorushwa na Mbeya Highlands FM?

Ni kati ya radio zilizorusha vipindi vilivyosaidia sana miradi ya maji vijijini na kupelekea Mkoa wa Mbeya kutembelewa na Waziri Mdogo wa Maji.

Unajua hilo?
 
Kwetu tunatamani kusikiliza redio za tz kwani tunasikiliza za malawi tu, cha ajabu wenzetu redio imekuwa kero? Jinga kabisa wewe.

Endelea kuzisikiliza hizo zodiak fm ewe mwelevu
 
Hiyo ndo free market economy. Mbona mamlaka husika hazijui unachosema? Hao ebony ndo unakofanyia kazi au ni ya mjomba wako labda sisi mbeya hatusikilizi. Tunasikiliza Highlands, ushindi, mbeya fms na zinginezo.
Labda ungeonesha kiu ya kuona Mbeya inakuwa na TV station
 
Its simply not true, hasa kwenye bold.
Ulisikiliza kwa miezi karibu sita vipindi vya HAKI MAJI vilivyorushwa na Mbeya Highlands FM?

Ni kati ya radio zilizorusha vipindi vilivyosaidia sana miradi ya maji vijijini na kupelekea Mkoa wa Mbeya kutembelewa na Waziri Mdogo wa Maji.

Unajua hilo?

Hivyo ni vipindi vya clients mkuu kama ilivyo kwa vipindi vya VOA pale Bomba fm au vipindi vya Sanitarium Clinics ambazo zina vipindi vinavyokuwa pre recorded au live lakini client anasisitiza ubora,vipo vipindi kama vya shamba darasa chini ya Farm Radio International vinarushwa kwenye baadhi ya stations hapo lakini under strict supervision ya client,hivyo huwa okay tofauti na vipindi ambavyo vipo kwenye schedule rundown ya vituo.
 
Mkuu unahoja nzuri na nzito sana ila umeileta ovyo sana niseme tu wazi kijinga sana.

Kwakuonyesha ujinga huo

1. Kwanza hakuna radio Mbeya inaitwa Mpanji FM.

2. PILI radio hizi zinaongozwa na content services regulation act ya mwaka 2005, kama radio inakiuka zinafungiwa.

3. Tatizo la wingi wa radio si hoja kabisa, Ghana pamoja na udogo wake kieneo kuliko Tanzania ina radio zaidi ya 360.

4. Tatizo la radio zote za Tanzania ni maudhui basi. Lakini hata hivyo kidogo watu wameanza kuamka huenda tunakoelekea tukapata radio nzuri zaidi.

5. Unaonekana hujui hata faida za hivi viredio. Ungefanya upembuzi utuletee hasara na faida zilizopatikana toka hivi vi FM. Unajua kuwa Dar inaFM zaidi ya 20? mbona hujaizungumzia?

Tuacheni kujiona tunajua tu kila kitu. Kama umeona kunashida wasilisha malalamiko TCRA.

Hata mimi nimeona kuwa huyu mwandishi ni wakujakuja. Hajielewi
 
Du! mkuu umemmaliza!

Jamaa kaja mtandaoni tuifikiri anajua kumbe hajui kitu.
 
Its simply not true, hasa kwenye bold.
Ulisikiliza kwa miezi karibu sita vipindi vya HAKI MAJI vilivyorushwa na Mbeya Highlands FM?

Ni kati ya radio zilizorusha vipindi vilivyosaidia sana miradi ya maji vijijini na kupelekea Mkoa wa Mbeya kutembelewa na Waziri Mdogo wa Maji.

Unajua hilo?

@ jidu lamabambasi_Hivyo ni vipindi vya clients mkuu kama ilivyo kwa vipindi vya VOA pale Bomba fm au vipindi vya Sanitarium Clinics ambapo baadhi vinakuwa pre recorded au live lakini client anasisitiza ubora,vipo vipindi kama vya shamba darasa chini ya Farm Radio International vinarushwa kwenye baadhi ya stations hapo lakini under strict supervision ya client,hivyo huwa okay tofauti na vipindi ambavyo vipo kwenye schedule rundown ya vituo.Tatizo kubwa Lipo kwenye deliveries,watangazaji wengi Wapo chini ya viwango walipaswa wasiwe watangazaji Bali producers au waende kuandika news kwenye magazeti,unajua broadcasting mbali na weledi wa kitaaluma inataka talent na mastery ya broadcasting ili kutengeneza rapport. Redio chache Mbeya zina watangazaji wanaojitahidi kama Lucy Patrick yupo na VOA sasa,Dj Fredy,nk lakini the majority ya watangazaji ktk Fm stations za Mbeya ni tatizo,,,nakupa mf. Nenda umsikilize mtu anaitwa mkisi Ushindi fm utachoka,au Derick sweet pale ni tatizo,uelewa wa mambo ni mdogo na wanajiweka kuwa wachambuzi wasio ba weledi,matamshi ni tatizo kubwa 'l' na 'r' zinachanganywa hovyo,ooh no ukiwa Mbeya utawachagua watangazaji wa kuwasikiliza ila sio redio tofauti sana na redio za Arusha au Dar ambazo unaweza kuwa shabiki wa redio kv redio 5 etc
 
