Mbeya: Utitiri wa redio ni kero nyingine

Mbeya: Utitiri wa redio ni kero nyingine

N'yadikwa

Mkuu wataka watu wanapofungua redio waje kukuomba kibali? Acha ujinga... Wewe ni nani hadi upange idadi za redio. Kama hazikufurahishi zima redio. Na je una uwezo hata wa kufungua redio moja ambayo yaweza kuwa mfano, au ni arrogance tu ya umaskini?
 
Last edited by a moderator:

nimefikiria kuhusu maoni yake, jibu nililolipata ni uwezakuwa ni mtu toka hzo redio 3 alizotitaja, so anazipigia promo tu za matangazo humu ndani. hakuna lengine.
 
Mtoa mada yupo sahihi, yaani ni full kuongea kihuni huni na kwa lugha isiyo na staha.
Kuna radio Fulani hapo hapo Mbeya walijikuta wakibishana eti neno lipi sahihi kati ya "NDIYO" na "NDIO" hatimaye ikaonekana anayesema "NDIO" eti ndiyo yupo sahihi! Hovyo kabisa.
Kuna muda wanakaa kujadili kitu ambacho ni dhahiri unaowaona hata hawakijui ili wanajifanya wanakijua.
 
Mbeya nikama mwanza kuna pasion fm
Metro fm
City fm
Jembenijembe fm
Sauti fm
Afya redio fm
Living woter fm
Kwaneema fm
Around fm
R.F.A fm
Nakengine kameanzishwa cjui kanaitwa

Sauti ya upako watajua wenyewe

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
N'yadikwa

Zitakuwa na muhimu kwa kuimarisha ukawa.na pia kuwapasha wananchi ges yao kwani itasaidia tusiwe na nyumba za nyasi tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Mbeya Mbona cha mtoto? Arusha vi redio vimefika mia. Vyote vinatangaza yale yale, vijitoto vya kike vinavyopigwa miti hovyo mjini, halafu havijui chochote kile.

100? Acha kutuuzia chai isiyo na sukari basi! Ziandike zikifika 100 nakupa 50,000.00Tsh kiroho safi tu.
 
N'yadikwa

sasa si ushukuru zimetoa ajira kwa vijana.

Ktk suala la ubora ni kwamba wanaajiri cheap labor.

Btw hulazimishwi tune in.
 
Last edited by a moderator:
Mbeya Mbona cha mtoto? Arusha vi redio vimefika mia. Vyote vinatangaza yale yale, vijitoto vya kike vinavyopigwa miti hovyo mjini, halafu havijui chochote kile.
kumbe ndio maana matajiri wengi huko ni mabilionea! mmefikisha redio mia??
 
​Nilikuwa sijui kuwa na nyinyi muna viredio vingi kiasi hiko

siyo redio tu kwani hata makanisa ya kila aina nayo yapo mengi mbeya utadhani yesu kristo ameweka makao makuu yake hapo. huko kila mtaa una kijikanisa hivyo sishangai kuwepo kwa redio nyingi pia. na naambiwa hata ng'ombe katoliki a.k.a noah a.k.a kitimoto nao wanaongoza kwa kuwa wengi mkoani mbeya. nadhani na hata na " tuvituvitu " vingine mbeya wanaongoza pia.
 
Back
Top Bottom