Dodoma yale yale tu
A fm
Abm fm
Nyemo fm
Kifimbo fm
Dodoma fm
Impact fm
Mwangaza fm
Uzima fm
Ras fm
Vingine nimevisahau. Wajitahidi kuwa wabunifu, saiv kila redio wanataka watangaze kama Clouds wanavotangaza.
Mkuu kuna kiredio hapa Arusha kinaitwa mj fm watangazaji wake sjui walipatikanaje, wanaweza kuwa wanatangaza hari yenye simanzi kubwa lakini wakawa wanacheka, ni ujinga ujinga tu
Hapo umenigusa kwenye makanisa yaani kamtaa kamoja kana makanisa kumi tena wala hujui ya dhehebu gani sasa subiri ifike usiku hapo ndio utajutaSio radio tu we weka orodha ya wachawi aumakanisa lalazima mbeya itaongoza tu
kubanyanga ndio nini?mi sijaelewa...alafu, waambie kitu gani wabadilishe, kama yule juu kasema kuhusu habari..naona kama unarusha mawe tu..am sure some wapo wataona, imarisha chenu na mkoa wenu uwe imara, toa feedback ya uhakika
hivi vijiredio ndio vichochezi vingi vya kilokole
Juzi kuna redio siku inote hapo morogoro nilikuwa nikiisikiliza wanatoa promo Kwa tv sijui mpya inaitwa top
Walipomaliza wakaanza michezo aisee mtangazaji aligeuka kuwa mshabiki, nilipandwa na hasira nikazima na redio hapo hapo
Mbeya bado ndizi fm na viazi fm tu!
Hiyo ndo hali halisi ktk ujumla wake sikuainisha ila utangazaji wao kwa jumla kama ulinisoma vizuri madame,salama lakini! 🙂