Hivyo ni vipindi vya clients mkuu kama ilivyo kwa vipindi vya VOA pale Bomba fm au vipindi vya Sanitarium Clinics ambazo zina vipindi vinavyokuwa pre recorded au live lakini client anasisitiza ubora,vipo vipindi kama vya shamba darasa chini ya Farm Radio International vinarushwa kwenye baadhi ya stations hapo lakini under strict supervision ya client,hivyo huwa okay tofauti na vipindi ambavyo vipo kwenye schedule rundown ya vituo.
tatizo watu wanafikiri unania ya kuiponda Mbeya kumbe unataka kujenga. Radio zingine zina mwangwi utafikiri wanatangazia kwenye pipa. watangazaji wanafikiri kuongea haraka haraka ndiyo utangazaji mzuri! sijui hawasikilizi BBC. harafu playlist zao za kishamba na predictable. kingine hawafanyi homeworks, wanaokota habari kwenye mablog ya kinamillard ayo.

kinachoudhi kuliko vyote ni kuta kuongea kama mchomvu. hawajui mchomvu naye alitangaza mbeya fm ila kwa kujiamini bila kuiga mtu kawa na identity yake.
 
@ jidu lamabambasi_Hivyo ni vipindi vya clients mkuu kama ilivyo kwa vipindi vya VOA pale Bomba fm au vipindi vya Sanitarium Clinics ambapo baadhi vinakuwa pre recorded au live lakini client anasisitiza ubora,vipo vipindi kama vya shamba darasa chini ya Farm Radio International vinarushwa kwenye baadhi ya stations hapo lakini under strict supervision ya client,hivyo huwa okay tofauti na vipindi ambavyo vipo kwenye schedule rundown ya vituo.Tatizo kubwa Lipo kwenye deliveries,watangazaji wengi Wapo chini ya viwango walipaswa wasiwe watangazaji Bali producers au waende kuandika news kwenye magazeti,unajua broadcasting mbali na weledi wa kitaaluma inataka talent na mastery ya broadcasting ili kutengeneza rapport. Redio chache Mbeya zina watangazaji wanaojitahidi kama Lucy Patrick yupo na VOA sasa,Dj Fredy,nk lakini the majority ya watangazaji ktk Fm stations za Mbeya ni tatizo,,,nakupa mf. Nenda umsikilize mtu anaitwa mkisi Ushindi fm utachoka,au Derick sweet pale ni tatizo,uelewa wa mambo ni mdogo na wanajiweka kuwa wachambuzi wasio ba weledi,matamshi ni tatizo kubwa 'l' na 'r' zinachanganywa hovyo,ooh no ukiwa Mbeya utawachagua watangazaji wa kuwasikiliza ila sio redio tofauti sana na redio za Arusha au Dar ambazo unaweza kuwa shabiki wa redio kv redio 5 etc
au akamsikilize tajiwidi wa jeneration. mbaya zaidi radio zingine zina hadi 10yrs ukweli ni kuwa ukifungulia ebony unaona tofauti kubwa sana.
 
tatizo watu wanafikiri unania ya kuiponda Mbeya kumbe unataka kujenga. Radio zingine zina mwangwi utafikiri wanatangazia kwenye pipa. watangazaji wanafikiri kuongea haraka haraka ndiyo utangazaji mzuri! sijui hawasikilizi BBC. harafu playlist zao za kishamba na predictable. kingine hawafanyi homeworks, wanaokota habari kwenye mablog ya kinamillard ayo.

kinachoudhi kuliko vyote ni kuta kuongea kama mchomvu. hawajui mchomvu naye alitangaza mbeya fm ila kwa kujiamini bila kuiga mtu kawa na identity yake.

Kweli mkuu lengo langu ni kutoa changamoto ili hali Iwe nafuu
 
au akamsikilize tajiwidi wa jeneration. mbaya zaidi radio zingine zina hadi 10yrs ukweli ni kuwa ukifungulia ebony unaona tofauti kubwa sana.

Kweli mkuu Ebony wanajitahidi sana kwa Southern Highland
 
Back
Top Bottom